Exclusive: Developing Story ya Mwanafunzi aliyeua Mwalimu ( Patron ) Shule ya Kiislamu ya QIBLATEIN Kawe

Mzee wa kujisifu kwa sifa nyingi na kurusha shombo, the king
 
Hawa mapatron huwa wanazingua sana. Mimi form one hadi six mapatron nilikuwa nawaona wanoko hatari. Kuna siku nikiwa form one kuna wavuta bangi wa form 3 wakasema leo lazima tumzingue patron saa 11 alfajiri. Wakadamka na kwenda kujificha pembeni ya mti mkubwa uliokuwa pembeni ya njia anayotumia mwalimu kutoka nyumbani kwake na kuja mabwenini. Yule mwalimu mita kadhaa kabla ya kufika kwenyw mti akasimama na kusema "wewe hamza na wenzako ninasema ondokeni hapo kwenye mti nendeni mchakamchaka"... majamaa kwa aibu yakasepa. Cha kushangaza yule mwalimu hakuwafanya chochote. Majamaa yakawa yanaishi kwa wasiwasi.
 
Mzee wa kujisifu kwa sifa nyingi na kurusha shombo, the king
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
 
Kama unavyojinasibu you are the entertainer, fella, game changer, hakuna anayekuchukia, unapendwa sana, ukikosekana humu kunapoa sana. Wengi wanapenda kukutania tu waone majibu yako
 
Kama unavyojinasibu you are the entertainer, fella, game changer, hakuna anayekuchukia, unapendwa sana, ukikosekana humu kunapoa sana. Wengi wanapenda kukutania tu waone majibu yako
A hypocrite and nincompoop at Work.
 
Chai
 
Uisilamu ni Dini ya ukakamavu yaani kuanzia kuamka, mpaka kuswali ni kama mazoezi kiujumla,Tunaswali mara tano kwa siku katika mstari ulionyoka kwa stairi ya mazoezi ya viungo

Na kujifunza karate ni kitu cha kawaida hiyo ni sunna kwa mwanaume hutakiwi kuwa mrendamrenda
 
Sawa Ustaadh.....!!
 
nimeisoma vizuri taarifa hii na ina manufaa makubwa kwa wachunguzi wa mkasa huu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Self defence, mahakama itafanya maamuzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…