hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Ww wasemaMagufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.
Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.
Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
Ni kama ameshashinda maana anamzidi Raila kwa zaidi ya kura milioni moja!
Shindwa kwa Jina la Yesu Kristo ...Magufuli hashindwi uchaguzi wa 2020.
Na kamwe CCM haitokuja kushindwa uchaguzi wa urais Tanzania.
Endeleeni tu kushabikia na kufurahia uchaguzi wa Kenya ila kwa Tanzania kaeni mkao wa kuugulia maumivu.
CHADEMA mgombea wenu si alikuwa Uhuru?Dah kma kweli kenyatta atashinda basi itakuwa siku mbaya kwa ukoo wa odinga maana baba yake odinga hakuweza kuwa rais mbele ya baba yake uhuru then watoto pia historia ijirudie??? I feel so bad for Raila

Anatokea ccm, kwani hujui?...Lowasa anatokea wapi?...
So far matokeo jumla yaliyotolewa hadi muda huu ni 66.2% ambapo Uhuru 5,602,722 Raila 4,462,244!
Turnout iko more than 66.2%