Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Sometimes, troubles follow us...
 
Hongera sana Mkuu! Hapo jitahidi KY isiwe inakaa mbali! Vinginevyo siku yakitokea ya Kutokea utaumia sana!
Hicho na unachofikiria Nina uhakika hawezi kufanya nipo vizuri issue kurogwa
 
Huna nia njema na marinda yake...
 
Some women huwa tuna mengi ya kufanya to keep ourselves busy without cheating .. Thanks..

Your statement makes my heart beat faster and slower at the same time...ooh my.!!
 
Hapo kwenye red hapo...
Yani hata simwelewi huyu mtu mamy!! sina kumbu kumbu kama kuna siku imepita bila kupata maswahibu ya ndoa hapa JF!!
 
Repent is not too late , since you are ready to change .. Weka sawa na Mungu wako then confess to your wife tell her what happened everything ili likija kutokea lolote awe by your side .. And please never cheat again .. Good luck.. Thanks..
hizo sehemu mbili ndipo mziki ulipo!! na mleta mada kasha kiri kwamba ni kazi kwake!
 
Hapo kwenye red hapo...
Yani hata simwelewi huyu mtu mamy!! sina kumbu kumbu kama kuna siku imepita bila kupata maswahibu ya ndoa hapa JF!!
Well dear , I guess he realized his mistakes now Daddy... As he said ..I honestly prefer my partner aniache is way better than to cheat on me .. I don't tolerate that at all... Inaumiza sana kusalitiwa ... Thanks..
 
hizo sehemu mbili ndipo mziki ulipo!! na mleta mada kasha kiri kwamba ni kazi kwake!
Well at this point Hana choice .. He has to do that .. Maana ni better mkewe ajue ili apate her mercies Yule mume wa sister akiaamua kufanya kitu kibaya to him.. Thanks..
 
Hapo kwenye red hapo...
Yani hata simwelewi huyu mtu mamy!! sina kumbu kumbu kama kuna siku imepita bila kupata maswahibu ya ndoa hapa JF!!
Jamani mnaanza kunionea sasa au ndio kila kosa la ndoa linaletwa kwangu
 
Well at this point Hana choice .. He has to do that .. Maana ni better mkewe ajue ili apate her mercies Yule mume wa sister akiaamua kufanya kitu kibaya to him.. Thanks..
uko sahihi, nadhani hii ni solution namba moja kwa huyu mleta mada!! amwambie wife kwanza...
sijui hata kama atakuelewa!
 
Well at this point Hana choice .. He has to do that .. Maana ni better mkewe ajue ili apate her mercies Yule mume wa sister akiaamua kufanya kitu kibaya to him.. Thanks..
Kukiri kwa mke kwa kitu ambacho yeye hafikiri kama unaweza kufanya nadhani hapo pana timing yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…