Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

wewe una bilioni ngapi? hata buku benki inawezekana huna🤣🤣
mtu hata mwenye uwezo wakusave hata milioni moja usimzarau anaweza kukushangaza

sembuse mondi mwenye bi kadhaa benki?anauwezo wakuanzisha biashara yoyote na ikasimama mapema tuu
 
Ulivyosema anajitafuta umenishangaza kidogo mtu anajitafuta anakuaje na media ambayo ni kubwa, record label, ananyumba nyingi amepangisha,kampuni ya betting, na ni ambassador wa makampuni makubwa kama airtel,Pepsi n.k unasemaje anajitafuta?
 
Aliyoyasema diamond yupo sahihi yote yanapatikana kwenye kitabu cha the magic of THINKING big elevate your thinking and believe in yourself and release your inner power.
 
Ulivyosema anajitafuta umenishangaza kidogo mtu anajitafuta anakuaje na media ambayo ni kubwa, record label, ananyumba nyingi amepangisha,kampuni ya betting, na ni ambassador wa makampuni makubwa kama airtel,Pepsi n.k unasemaje anajitafuta?

acha kukariri mkuu
 
Labda namba moja kwa utajiri Tandale au Madale

Tukimpa Salaah tu anamgalagaza hadi anaomba poo ,yaani hela ya airtel,pepsi,youtube ndiyo impe jeuri ya kuwa namba moja? Radio ,Wasafibet hapo kuna MAJENGEKA mengi sana ya kuwekwa FRONT kibiashara.

Kama Cristian anaingiza zaidi ya bilioni 8 kwa post moja tu insta lakini hayupo hata kwenye Top 1000.

Dayamondi una utajiri wa kibongo tu aliousema afande sele kwenye karata Dume.
 
Hyo ni plan yake...anataka hivyo akishindwa ni sawa lakin amejaribu...ulitaka asiwe na malengo?
Kuwa tajiri haliwezi kuwa lengo, Utajiri ni matokeo ya lengo, Sasa atuambie ana lengo gani ambalo ana amini litamfanya awe tajiri no 01 hapa Duniani
 
Wewe nae ni kiande km viande wengne mzee😁 mm kutokuwa na buku bank Haitoi ukweli kwamba hakun mtz atakuj kuwa Tajiri namba 1 duniani.

Huyo Mond pale Kawe hafui dafu, mnapamba ujinga tu.
 
Exposure Exposure Exposure
 
Nyie ndo mnashtukiaga mmepewa mirinda orange kwenye vikao vya ukoo kwa sababu mnakuwa masikini alafu wajuaji
 
Kama sijakosea nasikia wiki hii Bwana Elon Musk kupitia kampuni yake ya Space X wamefanya utalii wa kwanza kwenye space. Wataalamu naomba mje mseme wale mabilionea walioenda walilipa kiasi gani ? Kwa pesa za kitanzania ni sh ngapi ? Walifanya simulation kwa kipindi kipi ? Kuwa tajiri namba moja kwenye huu ulimwengu si mchezo, Ila kikubwa Mungu yupo na anajibu kadri ya unavyoomba na maono yako....
 
mtoa mada yupo sahihi ,ili mtu uwe tajiri kuzidi wengine kuna mambo mengi ya kuangalia...nayaelezea
1: level ya uchumi wa nchi uliyopo ..hii ina maana kuwa level ya uchumu wa tz inabidi iwe inaendana na uchumi wa dunia ya ulimwengu wa kwanza...hii ina maana awapite matajiri wote tz kama kina mo,bakhresa na wengineo ndo anaweza kuanza kuota ndoto za namna hii
2:aina ya kazi anayofanya,matajiri wengi duniani wanadeal na teknolojia sasa yeye sidhan kama ana ishu yoyote ya kiteknolojia anayojihusisha nayo
3:race yake....hapa kwa kuwa yeye ni mtu mweusi tena wa afrika ya mashariki ni ngumu watu weupe kumruhusu awe tajiri kuliko wao na wanaweza kumhujumu kwa namna yoyote asiingie kwenye list ya matajiri wa dunia japo 10 bora.nafkiri hii ni sera waliiweka wazungu kuzuia race zingine zisifanikiwekuwazidi wao...
4:elimu ...japo hii sababu haina mashiko sana kwenye utajiri wa mtu lakin ukiangalia matajiri wengi wana elimu angalau ya chuo kikuu...wachache chini ya hapo.sasa mwenzangu diamond nadhan ni form 4 na sidhan kama ana mpango wa kujiendeleza maana ukishakuwa na hela suala la kukaa chini kusoma inakuwa mtihani.
sababu zingine wadau watajazia nyama
 

hicho kipengele namba 4 ni takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…