Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

huyu binti kanifanya nimenunua dictionary kwa sababu ya kuvunja yai kwake
Hahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.
 
Acha mapepe wewe,,, Pesa huna hata mkwara pia,,mpigwe mkwara halafu piga chini mchepuko,,pokea simu na ongea NAE kistaarab tuu ,,jitetee ubavu wako mengine waachie wenyewe,,,
 
Hahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.
mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe Hakimudu
 
mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe Hakimudu
Yeah! kiujumla haka kalugha ni janga la taifa mkuu kwa hiyo hawa mabint inabidi wapunguze hii mambo la sivyo tutaumizana macho humu.
 
Acha mapepe wewe,,, Pesa huna hata mkwara pia,,mpigwe mkwara halafu piga chini mchepuko,,pokea simu na ongea NAE kistaarab tuu ,,jitetee ubavu wako mengine waachie wenyewe,,,
Kkkkkkkkk hiyo mbinu inaweza kusaidia ila huwezi jua mwenzako kasemaje huko maana sina mawasiliano na sitaki hata kumsikia
 
Hamna bwana msaliti jiamini, acha uoga
 
Nikisiaga mke mtu kaliwa na msela hu napataga kapressure sijui ni kwa nn hu hunitokea????mungu aniepushie maana uamuzi mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…