Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Nlikua nakuona mtu wa maana Sana kaka, kumbe wa hovyo kabisa
 
W
Ukanda wa Africa Mashariki una watu wengi sana wenye akili ndogo. Watu wenye akili ndogo ndio huwa wanapenda kujikita kwenye petty issues na maisha binafsi ya watu wasiowahusu.
Wallah your GAY
 
In my opinion,vita dhidi ya ushoga na vita dhidi ya umaskini siyo mutually exclusive kiasi kwamba ukishughulikia ushoga basi automatically unazuiwa kushughulika na mambo mengine kama umaskini na Bima ya Afya n.k. Hivyo hoja ya mleta mada haina mashiko unless na yeye ni shoga mwenye insurable interest na jambo hilo.Acha mambo hayo yafuatiliwe sambamba in paralllel hakuna la kungoja.Sioni mantiki ya kuacha ku-sensitize jamii kupingana na tabia mbaya za ushoga haswaa kwa young generation eti mpaka watu wote wapate bima ya afya na ajira
Kimsingi kunapesa nyingi zimemwaga kwaajili ya hii ajenda wanufaika watajuta baadae
 
Kama sio delicious basi mtumiaji ila anazuga kwa nakala ndefu
 
Pamoja na kuwa tunamatatizo mengi ila haituzuii sisi kama raia au taifa kuukemea ushoga. Yeyote anayefikiria kuwa ushoga sio tatizo kiivyo na hatupaswi kushughulika nao atakuwa anatukosea sana sababu hakuna muda sahihi wa kuanza kukemea ushoga na tusipoziba ufa tutajenga ukuta.
 
Ushoga ni tatizo kubwa sana na ni laana.. mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuutetea asilani abadan!
 
In my opinion,vita dhidi ya ushoga na vita dhidi ya umaskini siyo mutually exclusive kiasi kwamba ukishughulikia ushoga basi automatically unazuiwa kushughulika na mambo mengine kama umaskini na Bima ya Afya n.k. Hivyo hoja ya mleta mada haina mashiko unless na yeye ni shoga mwenye insurable interest na jambo hilo.Acha mambo hayo yafuatiliwe sambamba in paralllel hakuna la kungoja.Sioni mantiki ya kuacha ku-sensitize jamii kupingana na tabia mbaya za ushoga haswaa kwa young generation eti mpaka watu wote wapate bima ya afya na ajira
Mleta mada akili yake anaijua mwenyewe.
 
Mnaosapoti mada ya Ezekiel wote wapumbavu.

Hamujui consequences ya ushoga katika jamii,Taifa,uchumi na siasa?

Hamujui kuwa nguvu kazi kubwa itakuwa haujui kuzalisha zaidi ya kusubiri pesa za baasha zao??

Maadili yanaharibika na kuvunja utamaduni,wewe haui wewe mpk utamaduni wako uutunze.

Kama jambo la ushoga sio big issue why Marekani analazimika na kufazili ushoga.

Ebu achani kujiona mnazo kumbe punguani wa akili.

Kati ya nyie na nchi zilizohalalisha ushoga zipi zina uchumi mkubwa na zimeendelea?

Unaweza kupinga ushoga ila jenga hoja zenye mashiko. I don't condone ushoga ila sababu zenu nyingi ni za kijinga.
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Tuwe tunatumia akili kufikiri na siyo kama kutumia makalio aise.Yule mtafiti ameonyesha kuwa Kuna nguo na perfume vimetengezwa mahususi kabisi tutoa hormoni za kike na kumwingia Mtoto wa kiume kumbadirisha awe shoga.kwako hili unaona ni sawa TU.we huoni ni tatizo? We huoni ni sawa na dawa za kulevya zinazoharibu Mtoto wa Africa awe zezeta Ili mzungu aje abebe rasimali za Nchi? Mie nakwambia ningekuwa ndiye raisi hawo Wote wanaopromote ushoga na kamata na kutwanga risasi
 
Katoa maoni yake lakini sio kwamba ndio ukweli.

Ushoga si jambo dogo kama anavyo waza yeye, ni jambo kubwa na inabidi lizuiwe kwa namna yoyote kama kweli anapenda kuona taifa lake likifika mbele.

Nasema hivyo kwa sababu kuna vitu kama taifa hili lifike hatua nzuri kimaendeleo(social development,economic development,and political development) lazima viwe kipaumbele navyo ni: Ethics and Identity.

Taifa linahitaji kuwa na misimamo ambayo ndio miongozo ya maisha ya mwanadamu.Ushoga sio utambulisho wetu hata siku moja .So, lazima upingwe na inaonekana nguvu nyingi inatumika na sababu kubwa ni kwamba jambo hili lipo katika initial stage which is why most of people are voicing up.

Najua atakuja na mifano sijui mbona Marekani and blah! blah! haya mambo yapo lakini wamepiga hatua upande wa uchumi.Lakini anasahau kwamba ata Marekani hiyo ushoga ulipingwa na was minority right in early of 1970s.Kuweka mambo sawa ni kwamba ushoga hujawahi kuwa utambulisho wa maisha yetu watanzania kwahiyo huo utamaduni hatuwezi kukubaliana nao(ndio,culture is dynamic but we can't accept this value)

Kama anahisi tatizo la ajira ni Tanzania tu basi atakuwa na ajenda zake binafsi.Hili ni tatizo karibu kila kona ya dunia(but I can't tell how big or small is in other places).Mambo ya tabia ya nchi ni jambo la kidunia pia sio Tanzania tu.Kwahiyo hizi hoja zake hazina mashiko.

Mashoga ni watu ambao wako na mental disability sasa anataka taifa liwe na watu wa hivyo kwamba ndio watakuza uchumi? watakuja na sera za kulinda mazingira sio? wataleta ajira?
Binafsi unawajua mashoga na wasagaji wangapi? Sio wa kusimuliwa.
Amandla...
 
Tuwe tunatumia akili kufikiri na siyo kama kutumia makalio aise.Yule mtafiti ameonyesha kuwa Kuna nguo na perfume vimetengezwa mahususi kabisi tutoa hormoni za kike na kumwingia Mtoto wa kiume kumbadirisha awe shoga.kwako hili unaona ni sawa TU.we huoni ni tatizo? We huoni ni sawa na dawa za kulevya zinazoharibu Mtoto wa Africa awe zezeta Ili mzungu aje abebe rasimali za Nchi? Mie nakwambia ningekuwa ndiye raisi hawo Wote wanaopromote ushoga na kamata na kutwanga risasi
Nyie ndio mlioamini kuwa Bill Gates ameweka microchip katika chanjo za Covid.

Amandla...
 
Ukanda wa Africa Mashariki una watu wengi sana wenye akili ndogo. Watu wenye akili ndogo ndio huwa wanapenda kujikita kwenye petty issues na maisha binafsi ya watu wasiowahusu.
Nyie watu wenye akili kubwa mnashughurika na yanayo wahusu?, au nyie ndio mawakala wa ushoga?,au shoga kabisa?,
 
Kwa hiyo tunasubiri mpaka litakapokuwa karibu. Yaani kwa lugha nyingine bwana ezekiel anasubiri hadi kijana wake wa kiume siku amuage nyumbani kuwa anaenda kulala kwa bwana wake.
Kisa tu anaripotia BBC!. Tayari kaanza kuhamasishwa ushoga,
 
Kwa mtu makini, mcha Mungu au mwenye hofu ya Mungu ushoga sio kitu cha kuacha kukemea au sio kitu cha kuteteta kabisa! Huu ni ushetani na upumbavu wa hali ya juu!
 
Ukanda wa Africa Mashariki una watu wengi sana wenye akili ndogo. Watu wenye akili ndogo ndio huwa wanapenda kujikita kwenye petty issues na maisha binafsi ya watu wasiowahusu.
Kwa 100% unaonekana wewe ni mse**
Kumbuka Sodoma na Gomora, kumbuka wewe ni wa Jehenamu milele!
 
Back
Top Bottom