mwaminifuhalisi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 329
- 419
Nitaanza kujifunza lugha ya alama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nidhamu hiyo sina..Neno Bubu hua c vema kulitumia,maana wenyewe viziwi hawalipendi Na endapo akijua umemwita yy Bubu hapo kidg kutakua Na shida.tumia neno kiziwi ndo maana sahihi.
CHAVITA ofisi zao zipo wapi kwa dar natamani kujua lugha hiiKwa faida ya wale wanaotaka kujifunza lugha ya alama ya Tanzania waende CHAVITA kununua kamusi ya lugha ya alama na santuri ya video (Video CD). Hakika ni rahisi sana kujifunza lugja ya alama.
Mkuuunaweza pia kunisaidia kuweka picha kuhusu somo la tarakimu (namba)
Mkuu mimi nilitaka kupewa mke (kiziwi),Kwa wale mnaopenda kutongoza au kutongozwa Na viziwi kuweni makini maana hawa viziwi lugha yso haina siri Na pia wana mapenzi ya kweli akipnda anapenda kweli hatanii kama mnaosikia sauti
Hii elimu mimi nilipata kipindi nasoma miaka ya zamani sekondari flani ya ufundi kule kaskazini.Hongera MKUU umejitahidi xana. Poa ni muhim sana kwa watu wote wenye uwezo wa kusikia sauti kujifunza lugha hii ili kuwasaidia hawa wenzetu viziwi. Namshkur mungu nimejifunza lugha hii Na kwa sasa naweza kuwasiliana nao vizur n pia nawafundisha masomo yote. Ni lugha nzuri sana ila ni lugha ambayk haina siri kwa maana kuwa ukiongea kwa ishara mwingine anaweza kuona Na kujua unachoongea.
Ucjali mkuu nitakutumia pic za namna a kuonesha namba moja mpaka milionMkuuunaweza pia kunisaidia kuweka picha kuhusu somo la tarakimu (namba)
Hii ni rahisi zaidi kueleweka.
1;Mkuu ilichukua muda gani kueza kuelewa na kuanza kutumia lugha hii?Hongera MKUU umejitahidi xana. Poa ni muhim sana kwa watu wote wenye uwezo wa kusikia sauti kujifunza lugha hii ili kuwasaidia hawa wenzetu viziwi. Namshkur mungu nimejifunza lugha hii Na kwa sasa naweza kuwasiliana nao vizur n pia nawafundisha masomo yote. Ni lugha nzuri sana ila ni lugha ambayk haina siri kwa maana kuwa ukiongea kwa ishara mwingine anaweza kuona Na kujua unachoongea.
Mpaka apewe special training viziwi ambao hakwenda shule huwa hawawaelewi viziwi walokwenda shule ispokua ktk ishara fulan ambzo ni common hata Mimi na wewe twaweza jua kama vle ishara ya kula kuonesha kama unapeleka tonge mdomoniKwani viziwi wote wanazijua hizi alama au mpaka apewe special training na yeye?
1.Mm nilianza kazi ya ualim wa kawaida ktk shule yenye kitengo cha viziw nikaanza kujifunza toka kwa watoto viziwi, nnkaelewa kidg.1;Mkuu ilichukua muda gani kueza kuelewa na kuanza kutumia lugha hii?
2;Ulifanya na nani mazoezi ya kuongea kwa ishara.
3:Nini kilikusukuma ujifunze.?
Binafsi natamani nijifunze maana nina bht ya kukutana na viziwi mwngne ni jirani..yangu naamini nikijua ntafaidi sana.
Mkuu umeongea points tupu. Hapo cna cha kuongeza zaidi ya kusema hongra sanaMpaka apewe special training viziwi ambao hakwenda shule huwa hawawaelewi viziwi walokwenda shule ispokua ktk ishara fulan ambzo ni common hata Mimi na wewe twaweza jua kama vle ishara ya kula kuonesha kama unapeleka tonge mdomoni
Mkuu kuna umuhimu gani kusema wakati unapo toa ishara.Hivi vitu ni kujifunza tu hakuna ugum sana.
Nina kibinti chngu cha kwanza kina miaka 4 now kimeanza kujua ishara mana hua nakifundsha kwa hio salam na mambo madogomadogo anawza kuroa ishara japo nipi makini sana kumwambia awe anasema pia akionesha alama.
Mkuu mambo VP? Leo ngoja tujifunze nambaMkuuunaweza pia kunisaidia kuweka picha kuhusu somo la tarakimu (namba)
Hii ni rahisi zaidi kueleweka.
Mkuu niko powa,Mkuu mambo VP? Leo ngoja tujifunze namba