Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Wazungu si waoga. Ila wako makini sana to the extent jambo kama la corona wana litilia maanani sana.
Na hii si mara ya kwanza.. hata majanga yalitokea huku nyuma.
Wanawaamini sana wataalam wao. Ndio maana kule kwao wataalam wa afya wanatandikwa mpunga mrefu.

Kuna todauti kubwa kati ya kuwa muoga na kuwa makini.
Kama unadhani wazungu ni waoga, sisi wenyewe wabongo kupimwa hatutaki.. hata takwimu tunasema zinatia hofu. Wenzetu daily takwim wanazo.
Tuko tayari kulifumbia macho tatizo lolote tukiamini tukifungua macho tutakuta limepotea badala ya kuuface ukweli.


Nani muoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Media za Mabeberu zilitengeneza propaganda ili corona iwe tatizo la dunia

Ila Kiukweli corona is nothing for black
Muulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.
Sisi huku nyumban propaganda ndio nyingi. Propaganda kuaminisha wananchi kuwa ugonjwa haupo wkt in reality bado upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brazil na Russia blacks ni minority is equal to nill

Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
 
Kuna wagonjwa wangapi hapo kwako mkuu,jirani zako jee? Vipi ndugu jamaa na marafiki nao hujapata taarifa zao kuwa wanakorona?

Kama hao wote niliokuuliza hawapo sasa hofu yako ni nini mkuu? Unataka uambiwe ugonjwa upo ili khali haupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brazil na Russia blacks ni minority is equal to nill

Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
For the record start with south africa.. yes south africa.
80.2% ni blacks.. well corona did them bad.
With 17000 cases..
So far ndio nchi yenye maambukizi mengi barani africa.
Morocco, ghana,senegal, sudan.
Ukiangalia nchi zote hiz wanaanzia 2000 kwenda huu kwa idadi ya waathirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…