Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Immunity za waafrika ziko more resistant zaidi ya races zingine Leo Ni miezi kadhaa imepita watu zaidi ya 3000 wamefariki ila hakuna mmatumbi hata mmoja.

Mwafrika hafi kwa mafua, Corona virus Ni mafua tu ambayo Ni kiboko ya wazungu na waasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndiyo maana serikali inayoongozwa na meko hata haichukulii serious hili suala
 
NEWS ALERT: South Korean President Moon puts all government agencies on 24-hour emergency alert, says country at "war" with coronavirus. [Yonhap]
 
UPDATE: Visa vipya vya COVID-19
  • Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa nchini Australia na kufikisha jumla ya visa 31 nchini humo
  • Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa nchini Pakistan na kufikisha jumla ya visa vitano (5) nchini humo
  • Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa nchini Ecuador na kufikisha jumla ya visa saba (7) nchini humo
 
UPDATE: Marekani

Hadi sasa, idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 103 ambapo wagonjwa wapatao saba (7) wakiwa katika hali mbaya zaidi huku wengine tisa (9) wakipata ahueni.

Marekani imeripoti vifo vipatavyo sita (6) mpaka sasa vinavyohusishwa na COVID-19 nchini humo.
 
UPDATE: Singapore

Visa 108 vimeripotiwa nchini humo hadi hivi sasa ambapo wagonjwa sita (6) wakiripotiwa kuwa katika hali mbaya zaidi huku wengine 78 wakipata nafuu.

Singapore haijaripoti kifo chochote mpaka sasa kinachohusishwa na ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) nchini humo.
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya 374 nchini humo na kufikisha jumla ya visa 5,186 hadi sasa huku idadi ya vifo ikifikia 34. Korea Kusini ni nchi ya pili duniani kwa kuripoti visa vingi zaidi baada ya China.
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya 374 nchini humo na kufikisha jumla ya visa 5,186 hadi sasa huku idadi ya vifo ikifikia 34. Korea Kusini ni nchi ya pili duniani kwa kuripoti visa vingi zaidi baada ya China.
Daaaah yani hawa wakorea kusini wanagonga update ya kuanzia 300 kwenda juu kila baafa ya masaa kadhaa,,,,Mungu akasimame upande wao awasaidie kwnye hili...dooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom