Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

0dd2110f4b030f6da3837589e186f255.jpg
61294e200603b2517efc0050fbeb9ac4.jpg
569007fb7d024c375f3d8592712ed744.jpg
436e58650331c1a0967ed0f390b7a4a7.jpg
d8b996a360e43597f470ac9412813954.jpg
b9330a84af2a81088f8f26c14976813f.jpg
549db88469dcad8de4a775eb0a19fa4e.jpg
c5a853808d98a9cfd5f2c266f84cf92c.jpg
 
Neno Bubu hua c vema kulitumia,maana wenyewe viziwi hawalipendi Na endapo akijua umemwita yy Bubu hapo kidg kutakua Na shida.tumia neno kiziwi ndo maana sahihi.
Nidhamu hiyo sina..
Thanks
 
Kwa faida ya wale wanaotaka kujifunza lugha ya alama ya Tanzania waende CHAVITA kununua kamusi ya lugha ya alama na santuri ya video (Video CD). Hakika ni rahisi sana kujifunza lugja ya alama.
CHAVITA ofisi zao zipo wapi kwa dar natamani kujua lugha hii
 
Kwa wale mnaopenda kutongoza au kutongozwa Na viziwi kuweni makini maana hawa viziwi lugha yso haina siri Na pia wana mapenzi ya kweli akipnda anapenda kweli hatanii kama mnaosikia sauti
Mkuu mimi nilitaka kupewa mke (kiziwi),
Sikuwa tayari kwa sababu sina mpango wa kuoa mapema.
 
Hongera MKUU umejitahidi xana. Poa ni muhim sana kwa watu wote wenye uwezo wa kusikia sauti kujifunza lugha hii ili kuwasaidia hawa wenzetu viziwi. Namshkur mungu nimejifunza lugha hii Na kwa sasa naweza kuwasiliana nao vizur n pia nawafundisha masomo yote. Ni lugha nzuri sana ila ni lugha ambayk haina siri kwa maana kuwa ukiongea kwa ishara mwingine anaweza kuona Na kujua unachoongea.
Hii elimu mimi nilipata kipindi nasoma miaka ya zamani sekondari flani ya ufundi kule kaskazini.
 
Hizi lugha zilinichanganya sana, sema wao huwa wapo vizuri kwenye facial expressions nimewahi ishi nao na tunaishi nao na tushasoma nao, lugha ya maandishi ya wale wasio ona ndo kidogo mtihani maana ni matobomatobo
 
Hii lugha ni ngum kidg maana inahitaj ufuatiliaj xana. Pia mm nimesoma na kujifunza maandshi ya nukta nundu hii ni rahis kdg maana maandsh haya yana kanuni.mm pia hawa nawafundsha japo kwa sasa nimepelekwa kitengo cha viziw tu!
 
Kwani viziwi wote wanazijua hizi alama au mpaka apewe special training na yeye?
 
Hongera MKUU umejitahidi xana. Poa ni muhim sana kwa watu wote wenye uwezo wa kusikia sauti kujifunza lugha hii ili kuwasaidia hawa wenzetu viziwi. Namshkur mungu nimejifunza lugha hii Na kwa sasa naweza kuwasiliana nao vizur n pia nawafundisha masomo yote. Ni lugha nzuri sana ila ni lugha ambayk haina siri kwa maana kuwa ukiongea kwa ishara mwingine anaweza kuona Na kujua unachoongea.
1;Mkuu ilichukua muda gani kueza kuelewa na kuanza kutumia lugha hii?
2;Ulifanya na nani mazoezi ya kuongea kwa ishara.
3:Nini kilikusukuma ujifunze.?

Binafsi natamani nijifunze maana nina bht ya kukutana na viziwi mwngne ni jirani..yangu naamini nikijua ntafaidi sana.
 
Kwani viziwi wote wanazijua hizi alama au mpaka apewe special training na yeye?
Mpaka apewe special training viziwi ambao hakwenda shule huwa hawawaelewi viziwi walokwenda shule ispokua ktk ishara fulan ambzo ni common hata Mimi na wewe twaweza jua kama vle ishara ya kula kuonesha kama unapeleka tonge mdomoni
 
1;Mkuu ilichukua muda gani kueza kuelewa na kuanza kutumia lugha hii?
2;Ulifanya na nani mazoezi ya kuongea kwa ishara.
3:Nini kilikusukuma ujifunze.?

Binafsi natamani nijifunze maana nina bht ya kukutana na viziwi mwngne ni jirani..yangu naamini nikijua ntafaidi sana.
1.Mm nilianza kazi ya ualim wa kawaida ktk shule yenye kitengo cha viziw nikaanza kujifunza toka kwa watoto viziwi, nnkaelewa kidg.
2. Nikaenda chuo patandi kuchukua cheti cha ualimu wa viziwi mnatakiwa kujua kua kule chuo cha patandi hua hawafundsh lugha ya alama labda kwa sasa kidg.ila hujifunza pale kwenye mafunzo kwa vitendo na uwapo kazin.
3. Nimejifunza kwa kusoma kamusi,vitabu vya lugha ya alama.
4.kuhudhuria madarasa ya lugha ya alama mbalimbali toka kwa wakalimani wa chavita.
5.kuhudhuria semina mbalimbali za viziwi.
Mpaka sasa Nina miaka ka 9 nipo sambamba na viziwi.
Pia nilikwenda kwa dip ya wasioona kujifunza nukta nundu nayo nipo vema kusoma na kuandka japo si kwa sana ila nilifundsha kdgo.
 
Hivi vitu ni kujifunza tu hakuna ugum sana.
Nina kibinti chngu cha kwanza kina miaka 4 now kimeanza kujua ishara mana hua nakifundsha kwa hio salam na mambo madogomadogo anawza kuroa ishara japo nipi makini sana kumwambia awe anasema pia akionesha alama.
 
Mpaka apewe special training viziwi ambao hakwenda shule huwa hawawaelewi viziwi walokwenda shule ispokua ktk ishara fulan ambzo ni common hata Mimi na wewe twaweza jua kama vle ishara ya kula kuonesha kama unapeleka tonge mdomoni
Mkuu umeongea points tupu. Hapo cna cha kuongeza zaidi ya kusema hongra sana
 
Hivi vitu ni kujifunza tu hakuna ugum sana.
Nina kibinti chngu cha kwanza kina miaka 4 now kimeanza kujua ishara mana hua nakifundsha kwa hio salam na mambo madogomadogo anawza kuroa ishara japo nipi makini sana kumwambia awe anasema pia akionesha alama.
Mkuu kuna umuhimu gani kusema wakati unapo toa ishara.
Nimeona sana kwny baadhi ya tv za kenya huwa anatafsri kwa ishara lkn pia anatamka kwa mdomo.
kuna umuhimu gani hapo kwa kiziwi.
 
Sababu ni nyingi ila nitatoa mbili tu
1.viziwi wamegawanyika maana kuna waliopata uziwi kabla ya kuzaliwa na waliopata uziwi baada ya kuzaliwa,hivyo unapoonesha ishara unatamka unamsaidia huyu MTU aliopata uziwi baada ya kuzaliwa kusoma midomo na kuelewa nn usemacho kwa kuangalka midomo yako.
2. Inamsaidia anae toa ishara asizoo ishara tu Bali awe anaongea pia.mana kuna wakati unaweza kumwambi MTU kwa ishara ukajisahau kuna mtu huy hajui ishara.
Kuna wakat hata mm napokua home najikuta namwambia mke au watoto wng kwa ishara hua najisahau japo c sana.kwa hio kuongea kuna umuhm wake wakati wa kusign language
 
Mkuu mambo VP? Leo ngoja tujifunze namba
Mkuu niko powa,

Somo la namba ni zuri sana pia kama utaweza ongezea na jinsi ya kuhesabu pesa na wakati (saa),

Nami pia nitakuwa naongezea kile ninachokifahamu.
 
Back
Top Bottom