FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #761
Kama ikifikia tarehe hizo na bado hali ikiendelea hivi, sidhani kama kutakuwa na namna nyingine zaidi ya kusimamishwa kwa michuano hiyo.Sasa ikiendelea hivi Euro cup 2020 itakuwepo kweli?Achilia mbali michezo ya olympic.Maana sasa tunaelekea mwezi March na huyu VIRUS anaonekana hawezi kabisa kuwa contained.
Uwepo wa aina fulani ya ugonjwa katika idadi fulani ya watu kulingana na vipimo na viwango vya kitabibu.Visa ndo vinini mkuu?
UPDATE: Daktari mwingine katika hospitali moja karibu na mji wa Wuhan, Huang Wenjun (miaka 42), ameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya Corona takribani saa tatu zilizopita.
Huang Wenjun, a 42-year-old doctor at a hospital close to Wuhan, died of coronavirus about 3 hours ago. He's the 2nd doctor to die of coronavirus in less than 24 hours.
View attachment 1367250
Sasa ikiendelea hivi Euro cup 2020 itakuwepo kweli?Achilia mbali michezo ya olympic.Maana sasa tunaelekea mwezi March na huyu VIRUS anaonekana hawezi kabisa kuwa contained.
Ndio maana serikali inataka toa incentives kwa madaktari maana wengine wamegoma rudi makaziniUPDATE: Daktari mwingine katika hospitali moja karibu na mji wa Wuhan, Huang Wenjun (miaka 42), ameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya Corona takribani saa tatu zilizopita.
Huang Wenjun, a 42-year-old doctor at a hospital close to Wuhan, died of coronavirus about 3 hours ago. He's the 2nd doctor to die of coronavirus in less than 24 hours.
View attachment 1367250
Tutakwisha.
Ndio maana serikali inataka toa incentives kwa madaktari maana wengine wamegoma rudi makazini
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu mkuu nikifatilia update zako wanaokufa asilimia kubwa wengi ni umri kuanzia miaka 60 kwenda mbele au hujagundua hilo mkuuUPDATE: Kifo cha tatu (3) kimeripotiwa katika meli ya Diamond Princess. Mtu huyo alikuwa na umri wa miaka 80 na mpaka sasa bado haijafahamika kuwa ni raia wa nchi gani.
Mungu usiogope kifo , kifo Ni tunu yetu Ni suala la muda tu kila mtu ataiacha dunia.Nikisoma hii thread nahisi kuishiwa hamu ya kufanya chochote kile i swear km kungekuwa na makazi mapya zaidi ya dunia ningeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisoma hii thread nahisi kuishiwa hamu ya kufanya chochote kile i swear km kungekuwa na makazi mapya zaidi ya dunia ningeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mm bnafsi nime jiuliza sana hilo jambo maana nimeona sana wengi wao age zimekua above 50 sasa cjajua kama wengi wao wa huo umri wanakufa sana kwashda ganhalafu mkuu nikifatilia update zako wanaokufa asilimia kubwa wengi ni umri kuanzia miaka 60 kwenda mbele au hujagundua hilo mkuu
ina maana km hvyo wazee wanashindwa kupambana nao unawaathili zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika Tanzania wengi wenye HIV watakufa sana,maana naona wenye immunity ndogo ndo wanakufa .halafu mkuu nikifatilia update zako wanaokufa asilimia kubwa wengi ni umri kuanzia miaka 60 kwenda mbele au hujagundua hilo mkuu
ina maana km hvyo wazee wanashindwa kupambana nao unawaathili zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha yote hayo ni wachina kupenda supu ya popo!Nikisoma hii thread nahisi kuishiwa hamu ya kufanya chochote kile i swear km kungekuwa na makazi mapya zaidi ya dunia ningeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani IRAN Wote Wapate Hayo Maradhi MKUU[emoji16][emoji16][emoji16]Majirani wote wa Iran wamefunga mipaka na kuzuia watu au meli za Iran kufika nchi husika kutokana na Iran haijui nani kawaambukiwa hao wagonjwa Corona. Na pia wanadai Iran hasemi ukweli, kuna uwezekano mambo ni makubwa kuliko
Sent using Jamii Forums mobile app