Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Hivi mchezaji anapewa cross nzuri au pasi ndani ya 18 badala ya kuunga moja kwa moja anatuliza kwanza mpira chini auweke sawa halafu ndo apige,wakati huo mabeki wa timu pinzani wanasubiri nini? Halafu unasema huyo ndo mchezaji professional , Baleke, Saido na Onana wamepewa pasi na cross za kuunganisha tu wanaweka kwanza mipira vizuri ndo wapige mara unachukuliwa,pale ilitakiwa kuunga tu unaweka chini ujipange mabeki wanasubiri nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuonge rahisi
 
Kuweni na subira
Kwa jicho langu la kitaalam Onana ni bonge la mchezaji ila nadhani hawezi pressure
Bado una wasiwasi na kiwango cha Miquison
Una wasiwasi na Vabakar Sarr hujaona CV yake?
Una wasiwasi na Baleke?
Una wasiwasi na Phri?
Kuweni serios kidogo

Hata Yanga kipindi Mayele anakuja alicheza mechi 7 bila kufunga ila uvumilivu ulitulipa

Aziz Ki mambo yalimgomea hapo awali pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.

Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.

Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.

Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.

Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.

Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!

Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Kiungo mpya hadi sasa hajaonesha tofauti yoyote, bora Awesu kama ulivyosema.
 
Hivi mchezaji anapewa cross nzuri au pasi ndani ya 18 badala ya kuunga moja kwa moja anatuliza kwanza mpira chini auweke sawa halafu ndo apige,wakati huo mabeki wa timu pinzani wanasubiri nini? Halafu unasema huyo ndo mchezaji professional , Baleke, Saido na Onana wamepewa pasi na cross za kuunganisha tu wanaweka kwanza mipira vizuri ndo wapige mara unachukuliwa,pale ilitakiwa kuunga tu unaweka chini ujipange mabeki wanasubiri nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana jipya, kama wachezaji ni hawa nawaambia wanalunyasi wenzangu! Kwenye ligi tutapoteza game 1 na droo kadhaa ambazo zitachangia kupoteza ubingwa na tukizubaa tutaishia namba 3.
 
Wakuu,

Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.

Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.

Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.

Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.

Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.

Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!

Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Sawa mkuu
 
Yule aliyemzuia Ronaldo alikuwepo ?

Bongo kuna wapigaji wengi !
 
Na ukweli utasimama daima. Siioni Simba ya kimataifa nusu fainali kwa wachezaji hawa wa kigeni.
 
Back
Top Bottom