Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

Red sky

Member
Joined
Jul 1, 2024
Posts
17
Reaction score
34
Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi nzima

Kutokana na ruzuku kua ndogo, hivyo Mboe inambidi atoe pesa zile ili mambo yaende sawia, hili laweza kua kweli? Nahapa mimi nina maswali je Mboe anapotoa pesa anakisaidia chama? Au anakikopesha chama? Na je anakikopesha kwa riba au?

Ukweli mchungu nikua Chama kama Chadema hakiwezi kushindwa kujiongoza chenyewe kwakutegemea wanachama wake na watu mbalimbali wanaokipenda chama, kwa mfano pamekua na taalifa ambazo kwasasa ni rasmi kua CHADEMA kina wanachama walio jisajili yapata laki tano.

Hiki nikiasi kikubwa cha rasilimali watu hawa wakitoa wote kiwango cha chini cha mchango ambacho ni tsh 2500 inapatikana zaidi ya bilion 1.2 hiyo ni kwa wale wenye kadi tu. Ikumbukwe watu wanaojitoa kuchukua kadi za chama niwachache kutokana nakua watu wengi hawapendi kuonekana wako chama cha upinzani hapa Tanzania,

Sasa changamoto kubwa ni watu kua na imani na viongozi, katika mazingira ambayo tuhuma za rushwa zinakua nyigi,matumizi ya pesa ya hovyo inakua inakatisha watu tamaa kuchangia pesa, Ndio maana ukizitafakari hakili za Wenje nikua Lissu Akiwa Mwenyekiti Chadema ukata wa Pesa utamfanya ashindwe kuongoza chama,

Jambo ambalo si kweli kwani kutokana na uadilifu wa Lissu utawasukuma watu wengi zaidi kuchangia chama, kwani watafikili kua zitatumika sahihi, ninahakika kua kama watu wakiwa naimani na uongozi, Chadema Inauwezo wakukusanya hata zaidi ya bilion mbili kwa mwaka kutoka kwa wanachama ukiacha hiyo milion mia na ushee ya ruzuku. Pesa ambayo inaweza kuendesha chama bila kutegemea pesa za mtu mmoja au watu wachache
 
Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi nzima kutokana na ruzuku kua ndogo, hivyo Mboe inambidi atoe pesa zile ili mambo yaende sawia, hili laweza kua kweli? Nahapa mimi nina maswali je Mboe anapotoa pesa anakisaidia chama? Au anakikopesha chama? Na je anakikopesha kwa riba au? Ukweli mchungu nikua Chama kama Chadema hakiwezi kushindwa kujiongoza chenyewe kwakutegemea wanachama wake na watu mbalimbali wanaokipenda chama, kwa mfano pamekua na taalifa ambazo kwasasa ni rasmi kua chadema kina wanachama walio jisajili yapata laki tano. Hiki nikiasi kikubwa cha rasilimali watu hawa wakitoa wote kiwango cha chini cha mchango ambacho ni tsh 2500 inapatikana zaidi ya bilion 1.2 hiyo ni kwa wale wenye kadi tu. Ikumbukwe watu wanaojitoa kuchukua kadi za chama niwachache kutokana nakua watu wengi hawapendi kuonekana wako chama cha upinzani hapa Tanzania, Sasa changamoto kubwa ni watu kua na imani na viongozi, katika mazingila ambayo tuhuma za rushwa zinakua nyigi,matumizi ya pesa ya hovyo inakua inakatisha watu tamaa kuchangia pesa, Ndio maana ukizitafakali hakili za Wenje nikua Lissu Akiwa Mwenyekiti Chadema ukata wa Pesa utamfanya ashindwe kuongoza chama, jambo ambalo si kweli kwani kutokana na uadilifu wa Lissu utawasukuma watu wengi zaidi kuchangia chama, kwani watafikili kua zitatumika sahihi, ninahakika kua kama watu wakiwa naimani na uongozi, Chadema Inauwezo wakukusanya hata zaidi ya bilion mbili kwa mwaka kutoka kwa wanachama ukiacha hiyo milion mia na ushee ya ruzuku. Pesa ambayo inaweza kuendesha chama bila kutegemea pesa za mtu mmoja au watu wachache
Wewe binafsi, kabla uzi haujaa wanga, umewahi kutoa mchango wowote chadema, au kulipia ada ya uanachama wako?
 
Mwenyekiti kutoa fedha kwa sababu ya nafasi aliyopo kunafanya chama kiwe mradi binafsi wa mtu, ni mwendelezo wa upumbavu wa mtu mweusi tu.

Kama ana mapenzi na chama anashindwa nini kutoa fedha hata akiwa mstaafu mwenye heshima zake? Ndio maana miaka yote kuna utata kwenye matumizi ya fedha za chama, kumbe mhuni anajilipa kwa riba fedha anazoukopesha mradi wake!

Tundu Lissu kwa uadilifu wake kavumilia mengi, kwa muda mrefu, sasa kaona imekuwa too much kaamua mbwai mbwai. Kwa mtu mwadilifu ni mtihani sana kuvumilia uchafu kwa miaka kibao, ila matapeli wanaonufaika na mfumo huo kama akina wenje hawaoni shida na wanaweza kuzungumza proudly hadharani.

Waliokuwa wakisema CDM ni SACCOS ya Mbowe sikuwa nikiwaziingatia hasa kutokana na CV zao za kijani zilizolaanika, lakini naona sasa ni muda wa kukubaliana na shetani japo kwa hili moja.
 
Hua nina lipia ada ya kadi yangu kila mwaka kama ambavyo ntaendelea
Kumbuka wapo wengi wasiolipia, na ndio chanzo cha kukosa pesa za kujiendesha. Hivyo toa michango watu wafanye mikutano.
 
Wewe binafsi, kabla uzi haujaa wanga, umewahi kutoa mchango wowote chadema, au kulipia ada ya uanachama wako?
Akikujibu, NDIYO au HAPANA unataka umfanye nini kwani..?

Mbona mantiki ya swali lako ni kama umeshaandaa na kisu cha kumchinjia kabisa akikupa Jibu lolote...?

Maana yangu ni kuwa, your question is out of logic...!

Unapaswa kujadili hoja badala ya kuuliza swali la kijinga na la kitoto kama hili...

BACK TO THE TOPIC:

1. Nitofautiane kidogo na mleta hoja kwenye eneo la "idadi ya wanachama". CHADEMA si kweli kuwa Ina wanachama registered 500,000 tu nchi nzima. Wanachama registered wa CHADEMA wako zaidi ya 5,000,000 nchi nzima. Sisi ndio watunza database ya chama...

2. Nakubaliana na mleta hoja kuwa, tatizo la CHADEMA sio fedha bali ni kukosekana trust & faith kwa uongozi ulio chini ya Freeman Mbowe (Mwenyekiti) sasa. Hoja za Wenje huko Wasafi TV ni dhaifu sana, za mtu aliyechanganyikiwa na za kujitetea na kujisafisha tu yeye na Boss wake waathirika wa rushwa ya Abdul na Mama Abdul...

3. Wenje na Team Mbowe are very frustrated na rushwa ya Abdul na Mama yake a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Mwenyekiti wa CCM TAIFA na Rais wa JMT...

4. Wako confused kwa sababu "RUSHWA HUPOFUSHA FIKRA ZA KIONGOZI kiasi cha wakati fulani kuonekana kama amechanganyikiwa kabisa. Ndivyo alivyo Wenje na wenzake sasa....

5. Ndo kusema, kwamba, chama kinaweza kukiendesha kwa kutumia fedha za michango ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki muhimu kabisa ambako wako mamilioni nchini na duniani kote.....

6. Kinachotakiwa kwanza kabla ya yote ni kurejesha imani miongoni mwa makundi haya yote (wanachama, wapenzi na mashabiki) ambao ndio wafadhili wa chama hiki. Na hilo linawezekana si kwa njia nyingine bali kwa kusafisha uchafu uliopo chamani sasa. Na lazima usafi huu uanzie juu (kumuondoa Mwenyekiti huyu kwa kuwa hataki kujitunzia heshima yake kwa kung'atuka mwenyewe) kisha turudi kwenye mifumo ya uendeshaji na usimamizi wa chama ikiwemo kufanya mabadiliko muhimu kwenye katiba ya chama.
 
Ndomana nimesema watu wengi hawalipi au kutoa michango kutokana nakutokua nauaminifu na viongozi wao na ndomana mabadiliko yanahitajika .
Hawachangii kwasababu hawana pesa, na kuona chama siyo kipaumbele chao. Siyo swala la uaminifu. Chama kina kaguliwa na CAG, umewahi kusikia wamepata hati CHAFU ya ukaguzi?

Kaombe kazi uwe muweka hazina wa Chadema tujifunze kwako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Akikujibu, NDIYO au HAPANA unataka umfanye nini kwani..?

Mbona mantiki ya swali lako ni kama umeshaandaa na kisu cha kumchinjia kabisa akikupa Jibu lolote...?

Maana yangu ni kuwa, your question is out of logic...!

Unapaswa kujadili hoja badala ya kuuliza swali la kijinga na la kitoto kama hili...

BACK TO THE TOPIC:

1. nitofautiane kidogo na mleta hoja kwenye eneo la "idadi ya wanachama". CHADEMA si kweli kuwa Ina wanachama registered 500,000 tu nchi nzima. Wanachama registered wa CHADEMA wako zaidi ya 5,000,000 nchi nzima. Sisi ndio watunza database ya chama...

2. Nakubaliana na mleta hoja kuwa, tatizo la CHADEMA sio fedha bali ni kukosekana trust & faith kwa uongozi ulio chini ya Freeman Mbowe (Mwenyekiti). Hoja za Wenje huko Wasafi TV ni dhaifu lakini za kujitetea na kujisafisha yeye na boss wake. Ndo kusema chama kinaweza kukiendesha kwa kutumia fedha za michango ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki muhimu kabisa. Kinachotakiwa ni kurejesha imani miongoni mwa makundi haya. Na hilo linawezekana si kwa njia nyingine bali kwa kusafish a uchafu uliopo chamani sasa. Na lazima usafi huu uanzie juu kisha turudi kwenye mifumo ya uendeshaji na usimamizi wa chama.
Hahah umepanic tu, au ushaanza yale mambo mapema hii.

Msingi wa swali, ni kwamba wengi wanolalamikia pesa, hata siyo wanachama, na wanachama wengi hawachangii au kulipia ada za uanachama wao, lakini ndio wapiga kelele wa kwanza.
 
Kama idadi ni wanachama 5,000,000 basi hiki nichama kinacho weaza kujindesha vizuli kama kikipata uongozi unaoaminika kwa wanachama kwani endapo nusu ya wanachama watachangia kiwango cha chini cha kadi yani tsh 2500 kwa mwaka zitapatikana zaidi ya bilion 6.2 kwa mwaka kiasi ambacho nikikubwa sana.
 
Hahah umepanic tu, au ushaanza yale mambo mapema hii.

Msingi wa swali, ni kwamba wengi wanolalamikia pesa, hata siyo wanachama, na wanachama wengi hawachangii au kulipia ada za uanachama wao, lakini ndio wapiga kelele wa kwanza.

1. Sijapanic. Nilikuwa nakurudisha kwenye mjadala...

2. Kama sio wanachama wanaolalamika ni kina nani? Mawe au mbwa pori? Kwa uelewa na tafsiri yako wewe, mwanachama ni nani kwani? Tundu Lissu sio mwanachama? Heche Je? Mimi Je? Unanijua? Unawajua wanachama wote wa CHADEMA wewe?

3. Kura za mitandaoni zimepigwa kuhusisha watu zaidi ya 30,000. Karibu 95% zinamkataa Freeman Mbowe. Hao waliopiga kura hizo kwa ufahamu na akili zako unadhani ni viongozi wa CHADEMA tu? Hao kwa taarifa yako ndio wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA ambao ndio wafadhili wa chama hiki. Kuwabeza na kuwapuuza kwa sababu tu ufahamu wenu umeshapofushwa na rushwa ya Abdul mtakuwa mnafanya kosa kubwa la kuiua CHADEMA...!!

4. Tusikubali CHADEMA ife kwa sababu ya mtu mmoja tu Freeman Mbowe na genge lake anayejiita "Tajiri na mfadhili wa chama" wakati ni mwizi tu kwa mlango wa nyuma....!!
 
Nakumbuka kuna kipindi makada mbali mbali wa CHADEMA walikuwa wanataabika wakiulizwa na Odemba kuwa Pesa za join the chain zilitumikaje ? 🐼
Swali hili lilikuwa linaulizwa makusudi kabisa..

Watu (hata wasio wana CHADEMA) wanajua kuwa pesa ilipigwa na Freeman Mbowe na genge lake...

Yaani CHADEMA wanamfungulia shetani mlango wenyewe. Anaanza kuwachinja na kuwatesa, kisha wanaanza kulia na kilaumu CCM..

Sijui ni kwanini sikulijua hili mapema...

Tumetetea mno Freeman Mbowe kwenye hili. Kumbe bwana, tulikuwa tunatetea adui aliyemo ndani mwetu wenyewe...

Sasa nimeelewa na kuamini kuwa, ADUI WA MTU NI WALE WA NYUMBANI MWAKE MWENYEWE....!
 
Dalali wenje kila akiongea huzidi kumchafua Mbowe pasipo kujua kuwa anaongea ujinga mtupu, Mbowe hana pesa za kusaidia chama kwanza Mbowe binafsi huwa ni mchoyo sana akiwa na pesa hula peke yake, anachofanya mbowe ni kuiba pesa za chama kwa ujumla ikiwemo za misaada anajimilikisha kienyeji na kutakatisha pesa kwa kisingizio za kukopesha chama au kusaidia chama, ni wizi wa aina yake ndiyo maana mbowe hataki kuachia uenyekiti kwa hofu ya mwenyekiti mpya kuibua madudu yake mengi ikiwemo ufisadi Rushwa ya Ngono viti maalum na mengineyo mengi ya hovyo
 
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine pia ni Dikteta anang’ang’ania uenyekiti ili kuficha maovu yake mengi aliyofanya
 
Ni vigumu chadema kuwa na Akiba ya pesa chini ya mbowe kwani mbowe ndiyo mhasibu mwenyewe hataki mtu mwingine kwenye idara ya pesa hata katibu mkuu mnyika hana mamlaka juu ya pesa za chama na hiyo ndiyo fursa huitumia kuiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kisingizio cha kukikopesha chama, pesa ya chadema huwa inageuzwa kuwa ya mbowe kienyeji kisha anajidai eti hujitolea kutoa pesa zake mfukoni
 
1. Sijapanic. Nilikuwa nakurudisha kwenye mjadala...

2. Kama sio wanachama wanaolalamika ni kina nani? Mawe au mbwa pori? Kwa uelewa na tafsiri yako wewe, mwanachama ni nani kwani? Tundu Lissu sio mwanachama? Heche Je? Mimi Je? Unanijua? Unawajua wanachama wote wa CHADEMA wewe?

3. Kura za mitandaoni zimepigwa kuhusisha watu zaidi ya 30,000. Karibu 95% zinamkataa Freeman Mbowe. Hao waliopiga kura hizo kwa ufahamu na akili zako unadhani ni viongozi wa CHADEMA tu? Hao kwa taarifa yako ndio wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA ambao ndio wafadhili wa chama hiki. Kuwabeza na kuwapuuza kwa sababu tu ufahamu wenu umeshapofushwa na rushwa ya Abdul mtakuwa mnafanya kosa kubwa la kuiua CHADEMA...!!

4. Tusikubali CHADEMA ife kwa sababu ya mtu mmoja tu Freeman Mbowe na genge lake anayejiita "Tajiri na mfadhili wa chama" wakati ni mwizi tu kwa mlango wa nyuma....!!
Hahaha unamatatizo wewe, wapi nimesema mwanchama ni mimi tu? Na wapi nimeongelea habari za Lisu na Mbowe? Nikujue ili iweje sasa?

Kama unataka tujadili hayo ya Mbowe na Lisu ungesema tangu mwanzo.

Wafuasi wa Lisu mnamatatizo sana, mnataka kila mtu afikiri kama nyie. Sipendi tabia zenu kuhukumu watu bila ushahidi, manajaza watu ujinga mkiulizwa ushahidi hamna.

Chadema haifi, ila mjifunze kuwa na staha muelewe nini kinazungumzwa wapi na nani?

Sasa huo wizi wa Mbowe mliisha mshitaki mahakamani?

Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti, haelewi wizi ni kosa? Mliisha mshitaki huyo Mbowe kwa wizi wa mali za chama?

Na kwanini hamjaleta internal na external auditor ili watuletee ukweli wa wizi huo?

Lini CAG report ilionyesha matatizo?

Wekeni financial statement tuone kaiba wapi kaiba lini, na kiasi gani?

Nyie mnampenda Lisu ndio chaguao lenu, acheni na wengine wawe na uhuru wa kuchagua. Mtizamo wako siyo wangu.

Hakuna tuhuma dhidi ya Mbowe mmewahi kuithibitisha popote. Hivyo yote mnayozusha ni uongo.

Lisu ni wakili, na ana mawakili wengi nyuma yake, wanaweza kujitolea kumfungulia Mbowe mashitaka, ya wizi na ubadhilifu wa mali za chama. Mmeamua kuyasema maovu yake hadharani, kwanini msiyapeleke mahakamani?

Lisu siyo Mungu, anamapungufu lukuki lakini mnayaona ni sifa kwasababu ya mapenzi mliyonayo kwake.

Kama chadema itakufa na ife tu, Lisu ana uwezo mzuri wa kuandika katiba ya chama bora duniani, atafanya hivyo na atasajiri chama kipya na wafuasi tayari anao, tatizo liko wapi?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mbowe ni mwizi mkubwa wa pesa za chadema yafaa wamshukuru Lisu kugombea uenyekiti angalau pesa alizoficha mbowe ziliwe na Wajumbe chawa wake kuliko angekula zote peke yake, Kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, Wenje na Boniface imejua jinsi ya kula pesa za mbowe wanazitafuna sana na ndiyo wanakula njama za kufanya uchakachuaji wamwibie Lisu kura na mbowe kuwa mshindi haramu
 
Ushahidi uletewe ghetto ulipo? Kwani hujui hiki ni kipindi cha kampeni lazima mapungufu ya boss wako Mbowe yaanikwe na kama unataka mbowe apelekwe mahakamani ngojea uongozi mpya uingie Ofisini ukusanye madudu yenu yote ya hovyo ili mbowe asogezwe mahakamani kama unavyotaka wewe
 
Hahaha unamatatizo wewe, wapi nimesema mwanchama ni mimi tu? Na wapi nimeongelea habari za Lisu na Mbowe? Nikujue ili iweje sasa?

Kama unataka tujadili hayo ya Mbowe na Lisu ungesema tangu mwanzo.

Wafuasi wa Lisu mnamatatizo sana, mnataka kila mtu afikiri kama nyie. Sipendi tabia zenu kuhukumu watu bila ushahidi, manajaza watu ujinga mkiulizwa ushahidi hamna.

Chadema haifi, ila mjifunze kuwa na staha muelewe nini kinazungumzwa wapi na nani?

Sasa huo wizi wa Mbowe mliisha mshitaki mahakamani?

Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti, haelewi wizi ni kosa? Mliisha mshitaki huyo Mbowe kwa wizi wa mali za chama?

Na kwanini hamjaleta internal na external auditor ili watuletee ukweli wa wizi huo?

Lini CAG report ilionyesha matatizo?

Wekeni financial statement tuone kaiba wapi kaiba lini, na kiasi gani?

Nyie mnampenda Lisu ndio chaguao lenu, acheni na wengine wawe na uhuru wa kuchagua. Mtizamo wako siyo wangu.

Hakuna tuhuma dhidi ya Mbowe mmewahi kuithibitisha popote. Hivyo yote mnayozusha ni uongo.

Lisu ni wakili, na ana mawakili wengi nyuma yake, wanaweza kujitolea kumfungulia Mbowe mashitaka, ya wizi na ubadhilifu wa mali za chama. Mmeamua kuyasema maovu yake hadharani, kwanini msiyapeleke mahakamani?

Lisu siyo Mungu, anamapungufu lukuki lakini mnayaona ni sifa kwasababu ya mapenzi mliyonayo kwake.

Kama chadema itakufa na ife tu, Lisu ana uwezo mzuri wa kuandika katiba ya chama bora duniani, atafanya hivyo na atasajiri chama kipya na wafuasi tayari anao, tatizo liko wapi?
Hii 👇👇ndiyo hoja yako uliyojibu..

".....Msingi wa swali, ni kwamba wengi wanolalamikia pesa, hata siyo wanachama, na wanachama wengi hawachangii au kulipia ada za uanachama wao, lakini ndio wapiga kelele wa kwanza...."

Nikakujibu hivi👇👇👇

".....Kama sio wanachama wanaolalamika ni kina nani? Mawe au mbwa pori? Kwa uelewa na tafsiri yako wewe, mwanachama ni nani kwani? Tundu Lissu sio mwanachama? Heche Je? Mimi Je? Unanijua? Unawajua wanachama wote wa CHADEMA wewe...."

So, shida yako ni nini...?

Yeyote anayehoji matumizi mabaya ya fedha ndani ya chama ajibiwe...

Pesa za chama ziko wapi? Kwanini mnakiuza chama kwa ma CCM kwa mlango wa nyuma (rushwa za Abdul)?

We need changes. Tundu Lissu can lead to bring the required changes in the party...

Freeman Mbowe na genge lake MUST GO....
 
Back
Top Bottom