FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......
 

Unakimbia? Umejuwa hapo hukwepi.

Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Wewe likimbie hilo lakini nnakuhakikishia utarudi tu, hujamjuwa FaizaFoxy bado.

Maana bado sijaanza kukuchambuwa mada yako ya kudanganya watu. Nilikuanzia kidogo huko juu ukakwepa, nnakuhakikishia mimi na wewe humu mpaka kieleweke.

Msikilize mkristo mwenzako anasemaje: ” WHICH IS THE MOST DANGEROUS BOOK ON EARTH ? ” – PART 1
 
Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......


Wewe unanikumbuka sana nnavyokugaragaza humu, na kuhusu huyo mwenzako nisome juu hapo, nimeshamjibu. Saidianeni wote, mimi nipo, kwa mada hii hamchomoki humu.
 
Unatoa wapi ujasili wa kuongea haya wakati Biblia yenyewe hujui the real source yake zaidi ya kuletewa na wazungu/missionaries.
Ebu haya mambo tuyaache cha msingi tutende yaliyomema ili dunia iwe sehemu salama kwa viumbe wote
 
Hahahahahaaaaaa....

Mkuu huyu mama akija kufafanua kama ulivyomtaka afafanue niite na mimi nije nishuhudie maana itakuwa ni jambo jipya kabisa amelifanya......


Mwenzako kalikimbia hili swali, msaidie:

Biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?
 
Mwenzako kalikimbia hili swali, msaidie:

Biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Onyesha iyo pornography au laa sivyo wewe utakuwa mfuga majini na mapepo
 
Onyesha iyo pornography au laa sivyo wewe utakuwa mfuga majini na mapepo


Kwanza unajuwa maana ya "pornography"? Haya ungana na wenzako mjibu kwanza swali hapo juu.

Nnakuongezea, tena si "pornography pekee" mpaka incest imo humo kwenye Biblia, unajuwa maana ya "incest"?
 
Wanasayansi wangekuwa wanasoma biblia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unajua unaweza ukaongea kitu halafu huelewi unaongelea nini


Najiuliza wanaosoma biblia siyo wanasayansi?


Na kama biblia haisomwi na wanasayansi na ina mambo ya kisayansi je hawa wanasayansi waliyajuaje wayagunduayo ?

Je hawa wanasayansi uliowatoa kwenye kundi la wasioijua biblia unawapa nguvu gani ukilinganisha na wale wanaosoma na hawakutengeneza kitu kulingana na biblia ?

Je hawa wanasayansi waliletwa na nani ?(viumbe waliotokana na nani)


Acheni kumkufuru Mungu


Uumbaji na ugunduzi wote ni kazi yake
 
usipanic . haya maelezo ndio pornographic au.
mimi sisimami na wenzangu ila mimi na bibilia so hiyo sentesi inaniondolea uhalali wa kumsikiliza unaemuita mwenzangu. mimi nakusikiliza na kukujibu wew sio mtu mwingine ambae yuko nje ya mjadala . maana hadi sasa umeshaniletea watu zaidi ya wanne sijui maana yake nini wewe hujui unachotaka au
 
Kwanza unajuwa maana ya "pornography"? Haya ungana na wenzako mjibu kwanza swali hapo juu.

Nnakuongezea, tena si "pornography pekee" mpaka incest imo humo kwenye Biblia, unajuwa maana ya "incest"?
maana unayotaka ni ipi maana hata kwenye cyber crime act hawajadefine maana ya ponography hivyo wewe ndio utueleze na source pia .
incest ni kitu kinachojulikana sio maarifa ya siri ya kujivunia. sema unataka nini au huelewi nini kuhusu ruthu au adam walizaaje tueleze ili ibaki kwako kuchagua kuamini au kupuuzia.
 


Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Nimekuletea watu, nnakujuaje hata nikuletee watu.

Jibu swali: Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Hulikwepi hilo, na huku nnakuongezea mengine kama hapo juu.

Jee, umemuona Mkristo mwenzio ambae ni maarufu dunia nzima, hapo zamanai hadi leo hii, George Bernard Shaw, kasema nini kuhusu biblia? Kama ngumu kwako kujibu, kasema "The most dangerous book on earth (Bible)".

Unajuwa kwanini? Kwa ajili ya hizo "pornography" na "incest" hata kitabu cha ngono hakina mambo machafu kama yaliyomo humo.
 


Toka lini cyber act crime ndiyo ikawa tafsiri ya yaliyomo kwenye biblia?

Kama si upunguani huo ni nini?
 
unapotuhumiwa huwezi kuwa shahidi kwa kesi yako
 
hivi mpagani maana yake nini? nambie plz
 
kwanini wajapani na wachina wameendelea ili hali hawafuati Mungu wa bibilia yako kwanini?
 
Ubora wa ukristo haupimwi kwa umaarufu duniani, wala haikuhitaji kuwa maarufu ili unachokisema kikubalike.
Kama wewe huna cha kusema hadi utafute maoni ya watu wengine bora ubaki kuwa msomaji mama.

Jibu swali: Anasema biblia ina "contain" mpaka "pornography" jee, unalikataa hilo?

Sasa hapo unauliza nini. Yaani mtu aseme kitu kwa utashi wake alafu mimi uniambie nikubali au ni katae.
Unaniaungusha mama. Weka wanaposema hayo ndio uniulize sio maoni ya mwalimu wako hivi hii mijadala huwa mnajadili vipi.
Pia nimekuomba acha kusema Wanasema, Mkristo mashuhuli anasema, Shehe wetu anasema, Ata shetani alisema Mungu kasema Mkila TUnda Hamtakufa hakika watai Mungu alisema Mtakufa hakika. Acha wao waseme wanavyotaka ninachotaka Useme wewe au wewe brain yako iko likizo huwezi kujisimamia.
Soma bibilia kwa akili yako leta hicho kinachokusumbua tuchambue pumba na mchele. Mbona huwa unaelewa mapema leo kumetokea nini mama
 
Toka lini cyber act crime ndiyo ikawa tafsiri ya yaliyomo kwenye biblia?

Kama si upunguani huo ni nini?
Asante sana. Naomba uweke kinachokusumbua au ulichojifunza kwa hao waalimu wako au watu mashuhuri unaowaamini duniani naona kama unazunguka tu kwenye surface, Sema shida yako ni nini na wapi sio flani kasema eti A,B,C sasa Mseza Mkulu wewe Unasemaje. Mimi nitakwambia Muulize yeye aliyesema

Maana ya Ponography,
Ponography imeandikwa wapi
ponography ipi au Child ponogtraphy au ponograpy ya aina gani kwa maana gani
Wakina nani walishiriki hiyo Ponography
Kwa manufaa ya nani au nini
Yaani sikuelewi ndugu sema vizuri
 
Sikuelewi hapa wewe unataka kusema nini. Maana aliyesema kasema kwa utashi wake.
Wewe unasemaje kwani au wewe bila hao rafiki zako hauna cha kusema maana sijui hata nijibu nini na nimjibu nani maana inaonekana hilo tatizo sio lako ni la alieandika hayo maoni juu ya bibilia na hayupo hapa. Wewe Rudi kwa tunachojadili Nimeweka vitu vingi sana pale kwenye thread badala yake umeanza kunikusanyia matatizo ya watu na kutaka niwasaidie wasiokuwepo. Ina maana wewe huta chochote cha kuhoji juu ya niliyoandika hadi ukaangaike na CUT/PASTE za maoni ya watu tena vitu haviendani na mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…