Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

Ile shule ni rahisi kwa watoto kupenya hata kuingia na silaha , mazingira ya shule haina ukuta , wameweka tu kifensi cha wavu wavu na madogo walishakitoboa muda ! Watoto wako bweni ila huduma zote wananunua nje hadi mihogo ya kukaanga biashara zinafanyika hapo hapo kwenye hiyo fensi !! Ili kupunguza athari wenye shule wangenyanyua ukuta kama ilivyo FEZA ingekua poa sana !
Waachane na kufundisha vijana habari za kwenda kujiunga alshabab hao.
 
Imani zingine bhana,eti mafunzo maalimu ya kujihami dhidi ya dini yetu duh
 
Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu Hassan Mohammed Juzi.

Ili kupata kile ambacho nilikuwa nakitaka hasa katika hili Tukio ilinilazimu GENTAMYCINE kutulia sana, kutumia Saikolojia yangu Kali na Mbinu zangu za Uandishi wa Habari ( wa Uchunguzi na Uibuaji ) wa Masuala ili nijue Ukweli na Sisi kama Wadau na Wazazi tuwe na sehemu ya kuanzia Kulijadili ili liwe Fundisho na pia lisije Kujirudia tena.

Vile vile nichukue nafasi hii kutoa Pole yangu kwa Familia ya Marehemu Mwalimu ( Patron ) Bwana Hassan Mohammed na nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Nguvu na Uvumilivu hasa katika Kipindi hiki Kigumu mnachopitia.

Hivyo hivyo nimpe Pole Kijana ( Mshukiwa wa Mauaji ) Mohammed Jabir na hasa hasa Wazazi wake kwani najua Kisaikolojia kwa sasa wanapitia Kipindi Kigumu mno ila kwa Kudra zake Allah ( Mwenyezi Mungu ) yote haya yataisha.

OMBI

Tafadhali Jeshi la Polisi naomba Mahojiano yangu na Mmoja wa Mwanafunzi aliyeshuhudia hilo Tukio yasiwe ndiyo Hitimisho la Uchunguzi wenu juu ya hili Sakata bali tumieni haya Majibu mtakayoyapqta hapa katika Kuwasaidia Upelelezi wenu juu ya Mtuhumiwa dhidi ya Marehemu lakini pia hata Hakimu wa hii nina uhakika majibu ya huyu Mwanafunzi Shuhuda wa Tukio zima yatakusaidia katika taratibu zako za kutoa Hukumu Stahiki kwa Mtuhumiwa.

GENTAMYCINE: Kijana hujambo?

Mwanafunzi Shuhuda: Sijambo Baba Shikamoo

GENTAMIYCINE: Marahaba. Poleni kwa Msiba wa Mwalimu na kwa Mwenzenu Kukamatwa na Polisi

Mwanafunzi Shuhuda: Asante Baba ila kama Wanafunzi tumesikitika kumpoteza Mwalimu na kwa Mwenzetu sasa kuwa hatiani

GENTAMYCINE: Je, Shuleni Kwenu hapa kuna Ulinzi wa kutosha na Wanafunzi mnadhibitiwa inavyostahili?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli hapa tuna Mlinzi Mmoja tu na kuna nyakati huwa anasinzia na Sisi Wanafunzi tunaruka ukuta kwenda Mtaani na kuna hata sehemu ya Ukuta wa Shule kuna Tobo na baadhi ya Senyenge zimekatwa ambapo huwa tunapenya.

GENTAMIYCINE: Kwakuwa hii Shule yenu ni ya Bweni je, huwa mnafanyiwa Rokoo hasa nyakati za Usiku ili kujua kama nyote mpo au hampo?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni kama tu hakuna kwani tunafanyiwa mara moja moja mno na sishangai ndiyo maana hata baadhi yetu wale Wajanja Wajanja huweza Kutoroka Usiku kwenda Kubeti barabarani na kurejea.

GENTAMYCINE: Natamani kujua aina ya Elimu mnayopewa hapa ili na Mimi Siku Moja nishawishike Kumleta Mwanangu asome hapa.

Mwanafunzi Shuhuda: Kwani Baba na Wewe ni Muislamu?

GENTAMYCINE: Ndiyo ( nikamdanganya Jina kuwa naitwa Ramadhan Shaaban ) na akafurahi na Kuniamini wakati Mimi ni Mkristo halisi tena wa Dhehebu tukuka la Katoliki.

Mwanafunzi Shuhuda: Ukweli ni kwamba huwa tunapewa Elimu hii ya Darasani kisha na ile ya Dini yetu ya Kiislamu ila kuna muda huwa tunapewa Mazoezi ya Kuwa Fiti na Kujilinda dhidi ya wale wanaocheza au wanaoitusi Imani yetu.

GENTAMYCINE: Je, kama Shule na hata nyie Wanafunzi wa Shule yenu mna Mahusiano mazuri na Majirani au Watu wanaowazunguka?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli Wanafunzi wa Shule yetu hatutskiwi kabisa Kujichanganya na Watu mitaani, kusema Mambo yetu na hata Watu wa Kawaida hawaruhusiwi kuingia Shuleni labda wawe na ruhusa Maalum na kiukweli Sisi kama Wanafunzi tumeshazoea kuwa mbali na Jamii inayotuzunguka pale.

GENTAMIYCINE: Unamjua vyema Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir?

Mwanafunzi Shuhuda: Namjua vyema na ni Rafiki yangu pia.

GENTAMIYCINE: Nasikia ni Mwanafunzi Mkorofi na hana Adabu halafu ameshanusurika Kusimamishwa Shule zaidi ya mara Mbili ( hapa nilikuwa Namtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Baba nakuomba Jumatatu njoo pale Shuleni ulizia tu Mwanafunzi yoyote juu ya tabia ya Mohammed Jabir utaamini.

Hakuna Mwanafunzi mpole, msikivu na mwenye Nidhamu pale Shuleni kama Yeye na hata Walimu huwa wanamsifu kwa hilo.

GENTAMIYCINE: Hongera nimeambiwa kuwa Marehemu Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed alikuwa akikupenda kuliko Wanafunzi wengine wote pale Shuleni ( nimemuuliza kwa Kumtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Aiyekuambia hivyo Kakudanganya kwani hakuna Mwalimu nisiyempenda na asiyependwa na Wanafunzi pale Shuleni kama Yeye ( Marehemu )

GENTAMYCINE: Kwanini?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni mbabe, mkatili, muonevu na kuna muda alikuwa hata akitudhulumu Vitu vyetu Wanafunzi akisema havitakiwi Shuleni na kubaki navyo Yeye na ukimhoji anaishia ama Kukupiga au Kukuchukia kabisa.

GENTAMYCINE: Siyo kwamba na nyie Wanafunzi ni Jeuri na Viburi hivyo alikuwa akiwanyoosha?

Mwanafunzi Shuhuda: Sikatai Baba wapo baadhi ya Wanafunzi Wenzetu pale japo ni Shule ya Kidini ila ni Wakorofi, Wahuni na hadi Bangi wanavuta.

GENTAMYCINE: Nasikia ili Kujilinda pale Shuleni Kwenu Wanafunzi mnaruhusiwa kuingia au kuwa na Silaha kama Kisu na Panga je, ni kweli? ( nikiwa Namtega tena )

Mwanafunzi Shuhuda: Si kweli Baba haturuhusiwi kamwe kuingia na Kisu wala Panga ila wapo Wenzetu baadhi huingia na Visu kwa kuvipitisha katika Chocho za Ukutani na hutumia kwa Kumenyea Matunda hasa nyakati za Usiku ila kuna wale Wacheza Karate hupenda Kuvitumia kama sehemu yao ya Mazoezi lakini wengine huvificha chini ya Magodoro kwa ajili ya Kupambana na Maadui ( Vibaka na Wezi ) anbao kuna nyakati hasa Kipindi cha Mgawo wa Umeme walituvamia sana hapa kwa kupitia kule Ukutani na Kutuibia hadi na Kutupiga pia.

GENTAMYCINE: Umesema uliona tukio la Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed dhidi ya Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir sasa nakuomba hapa unionyeshe kwamba kweli Wewe ni Muislamu Safi Mwenzangu huna Unafiki, Hudanganyi na humuonei Mtu kwa utachonielezea sawa Mwanangu Mpendwa?

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba. Ukweli ni kwamba mida ya Saa 11 za Alfajiri alikuja Patron ( Mwalimu ) kutuamsha kwa ajili ya kwenda Kuswali.

Alipokuja kutuamsha ( kama kawaida yake ) wengi tuliamka na kuanza Kujiandaa kwenda Kuswali ila Mwenzetu Mohammed Jabir aliendelea Kulala isivyo kawaida yake.

Wakati wengi wetu tumeshatoka Bwenini ghafla tukamuona Patron ( Mwalimu ) amerejea Bwenini na Kumkuta Mohammed Jabir akiwa amelala ndipo Mwalimu akapandwa na Hasira na kuanza Kumvuta Mohammed Jabir kutoka Kitandani huku akimpiga, akimtukana na Kumkandamiza kwa chini Shingoni na Mguu wake Hali iliyomfanya alipomuachia Mohammed Jabir alipandwa na Hasira Kali na kwenda Kuinua Kitanda cha Mmoja wa Mwanafunzi anayemjua kuwa na Kisu na kuja nacho Kumshambulia Patron ( Mwalimu ) na muda mfupi tukaona Mwalimu Kaanguka nasi kuingiwa na Uwoga na kuwahi Kumuita Mlinzi ( huku Mohammed Jabir akiwa kama Mtu aliyechanganyikiwa ) ndiyo baada ya muda Mwalimu ( Patron ) akapakiwa katika Gari kukimbizwa Hospitali ambapo baadae tukaambiwa kuwa Amefariki dunia.

GENTAMIYCINE: Je, Mohammed Jabir alifanya hili Tukio peke yake au labda kulikuwa na Mtu Mwingine?

Mwanafunzi Shuhuda: Kiukweli alikuwa Mwenyewe ila kulikuwa na Mwanafunzi Mwingine simkumbuki Jina alikuwa akifurahia Mwalimu ( Patron ) Kupigwa kwakuwa alikuwa na Kisa nae ( Kisichojulikana ) na alikuwa akimwambia Mohammed Jabir kutokea dirishani kwa nje alikokuwa kuwa amdedishe ( amuue ) na Yeye ataleta Kiroba ili wamtupie humo.

GENTAMYCINE: Duh.... hatari sana. Naona mida yetu ya Kuswali imefika naomba nikuache nikajiandae nitakutafuta Jioni ili unipe Ratiba ya Mazishi ya Mwalimu ( Patron )

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba hakuna shida nami najiandaa kwenda Kuswali Msikiti jirani hapa wa Londa.

Haya ndiyo yalkuwa Mahojiano yangu yangu na Mwanafunzi Shuhuda juu ya Tukio hivyo naomba sasa GENTAMYCINE niwaachieni nyie Wajuvi na Wataalam muweze Kulijadili kwa kina.
Detective Gentamycine.
 
huyu ameua kwa kukusudia , sababu ni

1.mwalimu alimkandamiza chini shingoni kwa mguu lakini baadae akamwachia , na Hawa wote hawakuwa na siraha mikononi mwao, hapa nilitegemea labda mwanafunzi angempiga labda kwa kutumia viungo vyake vya mwili , kwa kuwa hakuwa na siraha . angelifanya hivyo Basi ingekuwa au ingetafsiriwa ameua kwa kujihami . angeweza sema labda walikuwa wanapigana ndipo akamzidi nguvu mwal.

2.haijulikani yalitokea majibizano gani au ukinzani upi kutoka kwa mwanafunzi mpaka mwal. akaamua kumdhibiti kwa kutumia viungo vya mwili (hapa ikumbukwe hakutumia silaha).

3. baada ya mwal. kumdhibti mwanafunzi akiwa chini mwal. aliamua kumuachia (ikumbukwe mwal. hakuendelea kumdhibiti pale chini alimdhibiti kwa muda kiasi then akamuachia, hapa inaweza kutafsiriwa kwamba mwalimu alipoona dogo kapoa hasira ndipo akaona amuachie .

4.ikumbukwe hakuna mtu aliyekuja kuamulia huo ugomvi , au aliyekuja ku interfere , ni mwal ndie aliyeamua kumuachia dogo , ili ainuke aende kwa wenzie kuswali , baada ya kumdhibiti. hivyo hapa inaweza kutafsiriwa mwal. hakuwa na nia ya kumdhuru mwanafunzi Bali kumdhibiti tu.

5.itatafsiriwa kaua kwa kukusudia ,ukisoma na kuzingatia uchambuzi hapo juu namba 1-4, kwa sababu mwalimu hakuwa na siraha na Tena hakuna mtu aliyekuja kumwambia mwal. muachie dogo ,Ila NI yeye mwalimu aliamua kumuachia baada ya kujiridhisha usalama wake .

kosa NI baada ya kuachiwa, mwanafunzi alitembea umbali kiasi Fulani , kutafuta silaha kwa kuinua magidoro ya wenzake. (hapa ndipo tendo la kukusudia lilipoanzia) akakiona silaha na kutembea kwa hatua kadhaa Hadi akamfikia mwal. na kumshambulia Hadi kufa.

hitimisho. kaua kwa kukusudia .
 
tupunguze fikra hasi. Hawa watoto wanaoangalia movie za vita na mapigano toka akiwa na mwaka mmoja, unashangaa anajuaje kukata koromeo?
Sio kweli,nitajie movi walau moja tu inayoonesha mtu akiuliwa kwa kukatwa koromeo,movi kama hizo utazio kwa IS,alshabab, Al-qaida nk.hivyo watoto wanaoneshwa huko mashuleni ili kuwaanda kuwa jihadist wakubwa
 
Ujinga wangu unauzidi wa Mama yako?
Huna haja ya kujibizana nao. Wakongwe tumeshaelewa umefanya kazi nzuri na uwakilishaji wako ni ule unaohitaji maksi 100%. Tanzania hakuna waandishi wa habari wa ukweli na umefanya kazi nzuri kuziba hilo pengo kwenye hii habari.
 
Dah kuna ukwel kabsa hapa. Nakumbuka nikiwa shule ya bweni huko kanda ya ziwa, kuna mwamba mmoja alikuwa mtu wa dini sana jamaa anatokea nyanda za juu kusini uko. Siku moja tulikuwa na ubishani wa mambo ya dini tena makali sana, jamaa alinitishia kunichinja😂😂 tena alimaanisha kabsa kwamba ata nikimshinda nguvu atanivizia usiku anichinje. (tulikuwa tunalala room moja). Sasa kuna jamaa yang na yy ni ndugu yake katika iman akaniambia achana na yule jamaa dini imemkaa kweli isitoshe jamaa ni mzima sana kweny hzo karatee, pili ata hii Elim haitaki kabsa anafosiwa tu na wazazi wake Tena jamaa alikuwa ananiambia kama unataka kummaliza adui yako fasta kata koromeo na ukitaka afe kwa uchungu kata nyuma ya shingo, nikawa najiuliza hawa vijana wadogo hiv haya mafunzo wameyatoa wapii? . Kwahyo anayepuuza machapisho kama haya atakuwa hajakutana nao.
 
Hii dini hatari sana,mtoto mdogo kajuaje kimshambulia mtu kwenye koromeo kama sio mafunzo ayapatayo!?
Watu wote wanashambulia wenzao koromeo ni wa dini gani? Hivi hapo ni suala la dini au mtu?
 
Naomba kabla ya yote nianze kwa Kutoa Shukran kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe ( ambaye kwa Kumlinda namhifadhi Jina ) ambaye alishuhudia Tukio zima la Mwanafunzi Mwenzao ( anayeshikiliwa na Polisi sasa ) aitwae Mohammed Jabir Kumuua Mwalimu ( Patron ) Marehemu Hassan Mohammed Juzi.

Ili kupata kile ambacho nilikuwa nakitaka hasa katika hili Tukio ilinilazimu GENTAMYCINE kutulia sana, kutumia Saikolojia yangu Kali na Mbinu zangu za Uandishi wa Habari ( wa Uchunguzi na Uibuaji ) wa Masuala ili nijue Ukweli na Sisi kama Wadau na Wazazi tuwe na sehemu ya kuanzia Kulijadili ili liwe Fundisho na pia lisije Kujirudia tena.

Vile vile nichukue nafasi hii kutoa Pole yangu kwa Familia ya Marehemu Mwalimu ( Patron ) Bwana Hassan Mohammed na nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape Nguvu na Uvumilivu hasa katika Kipindi hiki Kigumu mnachopitia.

Hivyo hivyo nimpe Pole Kijana ( Mshukiwa wa Mauaji ) Mohammed Jabir na hasa hasa Wazazi wake kwani najua Kisaikolojia kwa sasa wanapitia Kipindi Kigumu mno ila kwa Kudra zake Allah ( Mwenyezi Mungu ) yote haya yataisha.

OMBI

Tafadhali Jeshi la Polisi naomba Mahojiano yangu na Mmoja wa Mwanafunzi aliyeshuhudia hilo Tukio yasiwe ndiyo Hitimisho la Uchunguzi wenu juu ya hili Sakata bali tumieni haya Majibu mtakayoyapqta hapa katika Kuwasaidia Upelelezi wenu juu ya Mtuhumiwa dhidi ya Marehemu lakini pia hata Hakimu wa hii nina uhakika majibu ya huyu Mwanafunzi Shuhuda wa Tukio zima yatakusaidia katika taratibu zako za kutoa Hukumu Stahiki kwa Mtuhumiwa.

GENTAMYCINE: Kijana hujambo?

Mwanafunzi Shuhuda: Sijambo Baba Shikamoo

GENTAMIYCINE: Marahaba. Poleni kwa Msiba wa Mwalimu na kwa Mwenzenu Kukamatwa na Polisi

Mwanafunzi Shuhuda: Asante Baba ila kama Wanafunzi tumesikitika kumpoteza Mwalimu na kwa Mwenzetu sasa kuwa hatiani

GENTAMYCINE: Je, Shuleni Kwenu hapa kuna Ulinzi wa kutosha na Wanafunzi mnadhibitiwa inavyostahili?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli hapa tuna Mlinzi Mmoja tu na kuna nyakati huwa anasinzia na Sisi Wanafunzi tunaruka ukuta kwenda Mtaani na kuna hata sehemu ya Ukuta wa Shule kuna Tobo na baadhi ya Senyenge zimekatwa ambapo huwa tunapenya.

GENTAMIYCINE: Kwakuwa hii Shule yenu ni ya Bweni je, huwa mnafanyiwa Rokoo hasa nyakati za Usiku ili kujua kama nyote mpo au hampo?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni kama tu hakuna kwani tunafanyiwa mara moja moja mno na sishangai ndiyo maana hata baadhi yetu wale Wajanja Wajanja huweza Kutoroka Usiku kwenda Kubeti barabarani na kurejea.

GENTAMYCINE: Natamani kujua aina ya Elimu mnayopewa hapa ili na Mimi Siku Moja nishawishike Kumleta Mwanangu asome hapa.

Mwanafunzi Shuhuda: Kwani Baba na Wewe ni Muislamu?

GENTAMYCINE: Ndiyo ( nikamdanganya Jina kuwa naitwa Ramadhan Shaaban ) na akafurahi na Kuniamini wakati Mimi ni Mkristo halisi tena wa Dhehebu tukuka la Katoliki.

Mwanafunzi Shuhuda: Ukweli ni kwamba huwa tunapewa Elimu hii ya Darasani kisha na ile ya Dini yetu ya Kiislamu ila kuna muda huwa tunapewa Mazoezi ya Kuwa Fiti na Kujilinda dhidi ya wale wanaocheza au wanaoitusi Imani yetu.

GENTAMYCINE: Je, kama Shule na hata nyie Wanafunzi wa Shule yenu mna Mahusiano mazuri na Majirani au Watu wanaowazunguka?

Mwanafunzi Shuhuda: Baba kiukweli Wanafunzi wa Shule yetu hatutskiwi kabisa Kujichanganya na Watu mitaani, kusema Mambo yetu na hata Watu wa Kawaida hawaruhusiwi kuingia Shuleni labda wawe na ruhusa Maalum na kiukweli Sisi kama Wanafunzi tumeshazoea kuwa mbali na Jamii inayotuzunguka pale.

GENTAMIYCINE: Unamjua vyema Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir?

Mwanafunzi Shuhuda: Namjua vyema na ni Rafiki yangu pia.

GENTAMIYCINE: Nasikia ni Mwanafunzi Mkorofi na hana Adabu halafu ameshanusurika Kusimamishwa Shule zaidi ya mara Mbili ( hapa nilikuwa Namtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Baba nakuomba Jumatatu njoo pale Shuleni ulizia tu Mwanafunzi yoyote juu ya tabia ya Mohammed Jabir utaamini.

Hakuna Mwanafunzi mpole, msikivu na mwenye Nidhamu pale Shuleni kama Yeye na hata Walimu huwa wanamsifu kwa hilo.

GENTAMIYCINE: Hongera nimeambiwa kuwa Marehemu Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed alikuwa akikupenda kuliko Wanafunzi wengine wote pale Shuleni ( nimemuuliza kwa Kumtega )

Mwanafunzi Shuhuda: Aiyekuambia hivyo Kakudanganya kwani hakuna Mwalimu nisiyempenda na asiyependwa na Wanafunzi pale Shuleni kama Yeye ( Marehemu )

GENTAMYCINE: Kwanini?

Mwanafunzi Shuhuda: Ni mbabe, mkatili, muonevu na kuna muda alikuwa hata akitudhulumu Vitu vyetu Wanafunzi akisema havitakiwi Shuleni na kubaki navyo Yeye na ukimhoji anaishia ama Kukupiga au Kukuchukia kabisa.

GENTAMYCINE: Siyo kwamba na nyie Wanafunzi ni Jeuri na Viburi hivyo alikuwa akiwanyoosha?

Mwanafunzi Shuhuda: Sikatai Baba wapo baadhi ya Wanafunzi Wenzetu pale japo ni Shule ya Kidini ila ni Wakorofi, Wahuni na hadi Bangi wanavuta.

GENTAMYCINE: Nasikia ili Kujilinda pale Shuleni Kwenu Wanafunzi mnaruhusiwa kuingia au kuwa na Silaha kama Kisu na Panga je, ni kweli? ( nikiwa Namtega tena )

Mwanafunzi Shuhuda: Si kweli Baba haturuhusiwi kamwe kuingia na Kisu wala Panga ila wapo Wenzetu baadhi huingia na Visu kwa kuvipitisha katika Chocho za Ukutani na hutumia kwa Kumenyea Matunda hasa nyakati za Usiku ila kuna wale Wacheza Karate hupenda Kuvitumia kama sehemu yao ya Mazoezi lakini wengine huvificha chini ya Magodoro kwa ajili ya Kupambana na Maadui ( Vibaka na Wezi ) anbao kuna nyakati hasa Kipindi cha Mgawo wa Umeme walituvamia sana hapa kwa kupitia kule Ukutani na Kutuibia hadi na Kutupiga pia.

GENTAMYCINE: Umesema uliona tukio la Mwalimu ( Patron ) wenu Hassan Mohammed dhidi ya Mwanafunzi Mwenzako Mohammed Jabir sasa nakuomba hapa unionyeshe kwamba kweli Wewe ni Muislamu Safi Mwenzangu huna Unafiki, Hudanganyi na humuonei Mtu kwa utachonielezea sawa Mwanangu Mpendwa?

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba. Ukweli ni kwamba mida ya Saa 11 za Alfajiri alikuja Patron ( Mwalimu ) kutuamsha kwa ajili ya kwenda Kuswali.

Alipokuja kutuamsha ( kama kawaida yake ) wengi tuliamka na kuanza Kujiandaa kwenda Kuswali ila Mwenzetu Mohammed Jabir aliendelea Kulala isivyo kawaida yake.

Wakati wengi wetu tumeshatoka Bwenini ghafla tukamuona Patron ( Mwalimu ) amerejea Bwenini na Kumkuta Mohammed Jabir akiwa amelala ndipo Mwalimu akapandwa na Hasira na kuanza Kumvuta Mohammed Jabir kutoka Kitandani huku akimpiga, akimtukana na Kumkandamiza kwa chini Shingoni na Mguu wake Hali iliyomfanya alipomuachia Mohammed Jabir alipandwa na Hasira Kali na kwenda Kuinua Kitanda cha Mmoja wa Mwanafunzi anayemjua kuwa na Kisu na kuja nacho Kumshambulia Patron ( Mwalimu ) na muda mfupi tukaona Mwalimu Kaanguka nasi kuingiwa na Uwoga na kuwahi Kumuita Mlinzi ( huku Mohammed Jabir akiwa kama Mtu aliyechanganyikiwa ) ndiyo baada ya muda Mwalimu ( Patron ) akapakiwa katika Gari kukimbizwa Hospitali ambapo baadae tukaambiwa kuwa Amefariki dunia.

GENTAMIYCINE: Je, Mohammed Jabir alifanya hili Tukio peke yake au labda kulikuwa na Mtu Mwingine?

Mwanafunzi Shuhuda: Kiukweli alikuwa Mwenyewe ila kulikuwa na Mwanafunzi Mwingine simkumbuki Jina alikuwa akifurahia Mwalimu ( Patron ) Kupigwa kwakuwa alikuwa na Kisa nae ( Kisichojulikana ) na alikuwa akimwambia Mohammed Jabir kutokea dirishani kwa nje alikokuwa kuwa amdedishe ( amuue ) na Yeye ataleta Kiroba ili wamtupie humo.

GENTAMYCINE: Duh.... hatari sana. Naona mida yetu ya Kuswali imefika naomba nikuache nikajiandae nitakutafuta Jioni ili unipe Ratiba ya Mazishi ya Mwalimu ( Patron )

Mwanafunzi Shuhuda: Sawa Baba hakuna shida nami najiandaa kwenda Kuswali Msikiti jirani hapa wa Londa.

Haya ndiyo yalkuwa Mahojiano yangu yangu na Mwanafunzi Shuhuda juu ya Tukio hivyo naomba sasa GENTAMYCINE niwaachieni nyie Wajuvi na Wataalam muweze Kulijadili
Hyo nadhani alikuwa patron tu..au mwl wa madrasa...
 
1. Umekutana nae wapi
2.kipindi hiki kila mtoto anaogopa ushahidi hususa katika hiyo kesi
3.Tatu sio rahisi mtoto yeyote akuelezee tukio la mauaji simple bila kumuandaa kisaikolojia
USIPENDE KUTUNGA TUNGA VITU VYA KIPUZI KAMA HIVI
 
K

Be kuna wapumbavu wanakuita baba mjinga na chizi kama wewe?
 
Back
Top Bottom