Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Kuonge rahisi
 
Kuweni na subira
Kwa jicho langu la kitaalam Onana ni bonge la mchezaji ila nadhani hawezi pressure
Bado una wasiwasi na kiwango cha Miquison
Una wasiwasi na Vabakar Sarr hujaona CV yake?
Una wasiwasi na Baleke?
Una wasiwasi na Phri?
Kuweni serios kidogo

Hata Yanga kipindi Mayele anakuja alicheza mechi 7 bila kufunga ila uvumilivu ulitulipa

Aziz Ki mambo yalimgomea hapo awali pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo mpya hadi sasa hajaonesha tofauti yoyote, bora Awesu kama ulivyosema.
 
Hawana jipya, kama wachezaji ni hawa nawaambia wanalunyasi wenzangu! Kwenye ligi tutapoteza game 1 na droo kadhaa ambazo zitachangia kupoteza ubingwa na tukizubaa tutaishia namba 3.
 
Sawa mkuu
 
Yule aliyemzuia Ronaldo alikuwepo ?

Bongo kuna wapigaji wengi !
 
Na ukweli utasimama daima. Siioni Simba ya kimataifa nusu fainali kwa wachezaji hawa wa kigeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…