BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
kwenye sinema za mapambano, mshindi huanza kuchakazwa kwanza, mlengwa hustukizwa-na mwisho haamini kilichotokea.Hii flu virus inaua mziungu tu.
Ni watu wazuri sana
Kumbe kanjibai naye yuko vizuri... Afrika tunakwama wapi?!!!Mataifa yaliyokwisha anza kuwaondoa raia wake kutoka Wuhan nchini China;
- Marekani
- Japan
Mataifa mengine yaliyothibitisha mpango wa kuwaondoa raia wake kutoka eneo hilo;
- Australia
- New Zealand
- India
- Korea Kusini
- Ufaransa
- Uingereza
- Uturuki
kwenye sinema za mapambano, mshindi huanza kuchakazwa kwanza, mlengwa hustukizwa-na mwisho haamini kilichotokea.
baki na bando za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app