Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Watanzania tume ambiwa tunawe mikono tu

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Kuna mambo mengine huwezi kufanya yanazidi uwezo wako... Watu wajifungie ndan at least mwezi,utawalisha wewe
Unajuwa nchi za Ulaya baadhi yao wana majaribio ya kutumia mashine kuzalisha na watu kupewa posho watumie masokoni.Na hata kama hilo halijawa wazi lakini uchumi wa nchi unaruhusu kufidia fedha zilizoathirika zaidi.Kwetu sisi ukiondoa mawaziri na wabunge na wafanyabiashara wakubwa waliobaki kila mmoja ni jasho lake ndio tonge iende mdomoni.
 
Huu ugonjwa huku kwetu ni 'imported case' hakuna mtu aliyeambukizwa ndani ya mipaka ya Tz hivyo uchunguzi uimarishwe uwanja wa ndege na wasafiri wanaowasili wawekwe chini ya uangalizi kabla ya kuingia uraiani.
 
Wazungu wa magharibi sasa wakubali kutumia mbinu za kisoshalisti ili kuzuia maambukizi ya korona
Itally yapigwa tafu na Urusi pamoja na China.

Katibu wa UK Robert asema jamii uhuru ni muhimu lakini Korona sio mchezo, lazima watu walazimishwe kubakia majumbani mwao kama walivyofanya Italy.

Note: Kwa nini nimeanza na Wazungu wa magharibi kutumia mbinu za kisoshalisti? Uhuru na demokrasia ndio inayochangia Zaidi virusi vya korona kuenea kwa kasi kwenye mataifa haya yenye kuwa kifua mbele kwa demokrasia na uhuru wa watu kufanya watakacho. Ilianza Italy walipoona hali mbaya wakaanza kulazimisha sheria ya kubakia majumbani, masuala ya uhuru na demokrasia hakuna tena Italy.

Ukikutwa nje ya nyumba yako hata kama hujafanya kosa unashuggulikiwa na askari wenye mafunzo maalumu. Kuona hiyo haitoshi wameomba msaada wa askari kutoka Urusi na madaktari vijana kutoka Uchina. Jana tena jumapili Katibu wa Jamii UK Robert Jenrick ameishauri serikali kutotumia demokrasia na uhuru wa mtu kujifanyia atakacho katika kuzuia kuenea kwa virusi. Akashauri serikali iwalazimishe watu kujifungia majumbani mwao kama walivyofanya wenzao wa Italy
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Corona ni ugonjwa ambao ni hatari sana ndani ya ulimwengu kipindi hiki,ni ugonjwa ambao umewaleta kwa pamoja wakuu wote wa mataifa makubwa na madogo na hata. wananchi wa kawaida kila mmoja akipigana na ugonjwa huu mahali alipo. Kama tusomavyo na kuelewa pamoja na tahadhari nyingine nyingi kama kunawa mikono,kutokusalimiana kwa Kushikana Mikono,kutokumbatiana na mengineyo mengi,

ugonjwa huu ukiutafakari ni ugonjwa ambao unatufanya binadamu tuwe wapweke na tuvunje Umoja na ushirikiano na kwa muda ni ugonjwa ambao umeweza kufunga mipaka ya nchi moja kwenda nchi nyingine kwa dunia nzima mataifa yote yamejipata yakifunga mipaka yake ama kuweka mashirti ya quarantine kwa hasa wageni wa mataifa mengine kuingia ndani ya nchi.

Wakuu wa nchi tofauti kila mmoja akijitahidi kuwasihi raia wake kutulia na kutokusafiri kwenda mataifa ya nje ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo.

Raia wanaonekana kuelewa na kuyatii maelekezo,na hata waliokuwa wamefanya booking za kwenda nje ya nchi wakifanya cancellation.

Hongera dunia na viongozi na hasa vyombo vya habari ulimwenguni kwa uhamasishaji hadi duniia imeelewa na hata tunaweza kusema kuwa mataifa yote yamesimama kwenye foleni mstari mmoja kwa utii

ugonjwa huu uwe fundisho kwa mataifa kwamba mataifa yote yakipania na kuamua bila kuwa na ubinafsi yakasimama kwa pamoja kila mmoja akitangaza na kuhimiza AMANI dunia inaweza kuwa salama sana na hakuna mahali ingekuwepo vita duniani

hebu fikiri sasa kwamba kama kila kiongozi
Na hasa viongozi wa mataifa makubwa na vyombo vikubwa vya habari duniani vingesimama na kuihamasisha AMANI hii ikiwa ni kwa kila nchi je ulimwengu ungekuwa salama kwa kiasi gani?

nimalizie tu kwa kusema baada ya janga la CORONA iwe ni ya kutufundisha ulimwengu kufahamu maana ya mshikamano na Umoja katika kupiga vita yale yasiyokubalika kwa jamii ya ulimwengu itufundishe dunia kushikamana kuitafuta amani NIA NA DHAMIRA ZIWE NDIYO CHOMBO CHA KUTAFUTA NA KUDUMISHA AMANI.VYOMBO KAMA BARAZA LA USALAMA UMOJA WA MATAIFA BILA DHAMIRA YA KWELI NI UONGO!
 
My concern is once it begins to spread in western countries.

I currently live in China and the government control to combat the spread of this virus has been astonishing. All gathering places like malls, restaurants, theaters have been closed for a month now. To come into my apartment I must pass a health screen, to go into my office another health screen. The only stores that are open are supermarkets, yep another health screen. If you are outside you MUST wear a mask. There are drones flying overhead to check. Most people simply stay home. But, schools are closed and there is no sign of them opening soon. Everybody is just doing their part to keep this virus from spreading.

In the future though, this virus will spread to countries like the US where individual rights supersede the good of the country. If people are told to stay home, don't go outside, if companies are ordered to close they simply won't do it and this virus will spread rapidly. Just look at what's happening in South Korea to see a microcosm of what can and possibly will happen in the US or Europe.

The numbers are low now, but it did not take long for the numbers to escalate here in China.

The good news in the west is that there are not the population densities that there are in China, the bad news is there are not the government controls as there are in China. Imagine the government quarantining a whole city like LA or New York…it will get UGLY


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The US has 26,000 cases now. Outside of the global 300,000.

And the US is not even testing extensively.

New York City alone has over 8,000 according to the mayor.

60 people have died in New York City alone.

Coronavirus is in the New York jail system. It is also in the Federal jail system.

I haven't been outside in a week now.

And I plan to stay inside for another week until a brief shopping trip for essential next week.

Luckily, I can work from home.

People such as restaurant wirkesr, waiters etc are being laid off. Companies are closed.

There is a plan to pay full salary to everyone who is laid off, the bull is going to be presented in Congress by Monday.

Otherwise the economy will freeze.



Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Habarini za wakati huu.

Wakuu naomba kujua, hivi ni katika kitu hasa sisi kama taifa tunaweza kuwategemea wasomi wa nchii hii kutuvusha salama na kutupatia ufumbuzi kwa wakati?

Mfano katika mambo ya Utafiti na Afya, tunao - The National Institute for Medical Research (NIMR) - Is the largest public health research institution in Tanzania. It was established by the Parliament Act No. 23 of 1979 as a parastatal organization under the Ministry of Health. The establishment of NIMR was in recognition by the government of the need to generate scientific information required in the development of better methods and techniques of enhancing disease management, prevention and control in the country.

NIMR ilianzishwa kufanya kazi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutekeleza na kuendeleza tafiti za magonjwa ili kuleta tiba na kupunguza magonjwa miongoni mwa wa Tanzania.

Pia, Tanzania tunavyo vyuo vikuu vingi vyenye Departments za Biology, lakini pia tunao Madaktari na Maprofessors wakubwa katika mambo ya Afya.

1. Je tunaweza kuvitegemea vyuo vyetu vya Elimu ya juu na wataalamu wake (Drs, Professors etc...kutupatia solution ya matatizo yanayo ikumba Dunia kama COVID-19?

2. Je kama COVID-19 ingeanzia Tanzania na ikawa na madhara kwa waafrika kama ilivyo na madhara makubwa kwa wazungu, tungeweza kuzitegemea taasisi zetu kama NIMR ili kuwavusha watanzania angalau kwa kiwango cha nusu ya kazi waliyofanya wachina?

3. Je tunaweza kuwategemea wataamu wetu wa mambo ya afya kutupatia suluhisho bila kutegema kwanza instructions za WHO na kusibi kujua WHO wanasema nini??

Nadhani sasa ifike wakati serikali ione umuhimu wa kuwekeza kwenye mambo ya afya kwa kiwango kikubwa kwakua, Afya ni bora kuliko Kazi.

Tumeona wasomi wa European Union na sasa South Korea wakija na angalau Testing Kits za COVID-19. Naamini taasisi zao zjnafanyia kazi Chanjo za COVID-19 na kwa wakati maalum they might ckme sith with answers.



Naomba tujadiliane hoja hizo.
 
Poleni aisee, sisi huku tumeambiwa tucha
The US has 26,000 cases now. Outside of the global 300,000.

And the US is not even testing extensively.

New York City alone has over 8,000 according to the mayor.

60 people have died in New York City alone.

Coronavirus is in the New York jail system. It is also in the Federal jail system.

I haven't been outside in a week now.

And I plan to stay inside for another week until a brief shopping trip for essential next week.

Luckily, I can work from home.

People such as restaurant wirkesr, waiters etc are being laid off. Companies are closed.

There is a plan to pay full salary to everyone who is laid off, the bull is going to be presented in Congress by Monday.

Otherwise the economy will freeze.



Sent from my typewriter using Tapatalk
Poleni aisee, sisi huku tumeambiwa tuchape kazi tusiogope corona. Wacha tuendelee kuchapa kaz maana wakisema tufunge mitaa patachimbika kwa vilio vya wlala hoi
 
Nimeanza na swali. Jibu ni hili. Tunaona kwa wenzetu Ulaya na Asia kwa namna ugonjwa huu unawadhuru. Tunaona kwa namna ambavyo Italy waziri mkuu analia hadharani kwa jinsi ambavyo ugonjwa huu umeshindikana kudhibitiwa hadi mrusi anasema ataenda kutoa msaada. Kwa wenzetu hili jambo tayari limeshaweka historia mpya kwao hata kama litaisha.

Kwetu sasa. Si tunasema kuwa sisi ni immune? Yaweza kuwa kweli kabisa na tukishapuuzia maisha yanaendelea huku corona akiendelea kuishi baina yetu. Tunaugua mafua na homa tunapona huku corona akiwa ndani hawezi kudhuru ila anaambukizwa kwa mtu mwingine.

Ulaya, Marekani na Asia wakishafanikiwa kuudhibiti huko kwao kitakachofuata ni kuiweka Afrika kwenye total isolation. Hatutaruhusiwa kwenda nje ya Afrika. Wanatuona tunavyoubeza huu ugonjwa. Wakati ukifika tutasaga meno hivyo ndugu zangu, nimeandika kwa uchache ile unumbe umefika. Itakuwa ni zaidi ya Apartheid. Zaidi ya Xenophobia. Tuwe makini nasi kama wananchi tushirikiane na serikali zetu ili Ulaya na Asia wakitokomeza na huku uwe umeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa imagination za ajabu hatujambo, kama ni hivyo ujue basi mzee wanatuonea wivu.
 
Corona imekuwa overrated. Kama watu wanaugua na kupona huu ugonjwa sio tishio kabisa. Watu tuendelee na shuguli zetu kama kawaida. Huu ugonjwa utakuja kuwa kama malaria tu, hauna issue yoyote ya kufanya watu wapanic.
 
Back
Top Bottom