Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

NEWS ALERT: The woman and her daughter, who have been confirmed as new coronavirus cases in Algeria, in February hosted an 83-year-old man and his daughter based in France who were tested positive for coronavirus after their return to France, the statement said.

Algeria last week announced its first coronavirus case, an Italian national who arrived in the country on Feb.17. He was later flown home to Italy, which has almost 1,700 cases. [Reuters]
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 88,583 confirmed cases worldwide
  • 3,043 fatalities
  • 7,354 in serious/critical condition
  • 45,054 recovered
  • 64 countries reporting cases
More updates to come!
 
NEWS ALERT: Japan and China have agreed to delay Chinese President Xi's state visit to Japan amid the outbreak of coronavirus, source says. [Reuters]
 
UPDATE: Marekani imeripoti visa vipya vitano (5) nchini humo sanjari na kifo kipya kimoja (1).

Visa vinne (4) kati ya hivyo vimeripotiwa katika jimbo la Washington;
  • Wanawake wawili, mmoja katika miaka yake ya 80 na mwingine mwenye miaka ya 90 wanaokabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
  • Mwanaume mmoja katika miaka yake ya 70 anayekabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya
  • Mwanaume mmoja pia katika miaka yake ya 70 aliyekuwa akikabiliwa na matatizo mengineyo ya kiafya ambaye ameripotiwa kufariki dunia mnamo Februari 29

Kisa kingine kimoja (1) kimeripotiwa katika jimbo la New York ambapo mgonjwa huyo alirejea hivi karibuni nchini humo akitokea nchini Iran.
 
Roger that
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you Vida, naendelea kujifunza.
 
Propaganda za maji taka! Hakuna ushahidi wa kitaalam kuwa corona haiwahusu watu weusi, kama ushahidi upo weka hapa!
 
You are doing good work FRANC.
 

Hivi wanapoonesha miaka 80 na kusema alikuwa anakabiliwa na matatizo mengine kiafya. Ni kufukia fukia kwamba uzee+matatizo mengine kiafya ndio yamepelekea au?
 
Afrika ni taifa la Mungu, kamwe hakutakuwa na mtu mweusi atakeyekufa kutokana na Corona, huo ni ugonjwa wa watu weupe hata wakija Afrika watakufa wao tu.
 
Nilisikia waliruhusiwa kusepa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani sasa dunia yote inaongea lugha moja
 
NEWS ALERT: Raia wanne wa kigeni waliowasili Uganda na dalili za Coronavirus watengwa. [BBC]

Raia wanne wa kigeni waliowasili nchini Uganda na dalili za virusi vya corona wametengwa katika hospitali ya Entebbe, Waziri wa afya amethibitisha.

Bila ya kutaja uraia wao, afisa mahusiano wa waziri wa afya bwana Emmanuel Ainebyoona alisema kuwa raia hao wamechukuliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe.

"Sampuli ya vipimo vyao vimepelekwa katika kituo cha utafiti wa virusi nchini humo (UVRI). Na tutaitaarifu umma " gazeti la Daily Monitor limemnukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…