Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

Nilishika simu yake nikakuta ana magroup ya telegram kibao na anajitangaza kujiuza.

Nilichukua jina lake la telegram halafu nikamfuata kuongea biashara. Tukakubaliana bei ila wakati wote hajui ni mimi.

Nikamuelekeza lodge ya kwenda, kufika akanikuta nimelaza ndambi langu. Akata kunibadilishia story kuwa kaja kunifumania, nikamuonyesha chats zote pamoja na screenshot za chats za simu yake.

Akijiliza uongo na kuomba msamaha, nikamwambia asaule nimpige kimoko kama tulivyokubaliana kibiashara nimpe chake asepe.

Kilio kikaongezeka kuwa namuona yeye malaya, nikamwambia simuoni malaya bali yeye ni malaya.

Akasepa kwa hasira na ndio ikawa The End.
 
Alitaka niwe weak kwake,
Alitaka nimpende kupita kiasi, kwake nisitumie akili, nitumie Hisia.
Kwa kifupu alitaka kuniletea mapenzi ya tamthilia kwa kigezo niwe gentle, nikamwambia tafuta vilaza na malofa wenzio hadi utakapopata akili utanishtua
 
Tulikuwa tunagombana vizuri tu, sasa katika harakati zile za kugombana mwenzangu akaenda extra miles yani alitumia meno!, na namna alivyoning'ata ilinijulisha kabisa hanipendi yule dada!, we mtu anakung'ata kwenye koromeo kweli kana kwamba chui amemkamata swala!.
for sure that was too heavy for me to carry!, nilipambana nikachomoka kwenye hiyo hatari japo nguvu zilikuwa zimenikata ila nilichomoka!

nawe jiweke kwenye hicho kikombe, halafu paa umepata bahati ukachoropoka ungerudi...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…