Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ndo maana nikasema tatizo kingereza,hiyo hesabu hamjaelewa,hadi kuna mtu mmoja katuma na link kabisa ya mahali nilipotoa hiyo hesabu na bado haujaelewa,TATIZO KINGEREZA.
hiyo ni list ya Update za kila siku kuhusiana na hali ya Corona duniani lakini watu sijui huwa mnakesha dunia gani,kha TATIZO LUGHA YA KIZUNGU.
Ndo maana nikasema tatizo kingereza,hiyo hesabu hamjaelewa,hadi kuna mtu mmoja katuma na link kabisa ya mahali nilipotoa hiyo hesabu na bado haujaelewa,TATIZO KINGEREZA.
hiyo ni list ya Update za kila siku kuhusiana na hali ya Corona duniani lakini watu sijui huwa mnakesha dunia gani,kha TATIZO LUGHA YA KIZUNGU.
Kaa kwa kutulia,kwani mwanzo nilivyoileta ulifikiri niliokota jalala la Gongo la mboto,au nilivyokwambia kuwa link ilitumwa huku ulitegemea tena niendelee kukutafunia kila kitu,Sasa ulishindwa nini hata screenshot
Umekazana ooh language is the problem
Sasa fananisha utumbo wako na hii copy ya kizungu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Chicago...??Coronavirus cases, U.S.
New York: 2,914
Washington: 1,187
California: 690
New Jersey: 427
Florida: 327
Illinois: 288
Louisiana: 280
Massachusetts: 256
Colorado: 221
Georgia: 197
Pennsylvania: 133
Wisconsin: 114
Michigan: 110
Texas: 108
Tennessee: 100
Connecticut: 97
Always trust yr self.
kw
Kaa kwa kutulia,kwani mwanzo nilivyoileta ulifikiri niliokota jalala la Gongo la mboto,au nilivyokwambia kuwa link ilitumwa huku ulitegemea tena niendelee kukutafunia kila kitu,
Kanawe mikono na maji yanayotiririka.
Tatizo kingereza tu.
Unapoteza muda sasa kuanza kuandika utoto,shule zimefungwa,kalale sasa ukue.Get a life
Utumbo ulioandika unafanana na huo
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unapoteza muda sasa kuanza kuandika utoto,shule zimefungwa,kalale sasa ukue.
SawaAsante
Pumzika sasa na wewe
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mmoja!Kwa mujibu wa WHO mpaka sasa watu zaidi ya elfu 10 wameshafariki kwa virusi vya Corona.
Pia kwa mujibu wa CIA kuna mtu mmoja mweusi katika kila watu 5 duniani?. Vipi katika hao watu elfu 10 waliofariki na Corona, wangapi ni weusi???.
Italia
Nchini Italia vimetokea vifo 168 ndani ya Masaa 24 na kupelekea idadi ya vifo vya Corona kufikia 631
Huku maambukizi yakivuka watu 10000
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi shule! China hawajafa watu milioni mia nane!
Nimecopy na kupaste namba alizoandika hapo ila nimeweka mikato katika sehemu sahihi: 811,933,252 hizo ndizo namba alizoandika hapo!Kuna space hapo angalia vizuri