Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Jamani mnaanza kunionea sasa au ndio kila kosa la ndoa linaletwa kwangu
Dear don't take him wrong way... What he meant hakuna siku inayopita bila kuona thread za marriage problem na hii came from after I have wrote : if we are not ready to marry or don't know the meaning of marriage why we got married since we knew not done yet with our foolishness things? So don't be offended with ,something talks in general and not only you .. It's for all of us ... Thanks..
 
Face to face inahitaji moyo na sio kwamba nilikuwa napenda ndio maana nikasema nafsi ilikuwa inanisuta
nimekwelewa mkuu, ndio maana nikakwambia, cheki upepo ukoje ukiona mambo yakua magumu mwambie ukweli mkeo, hiyo ndiyo solution namba moja!! la kutokea likitokea awe anajua kuliko kushitukizwa maana ndio utakua umeharibu zaidi!
 
Ushauri wangu ni huu:
 
thanks for making that clear to him...
 
H


Hiyo sawa maana ni ngumu pia kuanza tu kujieleza kunahita timing kama nilivyosema awali
mkuu leo unaandika hapa trust me kuna siku utashindwa hata kuja hapa JF! nakushauri uache hiyo tabia maana kuna siku utakua inakiogopa hata kivuli chako!
 
Mie nimetulia sana aisee kitu ambacho sielewi mpk sasa hata sijui ilikuwaje nikajikuta nachart na huyu Dada mpk kufikia hata ya kutaka kuonana nadhani na shetani anahusika na katika kipindi chote lazima nijutie kwa kile nilichokifanya na nilikuwa naona uchungu kama vile wa kwangu ndio kanisaliti
 
Kwa mke wa mtu sina cha kukushauri maana umefanya dhambi inayomchukiza Mwenyezi Mungu, nenda kafanye toba na Mungu atakusamehe.
 
Hivi hao wanaoandikwa huwa hawapiti humu?! Au ndo story tu...
 
kwa sisi wakristo tunaruhusiwa kula nyama leo ijumaa kuu??
 
Unapokuwa na ndoa yenye furaha alafu unaongeza bidii katika kuhakikisha ya mwenzio inaingia huzuni.Tubu kwa Mungu wako uachane na hiyo tabia ya uzinzi.
 
Okay.. Then tell your wife the Truth.... Thanks..
 
Watoto wa siku hizi mna mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…