Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Chips yai imegunduliwa Tanzania wikipedia junk food of tanzania
 
unachosema ni kweli

br sikuwa na lengo la kuponda wala kulalamika "kama mwehu"

kama ni kufanya kazi mimi pia nafanya kazi na nina kiu ya maendeleo kuliko unavyofikiria

tatizo umechukulia kuwa mtu akieleza huzuni aliyonayo basi atakua ni mlalamikaji

lazima tulalamike, kwa sababu mbali na jitihada zetu za kuijenga nchi yetu ila kuna wachache ambao wanaturudisha nyuma

kama wewe unakula vizuri, unakunywa vizuri na unalala pazuri basi tambua kuna wengine hali zao ni kinyume chako, na wala si kwa sababu ni wazembe bali hakuna opportunities za kutosha

ni hamu ya watanzania wengi kuona rasilimali hizi zinawanufaisha, isiishie kuzitangaza tuuuu halafu wanaonufaika ni wachache tena wengine hawastahiki kunufaika nazo

nawatakia kazi njema na asubuhi njema, tukutane kwenye foleni

bado hujaelewa tu??
 
Tumia akili unapochangia vitu. Siyo kutumia hisia. Ungekuwa mtu mwenye busara ungekaa kimya.
 
Tumia akili unapochangia vitu. Siyo kutumia hisia. Ungekuwa mtu mwenye busara ungekaa kimya.
ungekua muelewa ungeelewa sikuwa nataka kukuponda unachosema

kuna tofauti kati ya "kutoa hisia na kutumia hisia"
 
The shortest war in history was fought in 1896 in Tanzania between the United Kingdom and Zanzibar. It lasted only 45 minutes.
 
Kizazi kijacho hakihitaji plutonium, uranium, gold, diamonds, tanzanite or whatever, kinahitaji kukuta infrastructure imekaa sawa kwa shughuli za uchumi zitakazokuwapo! Watu kama wewe ndo mnafanya umaskini utamalaki ktk nchi hii kwa kudanganya mbumbumbu kwamba Tanzania ni tajiri. Unajua ni sawa na kusema tuna chakula kingi ndani halafu unashinda na njaa, mchwa, panya na bunguzi wanajifanyia michakato ndani ya ghala! Unasifia deposits za utajiri ambazo zinaondoka bila kuacha impact ya kimaendeleo halafu unafikiri zitaota tena! Uvumbuzi wa Olduvai gorge unatufaidisha nn sisi? Hili lina weza kuwa fuvu lililoletwa na maji kwani wale watu waliokufa ktk gharika waliishia wapi? Let's think objectively, utajiri wa kusema sema tu, hata Kenya wana magadi na yanawanufaisha zaidi kilimo almasi inavyofanya kwa Tanzania!

Maoni tu!
 
The Serengeti is home to the the Ol Doinyo Lengai; the only volcano on the planet that is currently erupting carbonatite lava. This mineral rich carbonate lava is washed down to the plains where it fertilizes the land.

 
Acha ujinga. Hujui uongealo. Ninakusamehe bure.
 
Tanzania is one of the last remaining places when the possibility of discovering a new species still exists. In 2003, a new monkey, the kipunji, was discovered and is extremely rare with a population of only about one thousand animals.
 
wooooow!? huenda wewe ukawa ndie mtanzania pekee ambae hujui kuwa nchi yetu ni masikini.

my br cha muhimu tupige kazi kwa nguvu zetu zote tuijenge nchi yetu kwa amani na upendo, hakuna haja ya kulumbana

Nchi si maskini. Bali watu wake kwa idadi kubwa ndio maskini. Ukisema nchi maskini unamkufuru Mungu. Halafu unalalamikiaje nchi maskini man wakati unailima na inakutolea chakula?

Mtizamo wako wa pili ndio uwe dira yako. Soma na somesha wanaokuhusu. Jibidishe na tumia maarifa sana. Hayo mambo ya umaskini huwa ni stori tu kupitisha muda.

On aggregate tangu dunia iumbwe imekua ikiendelea unless Mungu ashushe gharika. Spidi isikusumbue.
 
Zanzibar, a port city of Tanzania, is a cosmopolitan hotspot which dominates East African culture. Its long history with Arab rulers, Indian workers, Portuguese traders and European colonizers have created a unique blend of traditions, cuisine, music, dance forms and arts.
 
Dar es Salaam, a city in eastern Tanzania, is the largest city in the county. It’s also the largest Swahili-speaking city in the world and has given birth to many great men in Africa’s history.
 
The Mpingo trees is also known as the music tree of Africa, as its wood has been used to make traditional musical instruments since ancient times.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…