Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

Facebook ilinikutanisha na mke wa mtu, sasa najuta

huyu binti kanifanya nimenunua dictionary kwa sababu ya kuvunja yai kwake
Hahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.
 
Acha mapepe wewe,,, Pesa huna hata mkwara pia,,mpigwe mkwara halafu piga chini mchepuko,,pokea simu na ongea NAE kistaarab tuu ,,jitetee ubavu wako mengine waachie wenyewe,,,
 
Hahahahaha..........mkuu umetisha si unajua hawa watoto wa dot com hawajui kaka zao tulisoma shule hizi za kayumba, ukiona mwl wa english kaingia class tumbo linakukata ghafla.
mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe Hakimudu
 
mkuu enzi zetu sisi kiingereza unakikuta darasa la tatu, tena unakuta mwalimu mwenyewe Hakimudu
Yeah! kiujumla haka kalugha ni janga la taifa mkuu kwa hiyo hawa mabint inabidi wapunguze hii mambo la sivyo tutaumizana macho humu.
 
Acha mapepe wewe,,, Pesa huna hata mkwara pia,,mpigwe mkwara halafu piga chini mchepuko,,pokea simu na ongea NAE kistaarab tuu ,,jitetee ubavu wako mengine waachie wenyewe,,,
Kkkkkkkkk hiyo mbinu inaweza kusaidia ila huwezi jua mwenzako kasemaje huko maana sina mawasiliano na sitaki hata kumsikia
 
Nilijiunga Facebook muda kidogo kama miaka 6 sasa na kipindi chote nimekutana na watu mbali mbali ila sikuwahi kuwa na tamaa na mwanamke wa Facebook kwa maana ya mkumtongoza mwanamke Fb mpaka ilipotokea kwa huyu.

Huyu Dada hata sijui ilitokeaje tukawa marafiki Fb tukajikuta tuaanza kuchati mazungumzonya kawaida kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kuona mazungumzo yanahama nakaa najaribu kuonesha heshima maana ilikuwa kanizidi umri kidogo tukabadirisha namba za simu sikuwa najua kama kaolewa na hakuniambia ila mie alijua na make kwani aliona picha Fb.

Tukapanga tuonane siku moja Mungu sio Jecha wala Lowasa ikatokea siku tukaonana katika maongezi na hapo kaishanipuna Savannah sijui nyama choma tukajikuta tupo hoi ndio ananiambia ni mke wa mtu nikajisemea lazima nimtafune kaishanitia hasara nikamgegeda lakini nafsi ilinisuta sana nikiona namsaliti wife ambae yeye nina uhakika ni muaminifu na hata siku hiyo angekuwa makini angegundua hiyo ikapita tukakaa muda mrefu story ni kwenye Fb tu maana simu ni kimeo wenza wetu wangeweza kutustukia.

Sasa juzi juzi ilikuwa Jumapili wife kaenda kwenye issues zake huyu mama kanipigia akaniuliza nipo wapi nikamwambia home akaniambia nimfate sehemu ni kawa sina ujanja kwenda nakuta kaishalipia chumba na kaagiza mbuzi katoliki na Pepsi baridi nikala na nikamgegeda vizuri sana mpaka akadata.

Sasa tatizo amekuwa msumbufu akidai Mzee wake hamfikishi vizuri na mambo kibao, na toka juzi kuna namba ilinitumia sms ikidai imekuta sms kwenye namba ya mke wake anataka kukua mie ni nani sikuijibu nichofanya ni kumblock Fb huyu dada na kwenye simu ila mpaka anafanya hivyo,
nilikuwa nimeshapigiwa simu sana sikupokea maana sijui nitaongea nini alichosema atahakikisha ananidaka sasa nahofia kufanyiwa kitu ile Mungu hapendi au kurogwa maana huyu jamaa ni Msukuma.

Naombeni ushauri jamani nipo kwenye wakati mgumu,nifanyeje.
Hamna bwana msaliti jiamini, acha uoga
 
Nikisiaga mke mtu kaliwa na msela hu napataga kapressure sijui ni kwa nn hu hunitokea????mungu aniepushie maana uamuzi mbaya sana
 
Back
Top Bottom