Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Sasa ikiendelea hivi Euro cup 2020 itakuwepo kweli?Achilia mbali michezo ya olympic.Maana sasa tunaelekea mwezi March na huyu VIRUS anaonekana hawezi kabisa kuwa contained.
Kama ikifikia tarehe hizo na bado hali ikiendelea hivi, sidhani kama kutakuwa na namna nyingine zaidi ya kusimamishwa kwa michuano hiyo.
 
UPDATE: There are currently 78,959 confirmed cases worldwide, including 2,468 fatalities so far according to official reports.
 
UPDATE: Daktari mwingine katika hospitali moja karibu na mji wa Wuhan, Huang Wenjun (miaka 42), ameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya Corona takribani saa tatu zilizopita.

Huang Wenjun, a 42-year-old doctor at a hospital close to Wuhan, died of coronavirus about 3 hours ago. He's the 2nd doctor to die of coronavirus in less than 24 hours.

1582469485234.png
 
So sad

View attachment 1367250
 
Ndio maana serikali inataka toa incentives kwa madaktari maana wengine wamegoma rudi makazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Kifo cha tatu (3) kimeripotiwa katika meli ya Diamond Princess. Mtu huyo alikuwa na umri wa miaka 80 na mpaka sasa bado haijafahamika kuwa ni raia wa nchi gani.
halafu mkuu nikifatilia update zako wanaokufa asilimia kubwa wengi ni umri kuanzia miaka 60 kwenda mbele au hujagundua hilo mkuu
ina maana km hvyo wazee wanashindwa kupambana nao unawaathili zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani wote wa Iran wamefunga mipaka na kuzuia watu au meli za Iran kufika nchi husika kutokana na Iran haijui nani kawaambukiwa hao wagonjwa Corona. Na pia wanadai Iran hasemi ukweli, kuna uwezekano mambo ni makubwa kuliko

Mkuu hata mm bnafsi nime jiuliza sana hilo jambo maana nimeona sana wengi wao age zimekua above 50 sasa cjajua kama wengi wao wa huo umri wanakufa sana kwashda gan

All in all MUUMBA Ajaalie Lipite Tena Maana Daah[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu mkuu nikifatilia update zako wanaokufa asilimia kubwa wengi ni umri kuanzia miaka 60 kwenda mbele au hujagundua hilo mkuu
ina maana km hvyo wazee wanashindwa kupambana nao unawaathili zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika Tanzania wengi wenye HIV watakufa sana,maana naona wenye immunity ndogo ndo wanakufa .
 
Majirani wote wa Iran wamefunga mipaka na kuzuia watu au meli za Iran kufika nchi husika kutokana na Iran haijui nani kawaambukiwa hao wagonjwa Corona. Na pia wanadai Iran hasemi ukweli, kuna uwezekano mambo ni makubwa kuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani IRAN Wote Wapate Hayo Maradhi MKUU[emoji16][emoji16][emoji16]

All In All Hajui nani kawaambukiwa hao wagonjwa hapa ulikua namaana gani mkuu ?!....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom