Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
MAMBO si mazuri kwa railaRaila awamu hii bora akawe mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAMBO si mazuri kwa railaRaila awamu hii bora akawe mganga
Aki huu ni Ujinga mganiWatu hawapendi kupiga kura nini? Wajiandikishe 19 million, wanaopiga kura chini ya asilimia 5 ya waliojiandikisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi ajisalimishe tu hakuna namnaArego bado
Raila kazi anayo,kura laki 4 atazifidishia vipi?
Unaelewa hizi hesabu dah, very dangerous lady. I like, Victoire, will you marry me?Anatakiwa apate extra laki tatu ili aweze kulead vizuri ,thats why i said laki nne.
Wanafungua viwonder
Nairobi ina 2mn Registered voters na Last time Raila Kashinda Nairobi kwa 59%Arego bado
Raila kazi anayo,kura laki 4 atazifidishia vipi?
Hata mimi nahisi Raila kashinda kwa Land slide Nairobi,ndo maana matokeo yanachelewa.Nashangaa Mji mkuu hadi sasa matokeo bado wakati miundo mbinu ya kitecnolojia ya mawasiliano hapo ndo kwake.Nairobi ina 2mn Registered voters na Last time Raila Kashinda Nairobi kwa 59%
Bado Kura za Nairobi hazija jumuishwa according to Citizen TV
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh but its very disappointment to luo people ambavyo wanatamani MTU wao atawale kenyaHahahahaha,Kisumu tena mwanzako anaishi KAREN KWA WENYENAZO.
Picha zako zipo up side down,,jaribu kuziedit rotation utume upya
Inabidi wazaliane sana ili waweze weka mtu wa kwao Ikulu,hahahahahahhaahEeeeh but its very disappointment to luo people ambavyo wanatamani MTU wao atawale kenya
Geuza tu simu, maana napiga uzuri tu zikija kwenye kutokea huku zinatokea hivyo may be picha ni kubwa..Picha zako zipo up side down,,jaribu kuziedit rotation utume upya