Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Sasa form 4 si katoto?! Mnaanza mambo mapema
by then nlikuwa na 19 years....ndio nakiri nlianza mapema....

hata hivo baada ya kuoa...nmegundua majukum yananibana sana...so inabidi nimheshim yf...
 
Mij2 mingne bana
Bac hapo unajiona bonge la mjanja
Fainal uzeeni
 
Okay...... Thanks..
How about we drink our heads off tonight?? I loaned the 30 pieces of silver from Judas and the idiot hanged himself... So am kinda loaded.. Hit me with a yes.!!
 
You're sure you don't wanna see my torch that glows in the dark?
Too bad the one I have can satisfy and supply all my needs... I don't miss nothing... So yes I am more than sure.. Thanks...
 
Nilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke fb mpk ilipotokea kwa huyu.
Huyu Dada hata sijui ilitokeaje tukawa marafiki Fb tukajikuta tuaanza kuchati mazungumzonya kawaida kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kuona mazungumzo yanahama nakaa najaribu kuonesha heshima maana ilikuwa kanizidi umri kidogo tukabadirisha namba za simu sikuwa najua kama kaolewa na hakuniambia ila mie alijua na make kwani aliona picha Fb.
Tukapanga tuonane siku moja Mungu sio Jecha wala Lowasa ikatokea siku tukaonana katika maongezi na hapo kaishanipuna Savannah sijui nyama choma tukajikuta tupo hoi ndio ananiambia ni mke wa mtu nikajisemea lazima nimtafune kaishanitia hasara nikamgegeda lakini nafsi ilinisuta sana nikiona namsaliti yf ambae yeye Nina uhakika ni muaminifu na hata siku hiyo angekuwa makini angegundua hiyo ikapita tukakaa muda mrefu story ni kwenye Fb tu maana simu ni kimeo wenza wetu wangeweza kutustukia.
Sasa juzi juzi ilikuwa j2 fy kaenda kwenye issues zake huyu mama kanipigia akaniuliza nipo wapi nikamwambia home akaniambia nimfate sehemu ni kawa sina ujanja kwenda nakuta kaishalipia chumba na kaagiza mbuzi katoliki na Pepsi baridi nikala na nikamgegeda vizuri sana mpk akadata sasa tatizo amekuwa msumbufu akidai Mzee wake hamfikishi vizuri na mambo kibao ,
Na toka juzi kuna namba ilinitumia sms ikidai imekuta sms kwenye namba ya mke wake anataka kukua mie ni nani sikuijibu nichofanya ni kumblock Fb huyu Dada na kwenye simu ila mpk anafanya hivyo nilikuwa nimeshapigiwa simu sana sikupokea maana sijui nitaongea nini alichosema atahakikisha ananidaka sasa nahofia kufanyiwa kitu ile Mungu hapendi au kurogwa maana huyu jamaa ni msukuma naombeni ushauri jamani nipo kwenye wakati mgumu nifanyeje.
Kumbe umekimbilia huku kuomba ushauri eeh...ila nitakukamata tu,inauma sana...
 
Too bad the one I have can satisfy and supply all my needs... I don't miss nothing... So yes I am more than sure.. Thanks...
Hahahaaaa.. Sometimes you don't know what you've been missing until you taste it.. Make a move, girl.
 
Hahahaaaa.. Sometimes you don't know what you've been missing until you taste it.. Make a move, girl.
Okay I can see where you are going... So let me be quiet from now on.. Conversation is closed......Thanks..
 
Okay I can see where you are going... So let be quiet from now on.. Conversation is closed......Thanks..
Hahahaaaa... I bet you already seen where am coming from.. I just can't take the silent lane..
No wonder, your name is loveissweet
 
Back
Top Bottom