ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
huyu binti kanifanya nimenunua dictionary kwa sababu ya kuvunja yai kwakeloveissweet mbona vingereza vimezidi jameni? wengine English ilikuja na mafuriko eeeeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu binti kanifanya nimenunua dictionary kwa sababu ya kuvunja yai kwakeloveissweet mbona vingereza vimezidi jameni? wengine English ilikuja na mafuriko eeeeh!
Hahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.huyu binti kanifanya nimenunua dictionary kwa sababu ya kuvunja yai kwake
mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe HakimuduHahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.
Yeah! kiujumla haka kalugha ni janga la taifa mkuu kwa hiyo hawa mabint inabidi wapunguze hii mambo la sivyo tutaumizana macho humu.mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe Hakimudu
lakini si ulimtifua kisasawa ?Thanx ila nilipitiwa ndio maana najutia sasa japo too late ila Nina nafasi ya kujirekebisha
www mwambie ulikosea namba, sorrySi ndio nitakuwa nachochea moto hapo
Kkkkkkkkk hiyo mbinu inaweza kusaidia ila huwezi jua mwenzako kasemaje huko maana sina mawasiliano na sitaki hata kumsikiaAcha mapepe wewe,,, Pesa huna hata mkwara pia,,mpigwe mkwara halafu piga chini mchepuko,,pokea simu na ongea NAE kistaarab tuu ,,jitetee ubavu wako mengine waachie wenyewe,,,
Kama ameona mazungumzo yote utasemaje ulikosea namba pagumu hapo atiwww mwambie ulikosea namba, sorry
Nadhani nilifanya vizuri ndio maana akaanza usumbufu akajisahau kama yeye ni mke wa mtu matokeo yake ndio hayalakini si ulimtifua kisasawa ?
Chukulia ungekuwa wewe halafu mtu unataka kukula ungejisikiajeHakuna namna na wewe uliwe tu
Ww uniroge nimekukosea nini na kwanza huwezi katika jina la yesu ushindwe na mashetani yakoWe ni wakulogwa tu asipokuloga jamaa nakuloga mimi mwenyewe
Toka Jana nimeanza maombi na kufunga naona hata speed ya jamaa kunipigia imepunguasalama yako ni kutubu na kumpa yesu maisha yako
hakuna yesu anaemsaidia anaetembea na mke wa mtuWw uniroge nimekukosea nini na kwanza huwezi katika jina la yesu ushindwe na mashetani yako
Hamna bwana msaliti jiamini, acha uogaNilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa Facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke Fb mpaka ilipotokea kwa huyu.
Huyu Dada hata sijui ilitokeaje tukawa marafiki Fb tukajikuta tuaanza kuchati mazungumzonya kawaida kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kuona mazungumzo yanahama nakaa najaribu kuonesha heshima maana ilikuwa kanizidi umri kidogo tukabadirisha namba za simu sikuwa najua kama kaolewa na hakuniambia ila mie alijua na make kwani aliona picha Fb.
Tukapanga tuonane siku moja Mungu sio Jecha wala Lowasa ikatokea siku tukaonana katika maongezi na hapo kaishanipuna Savannah sijui nyama choma tukajikuta tupo hoi ndio ananiambia ni mke wa mtu nikajisemea lazima nimtafune kaishanitia hasara nikamgegeda lakini nafsi ilinisuta sana nikiona namsaliti wife ambae yeye nina uhakika ni muaminifu na hata siku hiyo angekuwa makini angegundua hiyo ikapita tukakaa muda mrefu story ni kwenye Fb tu maana simu ni kimeo wenza wetu wangeweza kutustukia.
Sasa juzi juzi ilikuwa Jumapili wife kaenda kwenye issues zake huyu mama kanipigia akaniuliza nipo wapi nikamwambia home akaniambia nimfate sehemu ni kawa sina ujanja kwenda nakuta kaishalipia chumba na kaagiza mbuzi katoliki na Pepsi baridi nikala na nikamgegeda vizuri sana mpaka akadata.
Sasa tatizo amekuwa msumbufu akidai Mzee wake hamfikishi vizuri na mambo kibao, na toka juzi kuna namba ilinitumia sms ikidai imekuta sms kwenye namba ya mke wake anataka kukua mie ni nani sikuijibu nichofanya ni kumblock Fb huyu dada na kwenye simu ila mpaka anafanya hivyo,
nilikuwa nimeshapigiwa simu sana sikupokea maana sijui nitaongea nini alichosema atahakikisha ananidaka sasa nahofia kufanyiwa kitu ile Mungu hapendi au kurogwa maana huyu jamaa ni Msukuma.
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye wakati mgumu,nifanyeje.