Naomba namba yakoDear wewe uko married happily married and you witnessed that your wife is faithful then what the heck was wrong with you to cheat on your wife ? Sometimes problem nyingine tunajitakiaga wenyewe.. Well stay away from other people's wives .. And be with your wife ... Thanks...
Faraja gani wakati ukweli ndyo huo??utataka faraja na jehanum je?bora uambiwe ukwel sasaWewe jamaa una roho mbaya hamna hata faraja
loveissweet mbona vingereza vimezidi jameni? wengine English ilikuja na mafuriko eeeeh!If you are ready to change then you will do it .. Trust me there is the meaning behind on what I told you .. I want you to have full of mercy from God .. And you can't have full mercy if you don't full repent .. If its really your wedding wife at church do it .. Confess your sin unto her so you can be free.. You don't look for people mercies but God's mercies and full of forgiveness ... Thanks..
Hahahahaha......hakuna namna nyingine na mimi nasema aliwe tuu...Uliwe tu na wewe, maana hakuna namna....
Huu sio mkwara....we utaonaHahahaha tena kama wewe ndio hata hauna mke acha mikwara yako
Mkuu inabidi ujifunze KiswanGlishimamy habari yako???
Ni kwamba mada haijakuwa na maana ama? HahahaahahTaifa stars wanarudiana lini na Chad?
Mwanangu kubali umechezea kibutiHahahaaaa... I bet you already seen where am coming from.. I just can't take the silent lane..
No wonder, your name is loveissweet
Ni vizuri ukawa msoma comment maana hata haujui msaada ninaiohitaji zaidi naona unakoelekea ni kukejeli tuSasa unataka tukusaidie vipi....?
Namba ninayotumia ndio ninayotumia kwa issue zangu zote za kutafuta riziki nikibadili nitapoteza hata deal zangu nyingi tubadili namba2
Asante kwa ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kaziSikia kaka hakuna dhambi nzuri,hua nzur,tamu,inavutia lkn mshahara wake ni mauti.
~kama kweli umeamua kuacha toka moyon omba toba kwa MUNGU ni mwenye rehema atakusamehe.
Nb;Mpendwa dhambi inaua tena roho na mwili pia.inaweza kukudahalilisha mpaka ukataman kufa .
~km ilivyo kudhalilisha hatukujua km umefanya uasherati lkn ss zaid ya watu 100 wamejua ww ni mwasherati.
~Iman yako itakuokoa na usitende dhambi tenaa. ISHI NA HOFU YA MUNGU.asante ntakuhubiria buree
huu ushauri ushaniachanisha na watu wasiopungua watatu akiwemo mama Mtoto WanguOkay.. Then tell your wife the Truth.... Thanks..