Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Tanzanians love hip hop music and has created Bongo Flava, which is an amalgamation of international styles like reggae, afrobeat, blues, rasta and dancehall with local musical traditions like taarab and dansi.
 

Acha nikwambie.
Kwanza umejicontradict hapo juu kuhusu malalamiko.

Pili. Fursa zipo nyingi sana. Sana. Na ni UZEMBE ikiwa mtu ni timamu mwenye afya asinufaike nazo. Huyo anaezuia wengine ni nani hata ana nguvu zaidi ya Mungu? Tafadhali usikufuru.
 
Tanzania is a friendly country in diplomatic circles, but the country did declare war on neighboring Uganda on October 30, 1978. Tanzania totally owned the Ugandans and won a victory after 5 months.
 
The world’s longest river, the Nile is most synonymous with the world’s first civilization – The Egyptian Civilization. This river originates from Lake Victoria, Tanzania.
 
Acha ujinga. Hujui uongealo. Ninakusamehe bure.
Ukitukana utatukanwa, kwani ulichoandika nani alikutuma? Sisi hiyo historia tumeisoma wee bado unatawazwa na mamaako na bado haikuleta mabadiliko mpaka Leo! Ukaona nawe ume hit kwa utumbo wako hapa na hutaki kukosolewa, TTB wameshindwa we kapuku utaweza wapi?

Angalia wengine hatukuzoea kutukana!
 
Ikiwa una chakula kingi ndani au umeambiwa ndani mwako kuna chakula kingi ilhali wewe unakufa njaa utafanya nini?

Utatoka nje kupaaza sauti kuwa una njaa, utapiga mbiu kuwa unadanganywa shambani mwako kuna chakula ama utafanya jambo upate chakula ule?

Nchi ni tajiri. SANA. Wapo watu jangwani na wanatuuzia juisi. Hivi unataka nini kifanyike?

Umelima nini kikashindwa kuuzika? Umetengeneza nini kiwandani kikadoda? Umebuni nini kisikubalike? Una hatimiliki ngapi hadi sasa?

Una elimu gani? Umeitumiaje? Una ujuzi gani? Unanufaika nao vipi? Una kipaji gani? Kimekutoa?

Kosoa sana watendaji kosoa wengine ila nchi usiiguse.

Na hao unaowaona maskini umebuni kazi ukawapa wakakataa?
 
Povu la nini sasa wewe mwehu!? Halafu ujinga siyo tusi. Uelewa wako ni finyu.
 
Hayo mengine Sina ujakikanyo but hili la mpingo kupatikana Tanzania pekee hapana sikweli...!

Mpingo unapatikana nchi tatu ktk Africa Tanzania Kenya na Msumbiji na unapatikana kwa wingi zaidi Mozambique
 
Lie #1. In kenya the south eastern of the country has them trees however they are endangered because they are used for the wood carvings
 
Hayo mengine Sina ujakikanyo but hili la mpingo kupatikana Tanzania pekee hapana sikweli...!

Mpingo unapatikana nchi tatu ktk Africa Tanzania Kenya na Msumbiji na unapatikana kwa wingi zaidi Mozambique
Hahaha!!! Yaani umeamua kuiweka Kenya. Huo Mpingo kenya unapatikana wapi?
 
Acha nikwambie.
Kwanza umejicontradict hapo juu kuhusu malalamiko.

Pili. Fursa zipo nyingi sana. Sana. Na ni UZEMBE ikiwa mtu ni timamu mwenye afya asinufaike nazo. Huyo anaezuia wengine ni nani hata ana nguvu zaidi ya Mungu? Tafadhali usikufuru.
naomba unielekeze usitumie jazba

lengo sio kugombana wala kuaibishana au kushindana, lengo ni kuwekana sawa

toa hoja upewe hoja, hakuna haja ya kutukanana.l
 
kukosoa ni njia mojawapo ya kutengeneza, ukikosolewa jitetee kwa maneno mazuri sio kwa kutukana tukana hovyo
 
matusi sio hoja, jibu hoja kwa kutoa hoja
Haha hoja huyo lengo lake ni kuharibu thread. Nimeshamueleza maelezo mengi mno. Halafu anarudia hicho hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…