Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

Polisii,Tiaiesesi,Ami,Disii,Arasii,tumee nk ndo silaha kuu za nzi wa chooni
 
CCM Ina shinda kwa haki na kwa halali kabisa. Hii ni kutokana na sera na ajenda nzuri ambazo huzibeba na kuzinadi kwa wananchi pamoja na utekelezaji mzuri wa ilani yake inayogusa maisha ya watanzania wengi.
Uongo wa mchana kweupe sera gani hizo za kupoteza watu
 
πŸ˜ƒπŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜† Haya majitu ndo yanafanya Afrika ionekane ni kichwa cha mwendawazimu na bara lisilojiweza
 
Nyie kima ni wapuuzi sana halafu mnajazana upumbavu wa kila aina mnapoonana
 
Bila tume huru ya uchaguzi mtaendelea kushinda kila uchaguzi..
Ndo maana tumewaacha mjipigie kura na kuchaguana wenyewe

Wanyia tumepata hasara kuzaliwa kiazi mbatata kama wewe!
 
Siku watu wakichoka mambo yakibadilika sijui mtakimbilia wapi, itakua ni kuangamiza takataka zote za kijani. Naamini utawakana wenzio ili ubaki salama bahati mbaya utakua umechelewa.
 
Siku watu wakichoka mambo yakibadilika sijui mtakimbilia wapi, itakua ni kuangamiza takataka zote za kijani. Naamini utawakana wenzio ili ubaki salama bahati mbaya utakua umechelewa.
Watanzania wana imani kubwa na CCM na ni chama kilichokidhi matarajio ya watanzania
 
Bila tume huru ya uchaguzi mtaendelea kushinda kila uchaguzi..
Ndo maana tumewaacha mjipigie kura na kuchaguana wenyewe

Wanyia tumepata hasara kuzaliwa kiazi mbatata kama wewe!
Toa ujinga wako hapa wewe Chizi
 
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸 kiziwi .β˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈβ˜ οΈπŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa CCM ni chama kikubwa ila kwenye fair play kinaogopa,wekeni uwanja sawa then msitumie vyombo vya dola kwenye uchaguzi kuiba kura,tbc,channel 10 na Startv ni mali yenu pluc vyombo vya dola kwel mmeshida mapema kabixa.
 
CCM haitegemei vyombo vya dola kupita .sera bora za CCM ndio imekuwa chachu ya kuendelea kupendwa ,kuaminika na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…