Red sky
Member
- Jul 1, 2024
- 17
- 34
Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi nzima
Kutokana na ruzuku kua ndogo, hivyo Mboe inambidi atoe pesa zile ili mambo yaende sawia, hili laweza kua kweli? Nahapa mimi nina maswali je Mboe anapotoa pesa anakisaidia chama? Au anakikopesha chama? Na je anakikopesha kwa riba au?
Ukweli mchungu nikua Chama kama Chadema hakiwezi kushindwa kujiongoza chenyewe kwakutegemea wanachama wake na watu mbalimbali wanaokipenda chama, kwa mfano pamekua na taalifa ambazo kwasasa ni rasmi kua CHADEMA kina wanachama walio jisajili yapata laki tano.
Hiki nikiasi kikubwa cha rasilimali watu hawa wakitoa wote kiwango cha chini cha mchango ambacho ni tsh 2500 inapatikana zaidi ya bilion 1.2 hiyo ni kwa wale wenye kadi tu. Ikumbukwe watu wanaojitoa kuchukua kadi za chama niwachache kutokana nakua watu wengi hawapendi kuonekana wako chama cha upinzani hapa Tanzania,
Sasa changamoto kubwa ni watu kua na imani na viongozi, katika mazingira ambayo tuhuma za rushwa zinakua nyigi,matumizi ya pesa ya hovyo inakua inakatisha watu tamaa kuchangia pesa, Ndio maana ukizitafakari hakili za Wenje nikua Lissu Akiwa Mwenyekiti Chadema ukata wa Pesa utamfanya ashindwe kuongoza chama,
Jambo ambalo si kweli kwani kutokana na uadilifu wa Lissu utawasukuma watu wengi zaidi kuchangia chama, kwani watafikili kua zitatumika sahihi, ninahakika kua kama watu wakiwa naimani na uongozi, Chadema Inauwezo wakukusanya hata zaidi ya bilion mbili kwa mwaka kutoka kwa wanachama ukiacha hiyo milion mia na ushee ya ruzuku. Pesa ambayo inaweza kuendesha chama bila kutegemea pesa za mtu mmoja au watu wachache