Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Fahamu jinsi ya kuwasiliana na Viziwi kwa njia ya Alama

Mkuu niko powa,

Somo la namba ni zuri sana pia kama utaweza ongezea na jinsi ya kuhesabu pesa na wakati (saa),

Nami pia nitakuwa naongezea kile ninachokifahamu.
Ok mkuu. Ila nataka tuanze kujifunza maneno ya kuanzia kama salam tutakwenda ado ado . Nitakua naweka picha za matendo na nitaanza na kitabu cha 1 maneno karibu yote tutajifunza.
 
Ok mkuu. Ila nataka tuanze kujifunza maneno ya kuanzia kama salam tutakwenda ado ado . Nitakua naweka picha za matendo na nitaanza na kitabu cha 1 maneno karibu yote tutajifunza.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nasubiria mkuu
Mambo yakikaa sawa toa somo,

Pia
Nitaweka maelezo muhimu kuhusu ulemavu wa masikio huku tukiendelea na somo letu
 
f757812408c438fbb4b825ce52cb05ef.jpg
 
Huo uongo mkubwa,lugha ya kutumia Ishara ndo yaweza,kuwa universal,ila syo hiyo ya herufi maana wafaranya na Kiswahi WAP na WAP ....think BG before answering
 
Mkuu nimeipenda hiyo dictionary yako yenye hizo picha,nimeisom hii course ya special need chuo,ila dictionary sikama hii,hiyo wapi naweza kupata?
 
Back
Top Bottom