Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
We umeona hayo maandishi niliyoandika yana ubaya au umejiongeza nje ya box uonekane great thinkerKuna ubaya wao kua facebook?
Ama wao unawaona ni class ya watu wsiotakiw akua mitandaoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umeona hayo maandishi niliyoandika yana ubaya au umejiongeza nje ya box uonekane great thinkerKuna ubaya wao kua facebook?
Ama wao unawaona ni class ya watu wsiotakiw akua mitandaoni?
Hizi data ni ujinga mtupuHizo hesabu zako umezipigaje mkuu?
Unaweza kuzinyumbuisha kidogo?
Yes possible Kuna watu wanaotumia Gb za Facebook kupost videos live streaming n.kHizi data ni ujinga mtupu
Trillion 90 gawanya kwa milion 30 ambao ni watumiaji wa internet wote Tz
90,000,000,000,000/30,000,000 unapata 3,000,000!! Kwa io Ina maana Kila mtu anatumia gb 3,000,000 ndani ya miezi mitatu!
Gawa 3,000,000 kwa siku 90 unapata 33,333
Kwa io wanataka kutuambia Kila mtz anatumia gb 33,333 kwa siku kwa ajili ya Facebook
Ujinga tu
Kachero wa sosho media😂FB na IG imebaki km sehemu ya upelelezaji kuhusu watu nnaowatilia mashaka au ntaotarajia kuwafahamu
Acha tuendelee kutumia Twitter wachache........... vitoto vyote vinavyobalehe huko ndiyo wanaanzia maishaTakwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika kwenye mitandao mingine yote kwa pamoja.
Ushauri, kama wewe ni mfanyabiashara, wekeza zaidi Facebook na kuweka matangazo ya bidhaa zako zaidi Facebook kuliko kwenye WhatsApp Status na mitandao mingine.
View attachment 2510888
Inawezekana kuna ma free WIFI kwenyenmaofisi huko watu wengi 24 7 wapo online na ni humo wanashinda.Hizi takwimu nina wasiwas nazo. Hii ina maanisha kwa kila mtanzania anatumia zaidi ya Gb 1000 kwa jumla ya miezi 2.
Wastani tanzania nzima tupo mil. 60.. kwa hyo tukiangalia kimahesabu hapo kwa kila mtanzania anatumia gb1000 kwa miez 2.
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Jamii forum yangu haipo hapo jamani..Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika kwenye mitandao mingine yote kwa pamoja.
Ushauri, kama wewe ni mfanyabiashara, wekeza zaidi Facebook na kuweka matangazo ya bidhaa zako zaidi Facebook kuliko kwenye WhatsApp Status na mitandao mingine.
View attachment 2510888
Hizi ni statistics za Tanzania au za dunia nzima?View attachment 2511113
Watumiaji wa Facebook wametumia kiasi cha Gigabytes (GB) Trilioni 90.1 katika kipindi cha Robo ya mwisho ya mwaka 2022 (Oktoba - Desemba).
Mtandao wa YouTube unafuatia kwa Watumiaji wake kutumia kiasi kikubwa cha Intaneti kilichofikia Gigabytes (GB) Trilioni 34.97 kwa kipindi cha miezi 3.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), idadi ya Watumiaji wa Intaneti hadi kufikia Desemba 2022 ilikuwa Milioni 31.1.
TCRA 2022
Ripoti za kuvuta wawekezaji hizi ilabhakuna uhalisia hapo.View attachment 2511113
Watumiaji wa Facebook wametumia kiasi cha Gigabytes (GB) Trilioni 90.1 katika kipindi cha Robo ya mwisho ya mwaka 2022 (Oktoba - Desemba).
Mtandao wa YouTube unafuatia kwa Watumiaji wake kutumia kiasi kikubwa cha Intaneti kilichofikia Gigabytes (GB) Trilioni 34.97 kwa kipindi cha miezi 3.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), idadi ya Watumiaji wa Intaneti hadi kufikia Desemba 2022 ilikuwa Milioni 31.1.
TCRA 2022
Umejiuliza wanaotumia wi-fi wanatumia MBs ngap kwa siku?Hizi takwimu nina wasiwas nazo. Hii ina maanisha kwa kila mtanzania anatumia zaidi ya Gb 1000 kwa jumla ya miezi 2.
Wastani tanzania nzima tupo mil. 60.. kwa hyo tukiangalia kimahesabu hapo kwa kila mtanzania anatumia gb1000 kwa miez 2.
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Hata kama.... Mzee gb 200000 kwa miez 2 sio mchezo.. kwa wastan kwa siku unatumia gb 9000 ... Je inawezekanaUmejiuliza wanaotumia wi-fi wanatumia MBs ngap kwa siku?
Mfano wew ukipata nafasi ya kutumia wi-fi huwa unatumia MBs ngap kwa muda mchache tu
Ofosi gan kwa siku watu wanatumia gb 4500 kwq facebook peke yake... Yaan kwa wastan kwa aiku kila mtu anatumia gb 4500 kwa kila mtanzaniaInawezekana kuna ma free WIFI kwenyenmaofisi huko watu wengi 24 7 wapo online na ni humo wanashinda.
Hapana, siwezi kutumia GB 10,000 kwa mwezi. Lakini wao wanatumia neno watanzania kwa sababu takwimu ni za Tz.Hata kama.... Mzee gb 200000 kwa miez 2 sio mchezo.. kwa wastan kwa siku unatumia gb 9000 ... Je inawezekana
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Changamsha akili yako mzee... Unajua gb 4500 kwa siku ni zaidi mili 5 kwa siku... Hv kampuni gani itoe garama hyo kwa ajili ya fb peke yake...Hapana, siwezi kutumia GB 10,000 kwa mwezi. Lakini wao wanatumia neno watanzania kwa sababu takwimu ni za Tz.
Hata km yapo makampuni na taasisi zinazotumia FB kufanya mambo yao, bado watasema n watanzania