Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana mkuu! Umeikumbuka truck yangu niliyoitelekeza baada ya kuibiwa pc.
Kilichonichekesha zaidi ni huo msitu wenye mashetani.. ukaamua kuziba na njia kabisa kwa kuangusha mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba uchawi hadi kweny ets2[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo jini kama la pale kweny ule mti wa muongoza magali
 
Kwamba uchawi hadi kweny ets2[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jini kama la pale kweny ule mti wa muongoza magali
Hapana ila nii Developer wa hiyo Map kaweka maluweluwe kuanzia km203 hadi 153 kabla hujafika Mji wa Mwisho wa Pantano
Nimeingia hata kwenye Google hiyo Miji hakuna wala Nchi ya Hondurus majina hayafanani, nimepekua ramani kwei zinafanana na Hondurus nikaja angukia picha ya kcamp imejirudia Google
Hili Game kiboko nimelikubali
 
MACHIBYA huo msitu Kiboko nimetelekeza Volvo lina mbao hapo, sina hamu,
nashangaa wengine maluweluwe hawakutani nayo, hata huo Mti nimesogeza na jiwe
sema safari hii woga hata screen short inagoma
 
mkuu huo kwenye msitu nilipita vizuri tu nikiwa na s 730 yangu
 
Attachments

  • ets2_20191225_095527_00.png
    813.6 KB · Views: 3
MACHIBYA huo msitu Kiboko nimetelekeza Volvo lina mbao hapo, sina hamu,
nashangaa wengine maluweluwe hawakutani nayo, hata huo Mti nimesogeza na jiwe
sema safari hii woga hata screen short inagoma
ehhh. mbavu zangu mieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wajameni ukikutana na mission ya kubeba trekta kama hili hondula usichukue kwani lina mateso
 
Attachments

  • ets2_20191226_094613_00.png
    1.5 MB · Views: 4
Hilo daraja sijalielewa?πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu huo kwenye msitu nilipita vizuri tu nikiwa na s 730 yangu

jamani ndio msitu huuhuu, je mnapita kwa zaidi ya speed 50km/h basi Volvo yangu ina matatizo maana nimenunua engine ya mwisho kabisa na gearbox ya mwisho kabisa lakin hapo matata hata ggiza lake linaonesha, basi safari njema Hondulandia kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…