Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

CHADEMA washajipigia mihela kutoka kwa mashoga sasa hivi wako zào kimya. Karibu vyama vyote vya upinzani Afrika wanalaani matamko ya VP Kamala lakini CHADEMA wao kimya. Hiki chama kitaendelea kupata adhabu kwenye sanduku la kura kwa muda usiojulikana.
 
Hii siyo proper forum ya kuanza kukufundisha at free cost wewe champion wa ushoga .Nimekwambia kafanye research siyo kukurupuka na kukariri na ku misinterpret hiyo Universal Declaration of HR Ili ku- justify uchafu wako wa ushoga.Hizi habari za Human Right ni very diverse Kwa mtu uliyekwishapotoka kama wewe inahitaji muda wa kutosha which I am not ready to waste my time
Hauna unalojua. Unashindwa kuitetea hoja yako. Shida yenu vijana wa siku hizi mnadhani kwa sababu mnajua kiingereza basi wengine wote ni idiots. Utasemaje kuwa utakuwa unapoteza muda kutafuta kitu ambacho umesema kwa uhakika kipo? Si nenda moja kwa moja kwenye chapter inayohusika?

Nimekuuliza basic question kuwa uwapo wa mashoga unakuathiri vipi umeshindwa kujibu.
Acheni kuwa mavuvuzela.

Amandla...
 
MASHOGA MASAGAJI YAMEANZA KUSEMA TUNAKUZA SANA KUONGELEA USHOGA.... Mapumbavu yanataka tuendelee kukaa kimya yaharibu watoto na vijana... Huyo Ezekiel Kamwaga naye achunguzwe mwanaume gani ana nawiri vile
 
Siku tukija kushtuka kuwa walipokea fungu kimkakati tutakuwa tushapotea sana.

Tupo hapa tutakuja kuambizana siku sio nyingi. Naungana kabisa na Ezekiel Kamwaga.
 
Kamwaga kwa ili hapana ,heri tuwe masikini kuliko kuwa mashoga
 
Anaandika Ezekiel Kamwaga:

Tuwe makini

Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’ hawa wa Kupinga ushoga kama ndiyo watu wa muhimu zaidi. Nchi kubwa zimeanza kuyumba baada ya kuwafanya watu wanaojadili mambo madogo kuwa wa maana na kudharau wale wenye mawazo makubwa yenye kuondoa shida kubwa. Matatizo ya Tanzania yanajulikana. Kuna shida kubwa ya ajira kwa vijana wetu

Wapo viongozi wamesema hilo ni bomu. Vijana wenye nguvu, maarifa na ujuzi lakini wenye njaa na hasira ni tatizo kubwa kuliko ushoga. Tuna tatizo la mamilioni ya Watanzania kuwa nje ya mfumo wa Bima ya Afya na wanafilisika kwa kuugua au kuuguza. Kuna tatizo la ubora wa elimu yetu

Kwenye kukabiliana na changamoto za kisasa za duniani. Kuna tatizo la utayari wetu kujiandaa na majanga kwenye dunia hii ya mabadiliko ya TabiaNchi. Tutumie nguvu na maarifa zaidi kujadiliana mambo ambayo kweli ni shida kwetu. Tukienda na hii njia tuliyoanza, tutakuja kuchagua

Viongozi ambao sifa yao kubwa ni kupinga ushoga. Hiyo tu. Analysis ya siasa za siku hizi inaonyesha kwamba viongozi/wanasiasa wanaopoteza muda na vitu vya hisia ni wale ambao hawana majibu ya maswali magumu yanayokabili jamii zao wakati huo. Wanabaki kuwa watu wa vitu vidogo
Ana hoja kuhusu viongozi wetu lkn Hana hoja kuhusu ushoga.

Ameonyesha akili halisi za kitanzania. Watanzania hatushughuliki na chanzo cha tatizo tunasubiri Hali imekuwa mbaya tunaanza kuhangaika na matokeo ya tatizo.

Ni kweli tuna tatizo la ajira, lkn tunaelekea yanayoendelea mpaka huko shule za msingi na sekondari watoto na vijana kulawitiana.?

Kwanini ushoga siyo agenda? Tuiache ushoga ushamiri halafu tuuache, tushughulije na ajira, Zitakuwa ajira za mashoga kwa wakati huo.

Ajira Ni tatizo na ushoga Ni tatizo pia linalochipukia kwa kasi. Lazima kila mtu apaze sauti.

Kuna wakati mtu unakuwa na mashaka na maandishi fulani. Ukajiuliza huyu naye Ni mmoja wao anayewasapoti au vipi.

Huku mtaani vijana wa kiume wanakulana haswaa. Kizazi kinakwenda kuangamia.
 
Wewe na huyo shoga mwenzio tutawashughulikia. Ushoga hautakiwi Tanzania.
 
Wabunge, VIONGOZI wa Serikali,wa DINI na MADHEHEBU wako busy kuonyesha ni kwa jinsi gani wanakerwa na USHOGA...

Kweli wanaonyesha wana UCHUNGU na HASIRA sana juu ya USHOGA ila wanachokifanya hakisaidii kumaliza wala kupunguza USHOGA maana hakuna hata mmoja anawaeleza WANANCHI na WAUMINI jinsi ya kukinga na kuokoa watoto na kizazi kijacho kuguswa na hii laana..

Mzazi uliwahi saa 8 kwenda Kanisani kwa MWACHA au MWAMPOSA kukemea pepo la USHOGA kabla mwanao hajarudi toka shule ambako hujui alishindaje na usiku yuko kulala chumba kimoja na mjombake au babaye mdogo mpaka saa 8 unaporudi nyumbani!!! Halafu unategemea asiliwe ndogo kweli????

Viongozi wa dini kazi ni kukemea tu mapepo zaidi ya hapo mnatuambia TUCHUKUE KADI ZA WATOTO za PARTNERSHIP za malaki eti MUNGU atapokea maombi yenu....😂😂😂😂

Hivi mnapotuambia kwamba TAIFA liombe kwa nguvu zote, kwani hiyo miaka yote USHOGA si ulikuwepo na waombaji pia walikuwepo?

PAMOJA NA HAYO ILA AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO..
 
Serikali ichague, iwaue wote au ikae kimya

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tukimaliza kuwaua mashoga tutawaua wanawake wote wenye ndevu, kisha wanaume wote wenye maziwa na shape za kike kama mzee kizota, kisha tutageukI wote wenye makengeza, kisha wafupi wote, wenye matende na mabusha wote , warefu wote, wanaume wote wenye sauti nyororo, wake wote wanaotembea kMa madame nk
Hapa nani atapona?
 
Usinishawishi nijione mtabiri, kabla hujaandika au sijafungua jamii forum nilikuwa nahisi kutakuwa na watu wenye kuyasema kama haya uliyoyasema, ila nikahisi wataosema hivi aidha ni mashoga wenyewe au mabasha katika hali ya kuwa-criticize wakemeaji.

Issue ya ajira watanzania wengi ni wavivu watu tunaona hatuwezi kufanya biashara ya 500/- eti tu Kwa vile ana kuwa cha degree katika fani yake na anavizia kuajiriwa na serikali na hao hao baadae wanakuja kuajiriwa na watu ambao wamejituma sana wakiwa na kiwango kidogo cha elimu.
Tukupe 500/= uanze biashara ndugu mchangiaji?
 
Limit pekee ya human right ni kuwa it does not cause any harm. Mwanzoni ilikuwa isi cause harm to other humans peke yake lakini siku hizi kuna watu wanai extend kwa wanyama, mimea na mazingira.

Ukiweza kuthibitisha kuwa uwepo wa mashoga unakuzuia kufaidi haki yako kama binadamu ndio watawekewa limit maana watakuwa wame cause harm. Bruised ego sio sababu.
Najua ninachoongelea. Kuliko wewe.

Amandla...
Bora umuambie huyooo.
 
Mkishindwa kutetea hoja zenu mnakimbilia kumuita mtu shoga. Nifahamishe basi hiyo cultural diversity imekuwa reflected wapi kwenye the Universal Declaration of Human rights.
Nitajie athari tatu ambazo jamii at large inapata kutokana na uwepo wa James Delicious.

Amandla...
Hawana hoja zaidi ya mihemko isiyo na maana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii siyo proper forum ya kuanza kukufundisha at free cost wewe champion wa ushoga .Nimekwambia kafanye research siyo kukurupuka na kukariri na ku misinterpret hiyo Universal Declaration of HR Ili ku- justify uchafu wako wa ushoga.Hizi habari za Human Right ni very diverse Kwa mtu uliyekwishapotoka kama wewe inahitaji muda wa kutosha which I am not ready to waste my time
Huna hojaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku tukija kushtuka kuwa walipokea fungu kimkakati tutakuwa tushapotea sana.

Tupo hapa tutakuja kuambizana siku sio nyingi. Naungana kabisa na Ezekiel Kamwaga.
Watu hawawezi kukuelewaa hapaaa, wamejaa mihemko isiyo na maana.
 
Wabunge, VIONGOZI wa Serikali,wa DINI na MADHEHEBU wako busy kuonyesha ni kwa jinsi gani wanakerwa na USHOGA...

Kweli wanaonyesha wana UCHUNGU na HASIRA sana juu ya USHOGA ila wanachokifanya hakisaidii kumaliza wala kupunguza USHOGA maana hakuna hata mmoja anawaeleza WANANCHI na WAUMINI jinsi ya kukinga na kuokoa watoto na kizazi kijacho kuguswa na hii laana..

Mzazi uliwahi saa 8 kwenda Kanisani kwa MWACHA au MWAMPOSA kukemea pepo la USHOGA kabla mwanao hajarudi toka shule ambako hujui alishindaje na usiku yuko kulala chumba kimoja na mjombake au babaye mdogo mpaka saa 8 unaporudi nyumbani!!! Halafu unategemea asiliwe ndogo kweli????

Viongozi wa dini kazi ni kukemea tu mapepo zaidi ya hapo mnatuambia TUCHUKUE KADI ZA WATOTO za PARTNERSHIP za malaki eti MUNGU atapokea maombi yenu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi mnapotuambia kwamba TAIFA liombe kwa nguvu zote, kwani hiyo miaka yote USHOGA si ulikuwepo na waombaji pia walikuwepo?

PAMOJA NA HAYO ILA AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom