Kwa beki ya kapombe,kotei,Mohammed, na juuko hizo auta atazipiga mazoezinikama ni kweli nikizukumbuka zile outer cross zake na Bichwa la Tambwe na Diving Header za Chilwa mhhh ni balaa na hatari😀😀😀
Ushaanza kupatwa na woga ehh maa sio Nchezo bhaKwa beki ya kapombe,kotei,Mohammed, na juuko hizo auta atazipiga mazoezini
Tambwe.Yondani nk wameisha...roho inakuuma sanaaaakama Ajibu ameenda Yanga basi ndio mwisho wa mpira wake... Na atakua hajielewi kabisa....time will Tell...
Point za simba zimeenda wapiNi mimi sijakuelewa au wewe umeandika kisichoeleweka???
Huwezi amini ila ndiyo hivyo habari nilizozipata hivi punde kutoka katika chanzo changu cha kuaminika kabisa zinasema kwa yule Tajiri na Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amerejea rasmi Klabu ya Yanga na kwamba urejeo wake muda wowote utawekwa wazi na Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa.
Katika kuonyesha kuwa Manji amerudi na hatanii hivi ninavyoandika huu uzi tayari 99% Mchezaji wa Simba SC Ibrahim Ajib amesaini Yanga na kwamba kati ya Kesho hadi Jumapili Nahodha wa Simba SC Jonas Gerald Mkude nae atasaini Yanga FC.
Inasemekana sababu kubwa iliyomuudhi na kumkasirisha Tajiri Manji ni Kitendo cha Simba SC kumalizana na Mchezaji mahiri na tegemo wa Yanga Mnyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kwa dau linalokaribia Tsh Milion 110 za Kitanzania na kumalizana pia na Mshambuliaji wa Yanga FC Donald Ndombo Ngoma.
Kazi imeanza na Shikamoo Yusuph Manji na Mohamed Dewji ' Mo '.
Nawasilisha.
Duu!!?Point za simba zimeenda wapi
Hata Yondani walimtabiria hivyo hivyokama Ajibu ameenda Yanga basi ndio mwisho wa mpira wake... Na atakua hajielewi kabisa....time will Tell...
Kipombe tulimpeleka france akashindwa boco ni mtu mzima manura atatoka kupitia simba sc nguvu mojaAcheni unafiki kwanini hamkusema kwa John Boco,Kapombe na Manura?
[emoji126] [emoji126]
Mmh.Aka OG, ndo hivyo! Hata nyerere anajua!
Ccm Juma Abdul ,Msuva,Domayo Yondan DidaPole ajibu CC:juma mahadhi........Malimi Busungu.
Hata kwa Blagnon mlisema hivyo hivyoAngebaki bench lingemuhusu huyu..!!sio kwa straika hyu anaekuja kutoka ghana,jtatu anatambulishwa rasmi..hongera ajib kwa kuwa na machale!!
Huyu atawanyoosha km a avyowanyoosha tambwehahahaah itakuwa kama yaliyomkuta singano ramadhani
Ndio maana mkataka kumuua?Bado Mkude yaani na yeye aende aende asibaki kabisa kutuvulugia timu yetu, captain gani hana nidham kila siku ugomvi na timu
Mwisho wa nini
Sasa wafanyeje kama wameshindwa kufikia makubaliano?...........Timu hizi hazina Viongozi ila wahuni waliokabidhiwa ofisi , Eti Kiongozi anasema SISI MBELE KWA MBELE ACHA AENDE ZAKE
Dah,,,,,,,ndio mwisho wake.