Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KAKA JENTA, NACHEKA SANA, WEW UNAPOJAA NYEMBE, MIM HUKU NACHEKA SANA, KWAKUA HUJAZIKAMATA BADO AKILI ZA STUPID KAMA MIM KWA UONGO HUU
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Hii ni GPT au CHATBOT
 
Ameua bila kukusudia.Waalimu hata kama mna matatizo ya maisha hasira mmetoka nazo nyumbani msipende kuwatolea wanafunzi.Binadamu wanatofautiana,ona sasa kitu ambacho ingekuwa cha kumuuliza tu mwanafunzi kwa nini umelala hadi sasa huenda anaumwa wewe unamvamia tupa chini kandamiza shingo what for?Simtetei mwanafunzi ila mwalimu alipata alichokuwa anakitafuta.Walimu jifunzeni kuwa na UTU!
 
Huu upupu ndiyo unauita mahojiano? Kuna kitu gani katika mazungumzo hayo, chenye umuhimu kwa polisi au hakimu? Shit
 
Huu upupu ndiyo unauita mahojiano? Kuna kitu gani katika mazungumzo hayo, chenye umuhimu kwa polisi au hakimu? Shit
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Sikuchukii jenta karizmatic intelijenti fella,Ila ni suala la ukweli na kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…