robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
heri lawama kuliko kujichimbia makaburi.Ni kweli, ngoja tuone, uzuri kuna baadhi ya nchi barani Africa wamewarudisha wagonjwa huko walikotoka, bora kujilinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndiyo maana serikali inayoongozwa na meko hata haichukulii serious hili sualaImmunity za waafrika ziko more resistant zaidi ya races zingine Leo Ni miezi kadhaa imepita watu zaidi ya 3000 wamefariki ila hakuna mmatumbi hata mmoja.
Mwafrika hafi kwa mafua, Corona virus Ni mafua tu ambayo Ni kiboko ya wazungu na waasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni raia wa ufaransa anaeishi Senegal kwa miaka miwil sasa , mwenzi huu wa pili alidhuru ufaransa na kurud, kaja nao , sio ngozi nyeusi
ni raia wa ufaransa anaeishi Senegal kwa miaka miwil sasa , mwenzi huu wa pili alidhuru ufaransa na kurud, kaja nao , sio ngozi nyeusi
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni mfaransa , ngozi nyeupe , senegal ameanza ishi miaka miwil , kabla ya hapo alikua akiishi kwao huko ,..hakuna kitu kinaitwa mfaransa wa senegal
Yaani mpaka sasa hakuna hata mweusi kuugua Corona duniani kote kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah yani hawa wakorea kusini wanagonga update ya kuanzia 300 kwenda juu kila baafa ya masaa kadhaa,,,,Mungu akasimame upande wao awasaidie kwnye hili...doohUPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya 374 nchini humo na kufikisha jumla ya visa 5,186 hadi sasa huku idadi ya vifo ikifikia 34. Korea Kusini ni nchi ya pili duniani kwa kuripoti visa vingi zaidi baada ya China.
Weee thubutu, gonjwa liishie hukohuko!!Unacho kitafuta utakipata tu we endelea kuufanya kimbele mbele tu.
Sent using Jamii Forums mobile app