Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Dear wewe uko married happily married and you witnessed that your wife is faithful then what the heck was wrong with you to cheat on your wife ? Sometimes problem nyingine tunajitakiaga wenyewe.. Well stay away from other people's wives .. And be with your wife ... Thanks...
Naomba namba yako
 
If you are ready to change then you will do it .. Trust me there is the meaning behind on what I told you .. I want you to have full of mercy from God .. And you can't have full mercy if you don't full repent .. If its really your wedding wife at church do it .. Confess your sin unto her so you can be free.. You don't look for people mercies but God's mercies and full of forgiveness ... Thanks..
loveissweet mbona vingereza vimezidi jameni? wengine English ilikuja na mafuriko eeeeh!
 
sijawahi kuona m2 kama ww kama ulijua kwa nn uliludia we huna tofauti na jecha
 
Sikia kaka hakuna dhambi nzuri,hua nzur,tamu,inavutia lkn mshahara wake ni mauti.

~kama kweli umeamua kuacha toka moyon omba toba kwa MUNGU ni mwenye rehema atakusamehe.

Nb;Mpendwa dhambi inaua tena roho na mwili pia.inaweza kukudahalilisha mpaka ukataman kufa .

~km ilivyo kudhalilisha hatukujua km umefanya uasherati lkn ss zaid ya watu 100 wamejua ww ni mwasherati.

~Iman yako itakuokoa na usitende dhambi tenaa. ISHI NA HOFU YA MUNGU.asante ntakuhubiria buree
 
hivi huwa mnaingia kwenye ndoa na akili zenu timamu au akili za maboksi
 
Sikia kaka hakuna dhambi nzuri,hua nzur,tamu,inavutia lkn mshahara wake ni mauti.

~kama kweli umeamua kuacha toka moyon omba toba kwa MUNGU ni mwenye rehema atakusamehe.

Nb;Mpendwa dhambi inaua tena roho na mwili pia.inaweza kukudahalilisha mpaka ukataman kufa .

~km ilivyo kudhalilisha hatukujua km umefanya uasherati lkn ss zaid ya watu 100 wamejua ww ni mwasherati.

~Iman yako itakuokoa na usitende dhambi tenaa. ISHI NA HOFU YA MUNGU.asante ntakuhubiria buree
Asante kwa ushauri wako nimeupokea na nitaufanyia kazi
 
huko fb nadhani mpaka sasa nina timu mbili za mpira, makocha pamoja na wachezaji wa Akiba..
 
Kama kweli huyo jamaa ni msukuma na amefahamu kuwa unamgonga Mkee wake Mbaya zaidi awe anampenda sana umekwisha kaka
 
Back
Top Bottom