Aliyekuwa anatupa updates humu sijui mmemfanya nini, sasa hivi nalazimika kwenda kutafuta habari sehemu nyingine
Franc wasamehe kama wamekuudhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo uodate ni za kipindi cha mkoloni, hakuna update mpya hapo.
Unajuwa nchi za Ulaya baadhi yao wana majaribio ya kutumia mashine kuzalisha na watu kupewa posho watumie masokoni.Na hata kama hilo halijawa wazi lakini uchumi wa nchi unaruhusu kufidia fedha zilizoathirika zaidi.Kwetu sisi ukiondoa mawaziri na wabunge na wafanyabiashara wakubwa waliobaki kila mmoja ni jasho lake ndio tonge iende mdomoni.Kuna mambo mengine huwezi kufanya yanazidi uwezo wako... Watu wajifungie ndan at least mwezi,utawalisha wewe
Hizo uodate ni za kipindi cha mkoloni, hakuna update mpya hapo.
Hizo uodate ni za kipindi cha mkoloni, hakuna update mpya hapo.
Ok nimeona, lakini haziko deep sana kama alivyokuwa anafanya mleta uzi. Hatuna la kufanya, inabidi tuvumilie tu. Ila shukrani kwakunionyesha hilo.
Ok nimeona, lakini haziko deep sana kama alivyokuwa anafanya mleta uzi. Hatuna la kufanya, inabidi tuvumilie tu. Ila shukrani kwakunionyesha hilo.
Poleni aisee, sisi huku tumeambiwa tuchape kazi tusiogope corona. Wacha tuendelee kuchapa kaz maana wakisema tufunge mitaa patachimbika kwa vilio vya wlala hoiThe US has 26,000 cases now. Outside of the global 300,000.
And the US is not even testing extensively.
New York City alone has over 8,000 according to the mayor.
60 people have died in New York City alone.
Coronavirus is in the New York jail system. It is also in the Federal jail system.
I haven't been outside in a week now.
And I plan to stay inside for another week until a brief shopping trip for essential next week.
Luckily, I can work from home.
People such as restaurant wirkesr, waiters etc are being laid off. Companies are closed.
There is a plan to pay full salary to everyone who is laid off, the bull is going to be presented in Congress by Monday.
Otherwise the economy will freeze.
Sent from my typewriter using Tapatalk