Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

sasa hapa umenieleza kitu, kumbe ukilipia 110000 wanakupa router bure ila utaendelea kulipia 110000 kila mwezi, kumbe ukilipia kiasi hicho baada ya hapo unalipia 70000. Ina ping ya ngapi hiyo?
 
Na huu ndio mtego, Kilio cha wengi, Na ukiungwa 110K, huwezi kushuka kuja package ya chini 70K.

Nafuu inageuka kuwa gharama.
Basi nilikuwa sijui maana nimetumia ya rafiki yangu analipa kiasi hicho
 
Shukrani sana mkuu. Hii ninaweza kuitumia kibiashara kwa kuvutia wateja kwenye eneo langu na hata kuuzia wateja wengine data?
 
Ndio waweza unga wengine, Maximum ni watumiaji 64.
=
Picha nimeunga kwa watu kadhaa. Na kila mmoja anafurahia unlimited internet kwenye kifaa chake/ TV yake
View attachment 3070558
Mkuu umetisha sana, Je una uzoefu kidogo kuhusiana na TTCL fiber, maana eneo ilipopita na nilipo mimi haizidi mita 40, wameichimbia chini, Je unawazungumziaje hao over Airtel in terms of cost na ubora wa huduma namna inavyotolewa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ok nitatumia maelezo ya kwenye picha yako uliyoituma mkuu ,Kama file la mb 10 linatumia sekunde 8 ku download je? Sekunde moja nita download mb ngapi?

Kwa kukurahisishia

10mb=8 seconds
X=1 second

Cross multiplication hapo unapata
X=(10mb/8 seconds)= 1.25 mbs per seconds kitu kile kile nilichokiandika mwanzo .

Infact theoretically ni 1.25mb/sec ila ukiweka factors nyengine nyingi zinashusha hizo mb so max nitaipa kama 900kb/sec hadi 1024kb/sec.

Anyways wacha nikusaidie link hii itakurahisishia mambo kidogo

 
Gb 3 siyo file kubwa, hata gb 10, 20, 30 siyo files kubwa hizo. Gb 3 zako unazishusha ndani ya nusu saa tu kwa hiyo speed, ikienda sana haizidi lisaa.
41 minutes to be exact na inaweza kuzidi hadi lisaaa limoja 10mbps ni equivalent ya 1.25 mb/second kwa spidi hiyo kushusha gb 10 litachukua masaa mawili na nusu(theoretically) au zaidi na inaweza kuzidi hadi masaa matatu inategemeana na muda anaotumia hiyo net pia .
 
Kuna bit na byte, kila byte moja ina bit 8, kwenye kifupi bit inakuwa na b ndogo na byte inakua na B kubwa.

Mtu akisema 8mbps inakuwa ni sawa 1mBps.

Wauza internet wanatumia bits ili ku inflate hizo figures zionekane kubwa ila computer OS kama windows na Android tunatumia bytes
 
Point yangu haikuwa hiyo, point yangu ni 10 Mbps = 10 mb/sec = 10 megabytes per second PERIOD na maana yake ni megabytes kumi kwa sekunde. Hayo ya sekunde 8 ni variations. 10 kmph = 10 km/hr = kilomita 10 kwa saa. Nilimkosoa sababu kaeleza as if 10 Mbps ni kitu tofauti na 10mb/sec ndo maana nimemwambia PER = na hii alama /.
 
We omba ya matumizi ya nyumbani (shared) then fungua kwenye biashara yako cha muhimu iwe unlimited, ukiomba ya biashara (dedicated) utashangaa unaambiwa milioni kadhaa kwa mwezi.
 
Shukrani mkuu, kuna kitu nilikuwa nachanganya bits na bytes.πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…