EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

Why Uhuru is so confidence... Au washafanya mambo wanaongeza sifur moja

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Tunawaombea Wakenya, uchaguzi huu uishe kwa amani na usalama.

Viongozi wa IEBC wahakikishe wanawatendea haki Wagombea wote ili Kenya ipate viongozi huru na kwa haki.

Mungu lbariki Kenya, Mungu lbariki Afrika Mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi ina 2mn Registered voters na Last time Raila Kashinda Nairobi kwa 59%

Bado Kura za Nairobi hazija jumuishwa according to Citizen TV

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nahisi Raila kashinda kwa Land slide Nairobi,ndo maana matokeo yanachelewa.Nashangaa Mji mkuu hadi sasa matokeo bado wakati miundo mbinu ya kitecnolojia ya mawasiliano hapo ndo kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…