Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

Exclusive. Hatimaye Yusuph Manji amerejea rasmi Yanga na amemsajili Ibrahim Ajib

kama ni kweli nikizukumbuka zile outer cross zake na Bichwa la Tambwe na Diving Header za Chilwa mhhh ni balaa na hatari😀😀😀
Kwa beki ya kapombe,kotei,Mohammed, na juuko hizo auta atazipiga mazoezini
 
Yanga anacheza namba nane...Ajibu sio striker ..ule udambwi udambwi ..nanunua ticket za msimu
 
Huwezi amini ila ndiyo hivyo habari nilizozipata hivi punde kutoka katika chanzo changu cha kuaminika kabisa zinasema kwa yule Tajiri na Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amerejea rasmi Klabu ya Yanga na kwamba urejeo wake muda wowote utawekwa wazi na Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa.

Katika kuonyesha kuwa Manji amerudi na hatanii hivi ninavyoandika huu uzi tayari 99% Mchezaji wa Simba SC Ibrahim Ajib amesaini Yanga na kwamba kati ya Kesho hadi Jumapili Nahodha wa Simba SC Jonas Gerald Mkude nae atasaini Yanga FC.

Inasemekana sababu kubwa iliyomuudhi na kumkasirisha Tajiri Manji ni Kitendo cha Simba SC kumalizana na Mchezaji mahiri na tegemo wa Yanga Mnyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kwa dau linalokaribia Tsh Milion 110 za Kitanzania na kumalizana pia na Mshambuliaji wa Yanga FC Donald Ndombo Ngoma.

Kazi imeanza na Shikamoo Yusuph Manji na Mohamed Dewji ' Mo '.

Nawasilisha.

Kila mtu anayefahamu tabia za Manji alikuwa na uhakika kuwa Manji hakujiuzulu bali alikuwa akipima upepo. Manji pale Yanga ni kifichoni na kamwe hatoki japo kiuchumi ametetereka lakini hali ingekuwa mbaya zaidi akiwa nje ya Yanga. Kumbuka Manji alijiingiza Yanga wakati akiwa katikati ya shutuma nyingi kuhusiana na NPF na jengo la Plaza. Na kweli alipojiingiza shutuma zilipoa.
 
Angebaki bench lingemuhusu huyu..!!sio kwa straika hyu anaekuja kutoka ghana,jtatu anatambulishwa rasmi..hongera ajib kwa kuwa na machale!!
Hata kwa Blagnon mlisema hivyo hivyo
 
Mbona awasemi mkataba wake ni Tsh ngapi? au kakimbia bench Simba maana uzuri wa ngoma ucheze nae
 
Back
Top Bottom