Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

yaani Map ina 800kb yaani hata 1mb haifiki pakua haraka
halafu ukione cha moto
Mimi nimeshanunua gari kubwa Injini ya Mwisho juu kabisa na Gear box lake sasa nachelewa masaa 4 badala ya vile vigari nachelewa kutwa ya masaa 14
mkuu nimegundua kitu. ukitaka ufike haraka na mda uckuache chukua mishe ndefu yaani km . hapa utapewa masaa mengi sana kuliko mda utakao wasili
 
HAPA
 

Attachments

  • ets2_20191223_044355_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20191223_083018_00.png
    1.4 MB · Views: 3
  • ets2_20191223_082849_00.png
    1.3 MB · Views: 3
  • ets2_20191223_080436_00.png
    1.4 MB · Views: 3
  • ets2_20191223_051125_00.png
    1.4 MB · Views: 3
  • ets2_20191223_051008_00.png
    1.4 MB · Views: 3
wajameni asije mtu akakudanganya. hii map ina raha yake haswa kwa walogwa wa ets 2 kama mimi
 

Attachments

  • ets2_20191223_071255_00.png
    1.3 MB · Views: 2
Jamani kwa mapumziko ya X-MAS na HAPPY NEW YEAR kuna Member wa ETS-2 humu ndani kawamwagia Puno Peru ya kufa mtu, naona wamewajibu Hondurus


ina 5.8Mb duh safari hii tunaingia 2020 kivyakevyake
uzi ulianzishwa 2017 Julai 17, na kcamp na haujadoda
huku kila mara ETS-2 analeta mabadiliko safi sana
mkipata nafasi na bundle mukawacheck Peru wanavyotaka kumjibu Hondulandia
 
Aisee,sasa tutakua na profile kama zote..ngoja nichungulie mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…