Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Vp mkuu kwa nchi za Algeria, na Nigeria kuliporipotiwa visa vya kwanza hakuna update yoyote ya either patients zaidi au recovery ya mgonjwa husika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchini Nigeria, yule mgonjwa mmoja bado yuko katika uangalizi maalumu nchini humo.

Kuna taarifa ya Kamishna wa afya wa Lagos kumtembelea mgonjwa huyo ambaye ni raia wa Italia katika kituo maalumu alikowekwa lakini jambo la kustaajabisha ni kwamba, wakati kamishna huyo ameingia kituoni hapo kuonana na mgonjwa huyo na mpaka kuzungumza naye, hakuwa amevalia mavazi wala vifaa vyovyote vile vya kujikinga na maambukizi jambo lililozua sintofahamu na wasiwasi mkubwa kwa jamii na watu mbalimbali nchini humo huku wengi wakihoji kuhusiana na kitendo hicho cha kiongozi huyo kumkaribia mgonjwa bila ya vifaa vya kujikinga.

Kuhusu Algeria, yule mgonjwa mmoja amerejeshwa nchini kwake Italia na masuala mengine ya kitabibu yanaendelea huko.
 
Ndiyo! Hilo linawezekana kabisa na limekwishatokea.

Kuna mgonjwa nchini China aliyepimwa na kuonekana negative mara nane, mara ya tisa ndipo akakutwa positive akiwa karantini kwa muda wa siku 17.
 
Shukran sana mkuu kwa update, unafanya kazi nzr sana hakika baraka za Mungu zitakuwa juu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu hawako serious
Hata atoke china wanampima kijuujuu na kumuacha, hii ni mbaya maana wagonjwa wanaweza kuingia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrica upuuzi cjui watauaha lini asee[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…