hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
wewe una bilioni ngapi? hata buku benki inawezekana huna🤣🤣Mwanza Kule kuna watu wana mikwanja ,Arusha huko nako wapo Dar ndio kbsaaa na wote wala hajawakarbia kimkwanja hpo kuwa tu tajiri namba 1 wa Tz ni kimbembe kwake.
Kina Drogba, Akon ,Samwel Eto'o wanamiliki migodi mikubwa sana huko makwao na wamejengea vijiji vyao mahospital, shule, umeme endelevu lkn ht top 500 Africa hawapo.
Ronaldo, Messi, Mbappe, Mansour mmiliki wa Man city, Toddy Boehly mmiliki wa Chelsea wana mikwanja mirefu ila top 500ya matajiri wa dunia hawapo kbs, Jiulze kwa huyu msela wetu! Watu wakishatunza B10 Bank wanahisi tyr ni matajiri ooh!
mtu hata mwenye uwezo wakusave hata milioni moja usimzarau anaweza kukushangaza
sembuse mondi mwenye bi kadhaa benki?anauwezo wakuanzisha biashara yoyote na ikasimama mapema tuu