Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Ndo maana nikasema tatizo kingereza,hiyo hesabu hamjaelewa,hadi kuna mtu mmoja katuma na link kabisa ya mahali nilipotoa hiyo hesabu na bado haujaelewa,TATIZO KINGEREZA.
hiyo ni list ya Update za kila siku kuhusiana na hali ya Corona duniani lakini watu sijui huwa mnakesha dunia gani,kha TATIZO LUGHA YA KIZUNGU.

Sawa weka link

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Sasa ulishindwa nini hata screenshot
Umekazana ooh language is the problem
Sasa fananisha utumbo wako na hii copy ya kizungu
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
kw
Sasa ulishindwa nini hata screenshot
Umekazana ooh language is the problem
Sasa fananisha utumbo wako na hii copy ya kizungu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kaa kwa kutulia,kwani mwanzo nilivyoileta ulifikiri niliokota jalala la Gongo la mboto,au nilivyokwambia kuwa link ilitumwa huku ulitegemea tena niendelee kukutafunia kila kitu,
Kanawe mikono na maji yanayotiririka.
Tatizo kingereza tu.
 
Coronavirus cases, U.S.

New York: 2,914
Washington: 1,187
California: 690
New Jersey: 427
Florida: 327
Illinois: 288
Louisiana: 280
Massachusetts: 256
Colorado: 221
Georgia: 197
Pennsylvania: 133
Wisconsin: 114
Michigan: 110
Texas: 108
Tennessee: 100
Connecticut: 97

Always trust yr self.
Chicago...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kw

Kaa kwa kutulia,kwani mwanzo nilivyoileta ulifikiri niliokota jalala la Gongo la mboto,au nilivyokwambia kuwa link ilitumwa huku ulitegemea tena niendelee kukutafunia kila kitu,
Kanawe mikono na maji yanayotiririka.
Tatizo kingereza tu.

Get a life
Utumbo ulioandika unafanana na huo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Jamani Idadi ya vifo vinatokana na Korona inaongezeka kwa speed sana. Leo Itay wamekufa 475 na Usa ni 24, Iran 124 na zaidi angalia pichi katika vibox vyekundu
co-new-death-world.PNG
 
Mzuqa wanajamvi,

Hii makitu ni kweli kuanzia leo nimeamini na nimeanza kuchukua tahadhari.

Nilikuwa naifanyia mzaha. Naona vijana homu nao wanaichukulia poa. Italia vijana ndio waliipeleka kwa wazee wao. Wenyewe wako poa lakini wazee wamepoteza maisha.

Nataka kuanzia kesho nijifungie ndani.

Lord help us.
 
Kwa mujibu wa WHO mpaka sasa watu zaidi ya elfu 10 wameshafariki kwa virusi vya Corona.
Pia kwa mujibu wa CIA kuna mtu mmoja mweusi katika kila watu 5 duniani?. Vipi katika hao watu elfu 10 waliofariki na Corona, wangapi ni weusi???.
 
Mmoja!
 
Katika mtandao wao wamenukuu taarifa zilizotolewa na Chuo Kikuu Johns Hopkins, (Baltimore, Marekani ) zinazoonesha hadi 20 Machi 2020 (GMT+1) vimeripotiwa visa 245,061. vya maambukizi na vifo 10,037. ikiwemo nchi yetu.

TAIFA. MAAMBUKIZI. VIFO.
1. Uchina- Maambukizi -81,193 Vifo- 3,252
2. Italia- Maambukizi- 41,035 Vifo- 3,405
3. Iran- Maambukizi- 18,407 Vifo- 1,284
4. Uhispania- Maambukizi- 18,077 Vifo- 833
5. Ufaransa- Maambukizi- 10,997 Vifo- 372
6. Marekani- Maambukizi- 14,161 Vifo- 205
7. Uingereza- Maambukizi- 3,269 Vifo- 144
8. Korea Kusini- Maambukizi- 8,652 Vifo- 94
9. Uholanzi- Maambukizi- 2,460 Vifo- 76
10. Ujerumani- Maambukizi- 15,320 Vifo- 44
 
Italia

Nchini Italia vimetokea vifo 168 ndani ya Masaa 24 na kupelekea idadi ya vifo vya Corona kufikia 631
Huku maambukizi yakivuka watu 10000

Sent using Jamii Forums mobile app

Italians wanaslimiana mpaka kubusiana pua na midomo mpaka kwa wazee na hao ni wanaume hapo wanaobisiana
Wataacha mabusu sasa
Labda inaweza kuwa sababu pia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom