FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Madam anataka sisi tumtajie anachokifikiria yeye,hii ni ajabu sana..

Yaani analeta madai halafu anataka wengine wamuoneshe madai yake yalipo utadhani tunakubaliana na hadithi zake...

Lakini huyu nishajadili naye mambo mengi najua namna yake ya kujadili mambo,hana uwezo wa kusoma kitu halafu akaleta maelezo alivyoelewa bali anakuwekea link uende huko ukasome halafu anataka uelewe kama alivyoelewa yeye ili uone anachokisema ni kweli wakati hajui unaweza ukasoma halafu ukatofautiana naye....

Kile anachopaswa kukisema hapa hawezi manaa kitamfunga....
maadam nampata yuko weak sana kusimama yeye na kuwa tayari kusimamia vitu vyake. Ndio maana nimemwambia yeye anawezekana kuwa yule jamaa jukwaa la dini anajiita gavana attribute zao zinafanana kabisa Bilia links,copypaste,fulani kasema, nilisikia flani anasema, hawana cha kujadili.

Kitu ambacho anapaswa kujua ni kwamba Mnaweza kuwa wakristo wote lakini mkapishana kwenye imani baadhi ya vitu sio ugomvi wala dhambi jadili na mtu kwa kadili ya mlengo na uelewa au mada iliyopo mezani. Kunaweza kuwa na wakristo mia kila mtu analake. Sio unajadili hiki mtu anaruka papa mbona anasema hivi na hivi.

Kama bado anatabia hizo za kuandikiwa vitini na kuja kupaste humu bila kutumia akili yake hiyo nitamuachia afanye mwenyewe. Kuna waislamu wasomi wanajua kujadili vitu kwa hoja point baada ya point ukikosea anakukosoa akikifeli anakubali lakini hapa mama yeye anakomaa bila hata kufikiri kidogo, Sijui hiyo elimu yake ambayo aliielezea siku moja anaitumia wapi maana ikifika huku huwa anakuwa mtupu sana.

Binafsi huwa sioni tabu hata kutofautiana na dunia nzima, au wakristo wote au watu ambao wanaamini ninachoamini na ili twende sawa tushawishiane kwa hoja na kama zinamashiko nakubali ndio maana leo tunaweza kupatana katika hili kesho tukatofautiana na lingine. Lazima tutendee haki uhuru tuliopewa na Mungu kiakili katika kupambanua mambo.
 
FaizaFoxy nitaanzisha thread kuhusu mkanganyiko ulioko mwanzo 1,2. Nakuomba usome hizo changamoto za wanasayansi unazoamini ila sina uhakika kama zinarandana na imani yako au unatumia tu kama silaha ya kujipatia ushindi. Maana kuna jamaa alikuwa anaquote hadi link za ATHEISTS kisa ashindande bila kujua hata vyanzo vyake viko kinyume na imani yake.
 
Mwenzangu nani?

Tangu umeanza kujipigia hili shairi na kucheza mwenyewe sijaona mahali uliposema "hizi ponography zilizoko kwenye Biblia hizi hapa" naona unaendelea tu kujitekenya hapa...

Weka unachodhani kipo ndani ya Biblia tukichambue hapa acha porojo....

Unauliza mwenzako nani wakati mnajibizana eti kwa kejeli kuhusu mimi.

Hahaha, majibu rahisi sana lakini mnaelewa swali rahisi sana limekuwa gumu sana na mnashindwa mpaka kuitetea biblia.

Mnajuwa kuwa ni damned if you do damned if you don't. Swali limekuwa mwiba kwenu.

Ikiwa wewe unajifanya mtaalamu wa biblia na eti mpaka kufikia kuleta mada hii ambayo mengi ni uongo na kucheza na maneno tu, kwa kuwa link niliyokuwekea ina dismiss yote uliyoweka na biblia haikubaliani kabisa na sayansi halafu unashindwa kutetea biblia kwa kujibu kama ni kweli au hapana kuwa biblia ina mambo ya matusi ndani yake kuliko hata vitabu vya ngono mpaka almaaruf George Bernard Shaw kafikia kusema hicho ni kitabu "hatari" sana na kinafaa kifungiwe.

Vipi mtaalam wa sayansi wa biblia unashindwa kujibu shutuma kubwa ya matusi ya nguoni kuwemo au kutokuwemo kwenye biblia?

Ajabu sana. Naam, ni ajabu sana kuona mnashindwa kutetea kitabu eti cha Mungu. Mungu wa uasherati na uzinzi?

Kumbuka kuwa hapa nnaiongelea biblia mpaka dakika hii na sijawa attack nyinyi binafsi kama mfanyavyo. Nnawajuza hili ili muielewe "capacity" ya hiki kibibi na yenu, tofauti yake ni kama mbingu na ardhi.

Nasubiri jibu.
 
Madam anataka sisi tumtajie anachokifikiria yeye,hii ni ajabu sana..

Yaani analeta madai halafu anataka wengine wamuoneshe madai yake yalipo utadhani tunakubaliana na hadithi zake...

Lakini huyu nishajadili naye mambo mengi najua namna yake ya kujadili mambo,hana uwezo wa kusoma kitu halafu akaleta maelezo alivyoelewa bali anakuwekea link uende huko ukasome halafu anataka uelewe kama alivyoelewa yeye ili uone anachokisema ni kweli wakati hajui unaweza ukasoma halafu ukatofautiana naye....

Kile anachopaswa kukisema hapa hawezi manaa kitamfunga....
M
Hahaha ni upunguani kuwa na fikra kama hizo. Madame mpaka sasa amewauliza swali na kaweka hint ya mtu maarufu sana, namely George Bernard Shaw, lakini swali hilo linalohusu biblia limewakaa kooni, limekuwa mwiba usiomezeka usiotemeka.

Nyinyi kazaneni na kumuongelea bibi lakini mkumbuke huyo bibi hajawaongelea nyinyi kabisa, kawauliza kuhusu biblia na mpaka sasa mnashindwa kujibu.

Kusanyikeni, saidianeni, mwiba umewakaa huo.
 
Unauliza mwenzako nani wakati mnajibizana eti kwa kejeli kuhusu mimi.

Hahaha, majibu za sana lakini mnaelewa swali rahisi sana limekuwa gumu sana na mnashindwa mpaka kujitetea biblia.

Mnajuwa kuwa ni damned if you do damned if you don't. Swali limekuwa mwiba kwenu.

Ikiwa wewe unajifanya mtaalamu wa biblia na eti mpaka kufikia kuleta mada hii ambayo mengi ni uongo na kucheza na maneno tu, kwa kuwa link niliyokuwekea ina dismiss yote uliyoweka na biblia hakubaliani kabisa na sayansi halafu unashindwa kutetea biblia kwa kujibu Kama ni kweli au hapana kuwa biblia Ina mambo ya matusi ndani yake kuliko hata vitabu vya ngono mpaka almaaruf George Bernard Shaw katika kusema hicho ni kitabu "hatari" sana na kinafaa kifungiwe.

Vipi mtaalam wa sayansi wa biblia unashindwa kujibu shutuma kubwa ya matusi ya nguoni kuwemo au kutokuwemo kwenye biblia?

Ajabu sana. Naam, ni ajabu sana kuona mnashindwa kutetea kitabu eti cha Mungu. Mungu wa uashearatiuasherati na uzinzi?

Kumbuka ni kuwa hapa nnaiongelea biblia mpaka dakika hii na sijwa attack nyinyi binafsi Kama mfanyavyo. Nnawajuza hili ili muielewe "capacity" ya hiki kibibi na yenu, tofauti yake ni Kama mbingu na ardhi.

Nasubiri jibu.
kibibi usiwe mgumu kuelewa mambo mepesi, wewe na walimu wako mmegundua uasherati (Japo Uasherati sio ponography kama tuhuma za mwalimu wako)kwenye bibilia. Wagunduzi nyie au wewe muwakilishi wao utuonyeshe na uuthibitishe ili upate uhalali wa kutuhoji sio kurukaruka mbona vitu vyepesi
 
FaizaFoxy nitaanzisha thread kuhusu mkanganyiko ulioko mwanzo 1,2. Nakuomba usome hizo changamoto za wanasayansi unazoamini ila sina uhakika kama zinarandana na imani yako au unatumia tu kama silaha ya kujipatia ushindi. Maana kuna jamaa alikuwa anaquote hadi link za ATHEISTS kisa ashindande bila kujua hata vyanzo vyake viko kinyume na imani yake.

Hizo nimekuwekea link juu huko, nnauhakika hata hujaisoma kwa uoga. ulizobandika juu huko ni bogus stories kwa sababu ma scientists kama kina Maurice Bucaille ambao walipewa kazi kabisa na serikali waandike kuhusu sayansi na ku tafiti juu ya kifo cha Firauni na walipouona ukweli wakaishia kusilimu.

Sababu? Waliona kuwa bible ni maandiko ya watu na hayaendani kabisa na sayansi kuilinganisha na Qur'an.

Msome Maurice Bucaille na soma kitabu chake alichoanza kukiandika akiwa mkristo na kusilimu baada ya kufanya tafiti za kisayansi kuhusu Biblia, Qur'an na Sayansi. Kitabu hicho maarufu The Bible The Qur'an and Science kipi hata uki google.

Swali langu la awali kwako kuhusu "pornography" ndani ya biblia like palepale na lina husiana kabisa na hii mada yako na usijidai kufunguwa uzi mwengine.

Mimi nipo hapa kukupa darsa la aina yake kuhusu hii mada yako na nnaanzia usipopafikiria wewe.

Bado nnasubiri jibu la swali langu la awali kuhusu biblia.
 
Hahaha ni upunguani kuwa na fikra kama hizo. Madame mpaka sasa amewauoiza swali na kaweka hint ya mtu maarufu sana, namely George Bernard Shaw, lakini swali hilo linalohusu biblia limewakaa kooni, limekuwa mwiba usiomezeka usiotemeka.

Nyinyi kazaneni na kumuongelea bibi lakini mkumbuke Bibi hajwaongelea nyinyi, kawauliza kuhusu biblia na mpaka sasa mnashindwa kujibu.

Kusanyikeni, saidianeni, mwiba umesahau huo.
Sema shida yako ni nini, mbona unapewa uwanja mkubwa wewe unapita pembeni.
Huyo unayemuita maarufu saana, Mimi ndio namsikia kwako mimi kwangu mtu maarufu ni Yesu na kitabu maarufu ni Bibilia.

Kwa harakaharaka nimemfuatilia hapa naambiwa ni Illuminati/Free mason. Alikuwa Communist na Fabian socialist(Created 1930's ambao walitengeneza Political and Economic Planning Group(PEP)) au kwa ufupi wenzake wanamtambua kama Unsocial Socialist.
Ila kwa sababu wewe unamwamini na kumkubali leta hoja zako sijui zake ili upate majibu kama kwenye bibilia Kuna PONOGRAPH kama anavyosema mwalimu wako wa Peace TV
 
kibibi usiwe mgumu kuelewa mambo mepesi, wewe na walimu wako mmegundua uasherati (Japo Uasherati sio ponography kama tuhuma za mwalimu wako)kwenye bibilia. Wagunduzi nyie au wewe muwakilishi wao utuonyeshe na uuthibitishe ili upate uhalali wa kutuhoji sio kurukaruka mbona vitu vyepesi

Kibibi ni chakula wewe, au hujala vibibi wewe?

Unasikia mtoto, bado hujajibu swali, unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Swali ni hili:

Jee, kwenye biblia Ina contain "pornography"?

Iwe au isiwe uasherati hiyo utajuwa wewe. Mimi nnajuwa "pornography" ni laana zote za uasherati, uzinzi na machafu zaidi ya hayo.

Sasa MTU at iwe shutuma nzito namna hiyo kuhusu eti kitabu cha Mungu halafu unashindwa kutetea?

Hahahaha, mwiba umewakaa kooni huo.
 
Hizo nimekuwekea link juu huko, nnauhakika hata hujaisoma kwa uoga. ulizobandika juu huko ni bogus stories kwa sababu ma scientists kama kina Maurice Bucaille ambao walipewa kazi kabisa na serikali waandike kuhusu sayansi na ku tafiti juu ya kifo cha Firauni na walipouona ukweli wakaishia kusilimu.

Sababu? Waliona kuwa bible ni maandiko ya watu na hayaendani kabisa na sayansi kuilinganisha na Qur'an.

Msome Maurice Bucaille na soma kitabu chake alichoanza kukiandika akiwa mkristo na kusilimu baada ya kufanya tafiti za kisayansi kuhusu Biblia, Qur'an na Sayansi. Kitabu hicho maarufu The Bible The Qur'an and Science kipi hata uki google.

Swali langu la awali kwako kuhusu "pornography" ndani ya biblia like palepale na lina husiana kabisa na hii mada yako na usijidai kufunguwa uzi mwengine.

Mimi nipo hapa kukupa darsa la aina yake kuhusu hii mada yako na nnaanzia usipopafikiria wewe.

Bado nnasubiri jibu la swali langu la awali kuhusu biblia.
Document yako nimeisoma na kuirudia haina cha maana zaidi ya uninformed criticism. Unapaswa kuextract your points from tah document ili uje hapa jukwaani tuchambue moja baada ya nyingine bila kuwa tegemezi kwa source hizo tunabaki na bibilia na scientific evidence au ukitaka quran sikatai.

Kuhusu huyo mwanasayansi wako aliyesilimu, Mimi nazungumzia tens ao hundreds of scientists who believed on 06 days creation hadi kifo.Maelfu wanafanya archeological researches kuhusu Egypt na farao na wanaanguka na kukili bibilia ni kitabu sahihi, kwa hiyo huyo mmoja sio ishu madam.

Ila nakupongeza kwa kujieleza kwa maelezo yako. Naendelea kukusihi na kukuomba kama unasoma soma uelewe ulete extract ya ulichokisoma na kuhoji, kuuliza au kutia changamoto hakuna mtu atakayekusikiliza duniani kote kama utakuwa unajadili wewe lakni unacopypaste mawazo ya watu mazimamazima kwa maana nyingine unakwepa kufanya homework yako. Hatukusemi ila tunataka ubadilike utoke huko uisimame kwa miguu yako maana hata sisi kuna links za kutosha ukitaka kujadili kwa mifumo hiyo. Ila ni vizuri kujadili witho uur fresh minds and understandings.
 
Sema shida yako ni nini, mbona unapewa uwanja mkubwa wewe unapita pembeni.
Huyo unayemuita maarufu saana, Mimi ndio namsikia kwako mimi kwangu mtu maarufu ni Yesu na kitabu maarufu ni Bibilia.

Kwa harakaharaka nimemfuatilia hapa naambiwa ni Illuminati/Free mason. Alikuwa Communist na Fabian socialist(Created 1930's ambao walitengeneza Political and Economic Planning Group(PEP)) au kwa ufupi wenzake wanamtambua kama Unsocial Socialist.
Ila kwa sababu wewe unamwamini na kumkubali leta hoja zako sijui zake ili upate majibu kama kwenye bibilia Kuna PONOGRAPH kama anavyosema mwalimu wako wa Peace TV

Uliyekataa na kujifanya humjui mwenzako ni nani nnaona umeamua kumjibia post iliyoelekezwa kwake.

Safi sana, hiyo inamaanisha kuwa mmeukubali mwaliko wangu kusanyikeni na msaidiane na mwiba bado umewakaa.

George Bernard Shaw, vyovyote ulivyompa wasifu wake haijalishi, inashngaza sana pale wewe kutokumjuwa mwana filosofa maarufu duniani kama huyo na inafurahisha sana kuelewa kuwa leo umemjuwa na umeweza kufaidika na darsa la FaizaFoxy, ni faraja kubwa kwangu.

Jee, umezisoma sababu zake za kusema biblia ni kitabu hatari sana kifungiwe?
 
Kibibi ni chakula wewe, au hujala vibibi wewe?

Unasikia mtoto, bado hujajibu swali, unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Swali ni hili:

Jee, kwenye biblia Ina contain "pornography"?

Iwe au isiwe uasherati hiyo utajuwa wewe. Mimi nnajuwa "pornography" ni laana zote za uasherati, uzinzi na machafu zaidi ya hayo.

Sasa MTU at iwe shutuma nzito namna hiyo kuhusu eti kitabu cha Mungu halafu unashindwa kutetea?

Hahahaha, mwiba umewakaa kooni huo.
Sijibu au huwa sijibu shutuma ambazo hazina evidence.
Ingekuwa ni siasa kuwa ntachafuliwa kama tunavyoona ningekurupuka ila huku kwenye mambo ya msingi hiyo kazi sifanyi.
Haijawahi kuwepo ponography kwenye bibilia kwanza mwalimu wako inabidi umuelekeze matumizi sahihi ya maneno na hayo ni madhara ya kukaa watu wa imani moja wanajadiliana kuhusu imani nyingne wao kwa wao.

Mkuu hii sio siasa ni fact based discussion kama hauna ushuhuda au ushahidi wa tuhuma yako, ili ulete maana ya swali lako usitegemee utajibiwa uzushi, kama umeshindwa nikutengenezee template ya swali lako. Maana kwanza matumizi tu ya neno ponograph hapo ni ishara hata muuliza swali hajui anataka nini
 
Document yako nimeisoma na kuirudia haina cha maana zaidi ya uninformed criticism. Unapaswa kuextract your points from tah document ili uje hapa jukwaani tuchambue moja baada ya nyingine bila kuwa tegemezi kwa source hizo tunabaki na bibilia na scientific evidence au ukitaka quran sikatai.

Kuhusu huyo mwanasayansi wako aliyesilimu, Mimi nazungumzia tens ao hundreds of scientists who believed on 06 days creation hadi kifo.Maelfu wanafanya archeological researches kuhusu Egypt na farao na wanaanguka na kukili bibilia ni kitabu sahihi, kwa hiyo huyo mmoja sio ishu madam.

Ila nakupongeza kwa kujieleza kwa maelezo yako. Naendelea kukusihi na kukuomba kama unasoma soma uelewe ulete extract ya ulichokisoma na kuhoji, kuuliza au kutia changamoto hakuna mtu atakayekusikiliza duniani kote kama utakuwa unajadili wewe lakni unacopypaste mawazo ya watu mazimamazima kwa maana nyingine unakwepa kufanya homework yako. Hatukusemi ila tunataka ubadilike utoke huko uisimame kwa miguu yako maana hata sisi kuna links za kutosha ukitaka kujadili kwa mifumo hiyo. Ila ni vizuri kujadili witho uur fresh minds and understandings.

Unaongelea copy na paste wakati wewe ndicho ulichokifanya! Unanchekesha.

Kuna kipi zaidi jipya kutoka kwako katika uliyoyaleata zaidi ya copy na paste ?

Labda ungeleta thesis yako ya PhD iliyothibitishwa kuwa kweli ni yako, ningekuelewa kuhusu copy na paste.

Lakini hayo uliyoyabandika yote ni copy na paste na usitake kujidai zaidi. Hata ku i quote biblia ni copy na paste.

Huko kote ntakuja kwa wakati wake usiwe na papara mtoto.

Lakini kwanza nijibu kuhusu biblia kuwa "pornography" ndani yake.

By the way, huyo uliyesema Mwalimu wa youtube, huyo ni kiboko yenu na ana satellite channel ya taasisi yake na inatazamwa na over 100 million viewers worldwide. Una mengi sana ya kujifunza kwake. Mtafute tu channel yake inaitwa Peace TV, kama u mkweli na huijuwi hiyo basi hilo nalo ni jipya ulilojifunza kupitia darsa la FaizaFoxy wa JF na faraja kubwa kwangu.

Swali kuhusu pornography ndani ya biblia lipo palepale, bado unashindwa kuitetea biblia kwa hilo.
 
Uliyekataa na kujifanya humjui mwenzako ni nani nnaona umeamua kumjibia post iliyoelekezwa kwake.

Safi sana, hiyo inamaanisha kuwa mmeukubali mwaliko wangu kusanyikeni na msaidiane na mwiba bado umewakaa.

George Bernard Shaw, vyovyote ulivyompa wasifu wake haijalishi, inashngaza sana pale wewe kutokumjuwa mwana filosofa maarufu duniani kama huyo na inafurahisha sana kuelewa kuwa leo umemjuwa na umeweza kufaidika na darsa la FaizaFoxy, ni faraja kubwa kwangu.

Jee, umezisoma sababu zake za kusema biblia ni kitabu hatari sana kifungiwe?
huyo ni mtu mdogo sana na wakawaida sana sijui unapata wapi ujasiri wa kumpa ukubwa huo badala yaani naiona shida hapa.

Kuhusu unaemuita mwenzangu tunapishana mambo mengi sana by 180* hivyo simjibii au hatusaidiani bali ninajibu mimi kama mimi hilo unapaswa kulielewa as Rule number 01. Kama kunasehemu tunamatch sio tatizo.

Kama kwenye bibilia hakuna wala haijawahi kuwepo Ponography huwa sina tabia ya kusoma vitu ambavyo havipo. Wewe uliyesoma Tuwekee hapa tukujibu unaogopa nini? Mimi nikisoma kitu sikuletei au sitakaa nikuletee kiila lidocument nitakachofanya ni kuextract kinachokufaa na kukuwekea tuhojiane sasa maadam yaani unajitenga kabisa na source zako.
Wewe uliyesoma unaona ugumu gani kuyaweka hapa with reference za bibilia ili mimi kazi yangu iwe ni kukujibu wewe sio hao jamaa unaowaleta maana hawapo JF
 
Sijibu au huwa sijibu shutuma ambazo hazina evidence.
Ingekuwa ni siasa kuwa ntachafuliwa kama tunavyoona ningekurupuka ila huku kwenye mambo ya msingi hiyo kazi sifanyi.
Haijawahi kuwepo ponography kwenye bibilia kwanza mwalimu wako inabidi umuelekeze matumizi sahihi ya maneno na hayo ni madhara ya kukaa watu wa imani moja wanajadiliana kuhusu imani nyingne wao kwa wao.

Mkuu hii sio siasa ni fact based discussion kama hauna ushuhuda au ushahidi wa tuhuma yako, ili ulete maana ya swali lako usitegemee utajibiwa uzushi, kama umeshindwa nikutengenezee template ya swali lako. Maana kwanza matumizi tu ya neno ponograph hapo ni ishara hata muuliza swali hajui anataka nini

Yaani hauijuwi biblia? Hujaisoma biblia kiasi cha kuelewa kuwa ina pornography ndani yake au haina?

Sasa wewe usijiangushe mtoto, uelewe kuwa kuna "sayansi" yote hiyo lakini suala sensitive kama hilo la kuwa au kutokuwa na pornography huelewi? Au huelewi maana ya poronography mwana sayansi wa biblia?

Au hiyo sayansi ume kopi na kupesti na kuibandika humu bila kuelewa vingine vilivyomo ndani ya biblia?

Unanchekesha!
 
Unaongelea copy na paste wakati wewe ndicho ulichokifanya! Unanchekesha.

Kuna kipi zaidi jipya kutoka kwako katika uliyoyaleata zaidi ya copy na paste ?

Labda ungeleta thesis yako ya PhD iliyothibitishwa kuwa kweli ni yako, ningekuelewa kuhusu copy na paste.

Lakini hayo uliyoyabandika yote ni copy na paste na usitake kujidai zaidi. Hata ku i quote biblia ni copy na paste.

Huko kote ntakuja kwa wakati wake usiwe na papara mtoto.

Lakini kwanza ni jibu kuhusu biblia kuwa "pornography" ndani yake.

By the way, huyo uliyesema Mwalimu wa youtube, huyo ni kiboko yenu na ana satellite channel ya taasisi yake na inatazamwa na over 100 million viewers worldwide. Una mengi sana ya kujifunza kwake. Mtafute tu channel yake inaitwa Peace TV, kama u mkweli na huijuwi hiyo basi hilo nalo ni jipya ulilojifunza kupitia darsa la FaizaFoxy wa JF na faraja kubwa kwangu.

Swali kuhusu pornography ndani ya biblia lipo palepale, bado unashindwa kuitetea biblia kwa hilo.
Peace TV ninaijua na huyo jamaa Zakir Naik huwa namsikiliza sana argument zake nikiwa sina kazi, Yaani kati ya yao millioni 100 na mimi nimo na hana jipya sana labda kwa watu wasiofuatilia mambo.
Kila anachoongea kinaacha maswali mengi kuliko majibu.

Kuhusu ninachoandika, Ukiona nimeandika siwezi kutoa excuse kwa yoyote isipokuwa niseme sina uhakika na source. Yote kuanzia kwenye bibilia niko tayari kuyasimamia hata ya Pale kwenye thread nayaamini na niko tayari kuyasimamia tofauti na wewe unaweka link au document alafu wewe unajiisolate nayo na kunitaka mimi nijibishane nae wakati tuko na wewe. Ukiona nimecopy/paste jua naamini nilichokupa mimi kama mimi hadi itakapothibitishwa vinginevyo maadam.
Sasa wewe hapo ndipo tunapopishania wewe unatupa lidoc kisha unakaa pembeni kama mshabiki hiyo kazi unayofanya ni rahisi sana
 
huyo ni mtu mdogo sana na wakawaida sana sijui unapata wapi ujasiri wa kumpa ukubwa huo badala yaani naiona shida hapa.

Kuhusu unaemuita mwenzangu tunapishana mambo mengi sana by 180* hivyo simjibii au hatusaidiani bali ninajibu mimi kama mimi hilo unapaswa kulielewa as Rule number 01. Kama kunasehemu tunamatch sio tatizo.

Kama kwenye bibilia hakuna wala haijawahi kuwepo Ponography huwa sina tabia ya kusoma vitu ambavyo havipo. Wewe uliyesoma Tuwekee hapa tukujibu unaogopa nini? Mimi nikisoma kitu sikuletei au sitakaa nikuletee kiila lidocument nitakachofanya ni kuextract kinachokufaa na kukuwekea tuhojiane sasa maadam yaani unajitenga kabisa na source zako.
Wewe uliyesoma unaona ugumu gani kuyaweka hapa with reference za bibilia ili mimi kazi yangu iwe ni kukujibu wewe sio hao jamaa unaowaleta maana hawapo JF

Ni vyema sana kuwa baada ya porojo nyingi umejibu swali langu, na hilo ndiyo muhimu, hizo zingine ni porojo zako tu za mtu mdogo au mkubwa. Labda ni mafundisho ya dini yako hayo.

Mafundisho ya dini yangu ya Kiislam hayanifundishi kumdharau mtu na kumpachika udogo au ukubwa, mafundisho ya Uislam ni kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa na hakuna mkubwa wala mdogo kati yetu.

Nnachukulia kuwa jibu lako ni Kama ulivyoandika kuwa "kwenye biblia hakuna wala haijawahi kuwepo pornography".

Safi sana, ili tuendelee napenda kujuwa kutoka kwako kama unafahamu maana ya "pornography"? Ili nihakikishe kuwa pengine hukuelewa unachokijibu, kabla hatujaendelea tukubaliane ni nini maana ya pornography unavyoelewa wewe na nnavyoelewa mimi ili twende sambamba.

Naam, nnaomba nijulishe maana ya pornogrphy kwa uelewa wako, wangu mimi ni hivi:

Definition of pornography

    • 1: the depiction of erotic behavior (as in pictures or writing) intended to cause sexual excitement
    • 2: material (as books or a photograph) that depicts erotic behavior and is intended to cause sexual excitement
    • 3: the depiction of acts in a sensational manner so as to arouse a quick intense emotional reaction <the pornography of violence>
Source: Definition of PORNOGRAPHY

Kama utakubaliana na maana hiyo, tafadhali nijulishe tuendelee na mjadala.
 
Yaani hauijuwi biblia? Hujaisoma biblia kiasi cha kuelewa kuwa ina pornography ndani yake au haina?

Sasa wewe usijiangushe mtoto, uelewe kuwa kuna "sayansi" yote hiyo lakini suala sensitive kama hilo la kuwa au kutokuwa na pornography huelewi? Au huelewi maana ya poronography mwana sayansi wa biblia?

Au hiyo sayansi ume kopi na kupesti na kuibandika humu bila kuelewa vingine vilivyomo ndani ya biblia?

Unanchekesha!
Uliza swali kwa weka evidence from bible hayo mengine niachie mimi kama nasoma au sisomi najua au sijui.
Maana wewe ndie uliyedukua hizo taarifa kutoka kwenye bibilia sasa unashindwa nini au kwa sababu mwalimu kwenye ile video hajasema exactly wapi. mbona unafanya mambo marahisi magumu
 
Peace TV ninaijua na huyo jamaa Zakir Naik huwa namsikiliza sana argument zake nikiwa sina kazi, Yaani kati ya yao millioni 100 na mimi nimo na hana jipya sana labda kwa watu wasiofuatilia mambo.
Kila anachoongea kinaacha maswali mengi kuliko majibu.

Kuhusu ninachoandika, Ukiona nimeandika siwezi kutoa excuse kwa yoyote isipokuwa niseme sina uhakika na source. Yote kuanzia kwenye bibilia niko tayari kuyasimamia hata ya Pale kwenye thread nayaamini na niko tayari kuyasimamia tofauti na wewe unaweka link au document alafu wewe unajiisolate nayo na kunitaka mimi nijibishane nae wakati tuko na wewe. Ukiona nimecopy/paste jua naamini nilichokupa mimi kama mimi hadi itakapothibitishwa vinginevyo maadam.
Sasa wewe hapo ndipo tunapopishania wewe unatupa lidoc kisha unakaa pembeni kama mshabiki hiyo kazi unayofanya ni rahisi sana

Nnayaona mambo matatu muhimu sana kwenye hii post yako.

Lakwanza, nimefurahi sana kuona majina ya kejeli kutoka kwako kuja kwangu yamekwisha na silioni tena jina la "kibibi". Nimefurahi kwa hilo na nnauhakika umeanza kufaidika na darsa la FaizaFoxy wa JF.

Lapili, nimefurahi sana kusikia kuwa ume turn 180 degrees kuhusu Dr. Zakir Naik kutoka kejeli ya kuwa eti "Mwalimu wako wa youtube" hadi kukiri kuwa unaijuwa Peace TV na huwa unamsikiliza. Hilo linaonesha kuwa unakubaliana kuwa ni source ya uhakika na ulikuwa unajidai kuleta kejeli za kijinga tu kum dis. Nnauhakika kwa kuwa unaitazama Peace TV utaona kuwa Dr. Zakir Naik amevunja record ya kuwa na live audience ya watu zaidi ya million moja uwanjani. Ni record ambayo haijawahi kuvunjwa na mhadhiri yeyote duniani.

Latatu, nimefurahi sana kuwa pia hujapinga kuwa sote tunatumia kopi na pesti.

Kuhusu usemi wako wa "kazi rahisi" sikushangai, kwani wengi waliosoma shule za Tanzania wamejazwa ujinga wa kila kitu kuwa kigumu na kizito basi ndiyo kafanya kazi kwelikweli, binafsi falsafa yangu ni tofauti, nayo ni "the simply the better" siamini katika "kufanya kazi juani ulie kivulini" nnaamini katika "kufanya kazi kivulini ulie kivulini". Ya nini tabu na raha ipo?

Tuendelee.
 
Uliza swali kwa weka evidence from bible hayo mengine niachie mimi kama nasoma au sisomi najua au sijui.
Maana wewe ndie uliyedukua hizo taarifa kutoka kwenye bibilia sasa unashindwa nini au kwa sababu mwalimu kwenye ile video hajasema exactly wapi. mbona unafanya mambo marahisi magumu

Mbona swali langu umeshalijibu kwenye post yako namba 293 au umesahau?

Na Mimi nnangoja tukubaliane tu Kama nilivyoelezea kwenye post yangu namba 297 ili tuendelee.

Hayo ya Mwalim wangu wewe usijali, si umesema unajadiliana na mimi hapa? Yet. Zakir Naik nimekuwekea clip yake ili umsikilize alivyokuwa anawajibu Wakristo wenzako. Wewe piga mada na mimi hapa, mbona sasa tunakwenda sambamba, punguza hofu.

Nipe majibu ya post yangu 297 tuendelee.

Kumbuka kuwa hapa tunapeana darsa kwa faida ya wengi.
 
Back
Top Bottom