Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Ifike wakati ushabiki tuweke pembeni. Wachezaji wa kutoka nje ya Tanzania wanaostahili kuchezea Simba ni 3 tu; Ngoma, Inonga na Chama. Wengine wote wako level za Wachezaji wa KMC.
I agree, Idd Nado ni machine kuliko Onana.
 
Umeandika ushuzi wa hali ya juu.
Na mimavi juu...mpaka sasa Ni wachezaji wawili tu angalau tunaweza sema tuna professional player nao ni Ngoma na Inonga waliobaki unashika kichwa muda wowote wanachoma kibanda.
 
Ifike wakati ushabiki tuweke pembeni. Wachezaji wa kutoka nje ya Tanzania wanaostahili kuchezea Simba ni 3 tu; Ngoma, Inonga na Chama. Wengine wote wako level za Wachezaji wa KMC.
Nakazia ila chama now kaisha Hana faida
 
Tutalaumu sana wachezaji na viongozi lakini pia na scouting ya Simba ni mbovu misimu zaidi ya mitatu wanaleta wachezaji mizaha halafu hakuna kitu. Tubadili team ya scouting haraka sana kama ipo ni haifai
 
Ifike wakati ushabiki tuweke pembeni. Wachezaji wa kutoka nje ya Tanzania wanaostahili kuchezea Simba ni 3 tu; Ngoma, Inonga na Chama. Wengine wote wako level za Wachezaji wa KMC.
Umesema tuache ushabiki halafu unamuweka Chama? Be serious
 
Tumpe nafasi kidogo Sarr
 
Tuko Serious unaleta utani
 
Matatizo ya Simba hayatokani na viongozi, bali yanatokana na mashabiki. Viongozi wanasajipi kwa lengo la kuwatuliza mashabiki na sio kuboresba timu.

Simba ilikuwa inahitaji namba 6, mkasajili Ngoma ambaye sio typically namba 6. Japo ameingia kwenye mfumo wenu, ila timu bado inahitaji namba 6. Babacar yawezekana akawa mzuri, ila hawezi kuclick ndani ya muda mfupi kama mnavyohitaji.

Timu imejaza winger kibao ambao ni mzigo. Kwa aina ya washambuliaji mlionao, wanahitaji sana mipira ya cross. Lakini hakuna winga hata mmoja mwenye kupiga cross, wote ni wale wa kupiga chenga kuingia 18, lakini finishing ni sifuri. Cross mpaka leo mnategemea Kapombe na Shabalala.

Simba inahitaji overhaul kama aliyokuwa anafanya Yanga kipindi kile. Walikuwa wanaleta wachezaji wengi, wakishindwa kudeliver, wanatimua na kuleta wengine. Mpaka msimu ule wa kina Bangala, ndio timu ikatulia. Tokea pale yanafanyika maboresho madogo madogo tu.

Mchezaji mmoja hatoshi kuibadilisha Simba. Na ni rahisi hata kwa mchezaji mzuri kuonekana mbaya.
 
Propaganda sana kama chama cha siasa. Kununua magazeti, mitandao na chawaz
Ukitaka kujua ni washenzi angalia ishu ya manzoki ilivyokua yaani sasa hivi yule Muhindi sio wa kumuamini janja janja nyingi.
 
Simba na Arsenal zimeanza kunipa presha, ngoja sasa HV nikae pembeni nifanye mambo yangu nisijepata kansa ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…